Kwanini Kuku alivuka barabara?

Status
Not open for further replies.
Kuku alivuka barabara ili kwenda kuivunjilia mbali KFC na kutengeneza kiota kipya cha mayai yake kwenye ofisi ya meneja.

SteveD.
 
Katika mgongano wa kifikra swali jepesi kama hilo laeza kusababisha maoni mengi na ya ajabu sana. Tangia miaka ya enzi na enzi swali hilo limekuwa likipatiwa majibu tofauti kufuatana na ni nani anayetoa jibu hilo. Ukienda kwenye blogu ya michuzi utaona jinsi watu wanavyofikiri ni jinsi gani watu mashuhuru wamejaribu kulijibu swali hilo au ni jinsi gani wangejaribu kulijibu swali hilo. Swali hili lina falsafa iliyofichika na linahusu haki, uhuru, maono, mwelekeo na mtazamo.

Wewe ukiulizwa swali hilo, unafikiri ni kwanini "kuku aliamua kuvuka barabara"?

_44169966_chickens203.jpg


Why did 3,000 chickens cross the road?

To dodge the dinner table and bring gridlock to Scotland

By Charlene Sweeney

To thousands of Scottish motorists, it appeared to be a mass re-enaction of an old joke. On the A80, Scotland’s main north-south artery, thousands of chickens were crossing the road.
For the chickens, it was much more serious. At 4.30am 3,000 of the birds were being transported from farm to slaughterhouse when the lorry carrying them overturned.

The driver sustained serious back injuries, four hundred birds died in the impact – or later from their injuries – but as dawn broke and the lorry lay on its side, thousands of chickens escaped from their crates and swarmed on to the road. Some sat on the verge, others took to the bushes, hundreds more milled around and pecked at the road and seemed uncertain what to make of their new-found freedom.

For the better part of the morning they brought a large chunk of Scotland to a standstill. The traffic tailback stretched five miles, alternative routes were gridlocked and the A80, the main route to Glasgow from Sterling, Perth and the north, was closed until after noon.

The scenes that followed seemed a cross between Chicken Run, the animated film based loosely on The Great Escape, and It Shouldn’t Happen to a Vet.

It certainly shouldn’t have happened to a police officer. The finest of the Central Scotland force were drafted in and spent five hours attempting to catch the birds. Their efforts were captured on the mobile phone cameras of scores of motorists. The police were not amused. A spokeswoman told The Times: “It is illegal to use a mobile phone while driving.” Officers had even noted down the registration numbers of the worst offenders, and 20 of them were to be charged. “Offenders will receive a fixed penalty of three points on their licenses and a £60 fine,” she said.

James Ireland, 43, a passer-by at the scene yesterday morning, said: “There were dead chickens all over the road, live chickens running about everywhere, and policeman and chicken catchers trying to grab them by the legs and put them into containers.
“The air was thick with feathers and policemen and chicken catchers, I’ve never seen anything like it.”

Vets began to arrive at 7am. At 9.30am the operation to recapture the chickens was stepped up, with the arrival of specialist chicken handlers from Noble Foods in Glenrothes.
By now many of the chickens appeared to have lost the will to keep on running. Catriona Ewan, a vet involved in the clear-up, said: “Most of them were huddling together, they’re not used to being out of doors. They were sitting calmly at the side of the road and some were starting to perch in the bushes.”

Ms Ewan estimated that she had put down up to 80 birds that had sustained broken wings and legs. She had hoped to minimise the suffering, although she could not help feeling that this effort was somewhat superfluous considering the life expectancy of the chickens – broilers that are slaughtered while still young and tender.

“They don’t have the best life as a result of being farmed and they were on their way to be killed anyway,” she said.
The survivors were eventually put back in their crates transported to a processing plant in Gainsborough.
On the run

–– The easiest way to catch a chicken is to do so in the dark. Poultry catchers grab the birds by its legs and put them in plastic drawers inside a metal crate. A team of catchers can catch 5,000 birds an hour, the usual consignment on one lorry

–– Trying to perform the same task in daylight is difficult. Chickens can see their catchers and also to escape from a drawer. They will run free wherever they can

–– The usual method is therefore to corral the birds gently with a piece of wood and guide them into a pen. Only in a real emergency would birds be caught by netting or blankets
chicken_1_218687a.jpg


Source:TimesOnline and BBC!


Karl Marx's Answer:To spread the international organization of the chicken-proletariat in their class-struggle against the heinous bourgouisie child-killing egg-frying capitalist farmer-class. He was carrying unifying propaganda meant to instill the virtues and fervor of the labor struggle against the alienating psychological effects of egg-stealing by the evil capitalists. An egg-cott was in the offing: the very foundations of the international capitalist egg-conspiracy were to be shaken by the balk and refusal to lay of all working-chickens everywhere! The fox, an agent of the oppressive bourgouisie, saw his crossing, and ate him: dichotimized in his relations of production, suffering the ultimate alienation of the worker from his labors, the chicken's story is merely further evidence that the worker-chicken cannot escape his labor-role in the cog of the capitalist conspiracy until all laborers everywhere, of whatever specie, are united in their stand against the alienating forces of international exploitative capitalistisic egg-consumption!

Albert Einstein's Answer:
Did the chicken really cross the road or did the road move beneath the
chicken?

Source: Chicken Joke

SteveD.
 
kuku alivuka barabara, kuangalia nini kinaendelea ng'ambo kama ilivyo kwa wabongo waishio ulaya na wazungu waishio bongo. kuku anaweza kudhani ng'ambo kuna wadudu watamu kama ilivyo kwa wabongo wengi waishio ulaya
 
..wadudu,akataka kuwala!

..ikabidi avuke barabara,ila akasahau kuwa hiyo barabara wapo wengine hupita,tena kama ya baba yao!

..ndo hivyo,ukivuka bila kutazama pembeni,sikazi ukajigonga kwenye tuta au ukajikwaa!

..au ukagongwa!na hapo ni either unakufa papo hapo au unaenda filia mbele!...

..tamaa ndo ilimfanya,akafanyika!
 
kuku alivuka barabara, kuangalia nini kinaendelea ng'ambo kama ilivyo kwa wabongo waishio ulaya na wazungu waishio bongo. kuku anaweza kudhani ng'ambo kuna wadudu watamu kama ilivyo kwa wabongo wengi waishio ulaya

..nlikuwa sifahamu!

..hasa huko yuropa nowadays wadudu wa kila aina tena wasioruka sana hupatikana!

..si kwao mapori yamekatwa!so they are free to fly!
 
Kuku hakuvuka barabara, na wala hatavuka barabara kwani hayupo.
Yumo mawazoni mwa watu tu basi.
 
Kuku alivuka barabara kukwepa mawe aliyorushiwa kikwete kwenye msafara wake akifikiri anarushiwa yeye.
 
Kuku alivuka barabara kwa kuwa kulikua hamna kizuizi yaani barabara ilikua nyeupe kwa muda mrefu akaamua asisubiri tena kwa kuwa sasa anaweza kuvuka salama
 
Last edited:
Our soon-to-be-released Chicken '98 will not only cross roads, but will lay eggs, file your important documents, and balance your checkbook.
 
...kosa kuku ambalo alilifanya mwaka 2005 kuchagua kikwete...ndio maana anavuka barabara kwenda upande wa pili 2010
 
Katika mgongano wa kifikra swali jepesi kama hilo laeza kusababisha maoni mengi na ya ajabu sana. Tangia miaka ya enzi na enzi swali hilo limekuwa likipatiwa majibu tofauti kufuatana na ni nani anayetoa jibu hilo. Ukienda kwenye blogu ya michuzi utaona jinsi watu wanavyofikiri ni jinsi gani watu mashuhuru wamejaribu kulijibu swali hilo au ni jinsi gani wangejaribu kulijibu swali hilo. Swali hili lina falsafa iliyofichika na linahusu haki, uhuru, maono, mwelekeo na mtazamo.

Wewe ukiulizwa swali hilo, unafikiri ni kwanini "kuku aliamua kuvuka barabara"?

All those reasons are very funny. they have made my day!!!

Kuku alivuka barabara ili aweze kumpigia kura "that One"
 
kuku ali vuka barabarani ili aweze ku wa stop mama na mwanae wa kiume toka zimbabwe to have a baby together.

kuku alivuka barabara ili amuone huyo mtoto Miriam akimsifu Mungu kwa nyimbo

Kuku kavuka barabara ili awazuie mafisadi

Basi huyo kuku tumpigie kura, whether 2010 au 2012....all the time!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom