Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

"Wahenga walisema mfa maji hakosi kutapatapa"na ukweli uko hivi "huwezi kushindana na wakati,wakati ukifika umefika tu huwezi kuugeuza wala kuubadilisha" Biblia inasema.

Kila jambo chini ya jua liko kwa wakati.NI VEMA CCM IKAJUA KWAMBA WAKATI WAKE WA KUENDELEA KUKANDAMIZA NA KUDANGANYA WATANZANIA UMEFIKA KIKOMO.Ukweli unajidhihirisha jinsi mambo yanavyoendelea kwa sasa.

Utashangaa chochote wanaCCM wanachokifanya kwa kukiangamiza chama chao.
 
.
Hilo jina ni la mwenye nalo ambae alifaulu mtihani na kutokea hapo kama liliporwa ama kununuliwa sijui, ila ninachojua ni kwamba Mwigulu Nchemba halisi yupo na kichwa chake cha kufaulu mitihani kii pamoja nae tofauti na huyu wa Singida.
Ndio maana nimuuliza ikiwa kama system itakubali kuwa na mwigulu nchemba wawili.
.

Mmmh ikiwa ni hivo basi mambo mengi sana yataibuka maana hata Rosemary Mwakitwange ni jina la mama mmoja kule wilayani Rungwe-Mbeya. Ni sawa na la mama anayeendesha midahalo kwenye TV.
 
Mkuu hebu jikite kwenye ku-discuss hoja badala ya mambo binafsi. Huyo mdada akikuachia position aliyonayo wala hutoiweza.

Hoja atajibu Waitara ambaye ni mtuhumiwa, na ushahidi wa kikao cha Mikocheni mliwekewa hapa siku tatu kabla hawajamaliza uhai wa kijana wa kitanzania kwa ukatili mkubwa.
 
Toa taarifa hizo,siogopi chochote wewe ni killer no matter what.

Sema chochote kinachonihusu.
Mume wa mtu,unamjua wewe sasa ni wakwangu na itabaki kuwa hivyo.
Hapoi utasema sana,kusanyeni taarifa za kutosha juu yangu mzilete hapa.

Huguswi hapa JF ukiguswa tu watu wa mungu
Wanafungiwa hii ni hatari sana kwa ustawi wa Demokrasia hapa nchini
 
Wewe Burn Karudi una roho ya mauaji. Matamshi yako humu jamvini yanaweka wazi ulivo.

Mungu mkubwa vyombo vya usalama vinawohoji woote walioshiriki kumuua kikatili kijana wa kitanzania. Mwenyezi Mungu amlaani huyo aliyetoa nyumba yake tena iliyorithi kutoka kwa baba yake mtu muadilifu rafiki wa baba wataifa itumike kupanga mauaji ya raia.
 
Na wanapaswa kuadhibiwa vikali ili liwe fundisho kwa hichi chama cha chadema kinachotaka kuvuruga amani ya nchi
 
Mchungaji pole, hata wakimfichia aibu hapa Mwenyezi Mungu atamuumbua tu.
Mungu kweli anachezewa, nafsi zenu zinashuhudia ukweli lakini mnamtaja Mungu kinafiki. Yeye si mwanajf lazima atawapatilizia tu. Anenacho yeye lazima kitimie, kuikomboa Tz 2015 na sio wapangacho CCM kuua ili muendelee kuwanyonya Watz.
 
Mungu yupi? Huyo mnaye mpa kafara za damu za watu?
 
Bahati nzuri kwa mungu hakuna unafiki. Dr Ulimboka ameonesha hilo, na Mchungaji kanawa mikono. Kila nafsi sasa ijitetee.
 
Damu ya mtu Singida haiwezi kufutika mikononi mwa CDM kwa kuandika umbeya, majungu na fitina. Ni vyema CDM ikajitenga na hao wauaji wachache kuliko kuendeleza fitna huku mitandaoni au kama mnaweza elezeni hayo maneno Iramba.
hivi ingekua chadema ndio wamevamia mkutano wa ccm ingekuaje
 
Ngoja afya ya huyo mzee itulie asije kuondoka kwa presha ila usidhani kuna kupumzika.

Very unfortunate for this nation to have a rogue of your kind in the inner circle of the nation's systeme! Very unfortunate for Iramba West too. We couldn't accept you even as a mere begger in our simple village Mwankoko. I can deal with you personally, I swear. Wait and see!
 
Na wanapaswa kuadhibiwa vikali ili liwe fundisho kwa hichi chama cha chadema kinachotaka kuvuruga amani ya nchi

inabd tukeshe tukiomb kwan mwsho wa dunia unakarbia,kwa hii sign ya manabii fek kama nyie kujtokeza..
 
Nilidhani ccm ingeokolewa na vijana wasomi kama kina Mwigulu lakini kumbe ndo wanaisindikiza kwenda kuzimu kabisa. Mwenyekiti wa chama anaua kwa kutumia sumu na magenge ya mafya, wabunge wanaua kwa kurubuni watu kwa pesa na pombe? Chama cha aina hiyo hakiwezi kusalimika.

WebRep

currentVote

noRating
noWeight
 
Mungu mkubwa vyombo vya usalama vinawohoji woote walioshiriki kumuua kikatili kijana wa kitanzania. Mwenyezi Mungu amlaani huyo aliyetoa nyumba yake tena iliyorithi kutoka kwa baba yake mtu muadilifu rafiki wa baba wataifa itumike kupanga mauaji ya raia.

Kama mlijua walipanga mauaji kwa nn hamkuwakamata?polisi wa kwenu mlishimdwa nn ka sio propaganda..nyie ueni cjui mnadhan utaishi milele
 
Ndio kabisa kila mauaji yanayotokea anahusika yan ukiliangalia li sura lake limekaa kiuaji yan kajaa chuk kashndwa kushawish sasa anatumia miguvu..shetan mkubwa na ulaaniwe we mwigulu muuaji
 
Back
Top Bottom