Kwanini kikwete hawezi mguta kazi Ngeleja

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,062
79,089
Tuwe wakweli ukaribu wa Kikwete na Malima katika ila dhana ya "mwenzetu" ni kigezo tosha cha kuweza kung'amua Ngeleja au Malima hawawezi kuondolewa na hata huyo Jairo ataondolewa kwa mbinde sanaa....! hiyo ndiyo Tanzania yetu
 
Mkuu, mguta kazi ndio nini?
 
Jamani, munapo bandika andiko murejee baadae kuhakikiangalau sarufi kama siyo mantiki ya ujumbe.
 
Akishindwa kuwawajibisha basi awajibike yeye kwa niaba yao!!!!!!!!!!!!!!tumeshoka na ufisadi!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom