Kwanini Kikwete Hakuwa na Furaha kwenye Kuapishwa?

Miaka mitano haku - achieve na ndiyo sababu ya kutumia nguvu kuchakachua ili aonekane alifanya vizuri na bado haikusaidia, ukichukulia mfano wa Mkapa 1995 alipata 61+% na 2000 alipata 71%, utaona kwamba Mkapa alifanya vizuri sana kipindi chake kuliko JK.

Hakukuwa na sababu ya kufurahia matokea yanayorudi hatua 21 nyuma badala ya kupiga hatua angalau moja mbele
 
kweli nilimwona hana furaha,

ila sina lakusema inavyo onekana ni kama vile nec ili mfadhili urais, labda yeye mwenyewe hakufuraishwa sana na uchakachuzi wa ki-vileeeeeeee.......!!! uliyofanywa na nec.
 
Back
Top Bottom