Kwanini kesi nyingi za uchaguzi ni Tundu Lisu licha ya kushindwa?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Kesi nyingi za kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi husimamiwa na mwanasheria wa Chadema Tundu Lisu licha ya kuwa nyingi hushindwa Mfano kesi za Wenje, Kafulila, Ester Bulaya.
 
kweli kabisa yeye na mwenzake Kibatala wanarefusha CV hata wakipata dhamana wanadai wameshinda kesi na kujaza picha facebook
wapo John Mallya, Peter Kibatala na Tundu Lisu. Ndo wenye MRADI huo sasa ukihoji hawa bavicha hawataki kusikia kabisa!
 
Kesi nyingi za kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi husimamiwa na mwanasheria wa Chadema Tundu Lisu licha ya kuwa nyingi hushindwa Mfano kesi za Wenje, Kafulila, Ester Bulaya.

Of all cases opened against 2015 elections only one case nullified the results - Longido the rest where in favour of winners
 
Wewe mleta hoja una unachomtafuta TL sio bure. Hoji na zile kesi za tanesco za kule nje ya nchi mawakili wa ccm walivyoshinda! Unasahau kuwa wenye kuhukumu wana kadi za chama kinachotuhumiwa kushinda kwa hila na kinaamini kuwa na hati miliki ya kuiongoza hii nchi? TL ni jabali la sheria na atabaki kuwa legend kwa kipindi kirefu. Stay tuned utakuja kukiri hapa once haki ikichukua mkondo wake.
 
Kesi nyingi za kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi husimamiwa na mwanasheria wa Chadema Tundu Lisu licha ya kuwa nyingi hushindwa Mfano kesi za Wenje, Kafulila, Ester Bulaya.
Ester Bulaya alishindwa nini na lini..?
 
Kesi nyingi za kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi husimamiwa na mwanasheria wa Chadema Tundu Lisu licha ya kuwa nyingi hushindwa Mfano kesi za Wenje, Kafulila, Ester Bulaya.
Nimesoma eti baadhi ya wtz wanaugua kichaa, vipi mkuu hii habari ni ya kweri??
 
Sasa naamini muandika mada hii ni kichaaa...

Ngoja Mh. NAPE AJE KUMFUNGIA KWA KUMTAJA MH. TUNDU LISU...
 
Nafedha za kulipa mawakili nachukua yeye.DJ ame mtengenezea Ulaji.
 
Back
Top Bottom