NDAMANDOO
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 253
- 124
Habari wana JF,
Serikali inajiandaa kutoa vitambulisho vya taifa kwa waTZ wote. Naiunga mkono kwa uamzi huo mzuri.
Lakini katika vipengele vyote sijaona sehem hata moja ambayo itaweza kumtambua mtu ambaye amepata ajari (kama ile ya Mv BUKOBA, Mv SPICE na hii ya juzi Mv STARGIC) na kupoteza vitu vyake vyote. Kwa mawazo yangu ningipenda katika zoezi hili zuri basi waongezi vipimo vya DNA kwa watanzania wote na kuwekwa katika Data base ya vitambulisho ili tu mtu akiokotwa naweze kujulikana particular zake zote kuanzia jina, ndugu zake na mambo mengine ambayo yatasaidia.
Pia itasaidia katika kuwanasa majambazi sugu ambayo yatajeruhiwa na police na kuchukua sampli yake.
Ni mawazo yangu tu
Naleta kwenu wana JF.