Kwanini katibu mkuu wa baraza la mitihani haijawahi kushikwa na muislam?

Status
Not open for further replies.
C muwalipe hao dowans na pesa zenu za sadaka? Au huwa hamtoi? Unatia huruma wewe! Mungu na akusamehe bure cz co makosa yko.
lkn mbona makanisa yankunja mabilion ya fedha halafu mnakuwa wakal downs kupewa haki yake.
 
Basi una kazi kweli kweli! Chuo chenyewe cha kiislamu ni hicho kimoja cha kupewa. Shule zenu za seminary sekondari ndo zinazoshika mkia. Kwenye vyuo vikuu wataendelea kujaa hao unaowachukia. kameze wembe
kwani hujui kama Ivory coast illikuwa nchi yenye uchumi wa hali ya juu barani africa. lkn ya ngapi sasa?
 
Elimu zao znawaruhusu kushka hzo nafasi! We unataka wapewe wa2 wnye elim ya madrasa nafac nyeti hvyo? Haiwezekani. Bakini huko huko kwnye vjiwe vyenu vya majungu na umbea!
Ukisikia waislam wanaongea usidhani hawana data list uliyotaka hii hapa
1973-1977=Pius Msekwa
1977-1980= M Kaduma(mkristo)
1980-1988=Nikoras Kuhanga
1988-1992=Prof Mmali
1992-1999=Prof Ruhanga
1999-2004=Prof Mmali
2004-2009=Prof Mwaikando
2009-hadi leo Prof Mkandala
sema nyingine unayotaka kuhusiana na wizara ya elimu nikupe
 
Nakupendekeza muhogomchungu upewe hiyo kazi....maana naona unasahau kuwa wa mbili havai moja lol! Kama hutaki kusoma nakuhakikishia hutafaulu mitihani hata siku moja....haijalishi wewe ni dini gani.
 
tehe tehe tehe! Wakat wenzao 2nakazana kujenga mashule na mahospital wnyewe wanakazana kujenga madrasa? Pole yao! Wataishia kulalamika kla cku, ila ukwel hawa2wez hta kdgo!
Sadaka zao ni kwa ajili ya kujenga madrasa
 
Elimu zao znawaruhusu kushka hzo nafasi! We unataka wapewe wa2 wnye elim ya madrasa nafac nyeti hvyo? Haiwezekani. Bakini huko huko kwnye vjiwe vyenu vya majungu na umbea!

Mchumba hilo neno madrasa hapo ndipo mnapokosea, acha ushabiki ktk kujadili jambo la msingi. hapa hatuzungumzii elimu ya madrasa elimu hiyo wewe unaidharau sana inatuhusu sisi waislam. ila hapa tunapozungumzia isue za post zisizohusiana na madrasa ujue tupo huko. Mchumba ivi toka uhuru miaka yote hii katika wizara hiyo hakuna muislam mwenye sifa hizo? au ndo mfumo kristo unawafanya muendelee kuwa mafisadi katika kuwabagua waislamu?

Nakufundisha kitu: Neno madrasa ni neno la kiarabu ambalo maana yake ni Shule.
 
hiyo list uliyoitoa ni ya wenyeviti wa bodi si makatibu watendaji wa necta!weka list ya makatibu wa necta!ni vizuri pia ukaweka list ya watendaji wakuu wa govt agencies kama ewura,sumatra,tcra,tcaa,msd,temesa,tanroads,tanapa,nimr,ppf,nssf,pspf,tanesco etc
 
Kuna shutuma kwamba baraza la mitihani ndio chanzo cha waislam kuwa nyuma. ktk mijadala yao mingi hulitaja baraza la mithani kama ni source ya wao kuwa nyuma.
wanasema eti sio bahati mbaya kuwa baraza hilo kutoongozwa na muislam .
Ijapokuwa waziri huwa muislam.lkn wanaamini katibu mkuu ndio mtendaji mkuu.
1973-1977=Pius Msekwa
1977-1980= M Kaduma(mkristo)

1980-1988=Nikoras Kuhanga
1988-1992=Prof Mmali
1992-1999=Prof Ruhanga
1999-2004=Prof Mmali
2004-2009=Prof Mwaikando
2009-hadi leo Prof Mkandala
.

Hii thread inaumiza kichwa. Inazungumzia baraza la mitihani. But watu wanaotajwa, pamoja na ukilaza wangu ni makamu wakuu wa chuo kikuu cha dsm! Imekaaje hii wakuu
 
Hii thread inaumiza kichwa. Inazungumzia baraza la mitihani. But watu wanaotajwa, pamoja na ukilaza wangu ni makamu wakuu wa chuo kikuu cha dsm! Imekaaje hii wakuu

tatizo hapa kuna kaibu muislam? au wewe unamjua? tupe habari au ndio wale akina prof safari mliowabeba majungu na watu wa darsa
 
nyiny mnatia saign mikataba mibovu. pesa mnazitia kanisani?

ndio yale wanasema nyani haoni kundule. watanzania tunaumiza kichwa kuhusu Dowanz kumbe Makanisa ndani ya hii 2011 tayari wamechota pesa ya mlalahoi Bilion 600. Yaani inaniuma hii. yaani hapa hatukubali tena upuuzi huu. hapo ndipo mtawajua wazee wamadrasa ni akina nani
 
Hakuna jambo la mcng la kujadiliwa hapa! Mnapenda kuongelea mambo ya udin wkt Tz hayo mambo hayapo! Mnataka kuvuruga amani ya nchi kw isue zenu zczo na kchw wla miguu! Hv ww una elimu gn? Manake km umesoma kwel ungeanza kuwaelimisha hao waislam wenzio wnye mawazo ya ajab. Mcpende kujfanya wehu wkt akil mnazo!
Mchumba hilo neno madrasa hapo ndipo mnapokosea, acha ushabiki ktk kujadili jambo la msingi. hapa hatuzungumzii elimu ya madrasa elimu hiyo wewe unaidharau sana inatuhusu sisi waislam. ila hapa tunapozungumzia isue za post zisizohusiana na madrasa ujue tupo huko. Mchumba ivi toka uhuru miaka yote hii katika wizara hiyo hakuna muislam mwenye sifa hizo? au ndo mfumo kristo unawafanya muendelee kuwa mafisadi katika kuwabagua waislamu?

Nakufundisha kitu: Neno madrasa ni neno la kiarabu ambalo maana yake ni Shule.
 
Hakuna jambo la mcng la kujadiliwa hapa! Mnapenda kuongelea mambo ya udin wkt Tz hayo mambo hayapo! Mnataka kuvuruga amani ya nchi kw isue zenu zczo na kchw wla miguu! Hv ww una elimu gn? Manake km umesoma kwel ungeanza kuwaelimisha hao waislam wenzio wnye mawazo ya ajab. Mcpende kujfanya wehu wkt akil mnazo!

chama gani wewe? kama chadema unaongoza kwa uchochezi
 
Ukisikia waislam wanaongea usidhani hawana data list uliyotaka hii hapa
1973-1977=Pius Msekwa
1977-1980= M Kaduma(mkristo)[/SIZE]
1980-1988=Nikoras Kuhanga
1988-1992=Prof Mmali
1992-1999=Prof Ruhanga
1999-2004=Prof Mmali
2004-2009=Prof Mwaikando
2009-hadi leo Prof Mkandala
sema nyingine unayotaka kuhusiana na wizara ya elimu nikupe

Hawa uliowaandika walikuwa wenyeviti sio makatibu watendaji (Executive Secretary(ies)) wa baraza. Huyo M. Kaduma ni Ibrahim M. Kaduma ambaye wakati akiwa kwenye baraza alikuwa mwislamu. Huna data wewe.
 
hahahhaha. huna data. lete basi katibu mkuu musilam baraza la mitihani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom