Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,645
- 155,018
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?
Mtumishi,Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?
Si ukitaje broda?
Mtumishi,
Mie nadhani ili kuweka mambo sawa ungekitaja tu,
Mmmmh!japo huishi vituko pasta ww!
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?
Mikampuni mingine hovyo kabisa bora kabisa kuifananisha na waste inayotoka kwenye kiungo hicho.
Haa haa haa!kiungo cha kutolea haja nzito
kiungo cha kutolea haja nzito
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?[/QUOTE]
Isije ikawa huduma za kampuni zinafanana na kiungo tajwa.......Natafakari kwa sauti; samahani!!!
Tigo wana huduma za hovyo kama choo