Kwanini JK & opposition hawajatoa pole kwa watu wa Norway?

ikhwan safaa

Senior Member
Jul 24, 2011
106
29
88-eba4f5a9-a9cfb2a2.jpeg

Norway is a REAL friend and partner wa nchi yetu. Lakini cha kushangaza its more than 24 hrs none of our selfish & out of touch politician from both sides of the spectrum including opposition aliyekwenda kupeleka salaam za rambi rambi pale ubalozini.

Not even viongozi wa CUF ambao walikuwa hawaishi kwenda Norway kuomba jamaa waisaide Zanzibar.

Chama kikuu cha upinzani CHADEMA nao wako bize na siasa zao za punch and judy na maswahiba wao wa chama tawala CCM

Inawezekana kuwa si kazi ya rais kupanga haya mambo lakini what the hell is Membe na time yake doing? Where the hell is hao ma elusive team ya Ikulu walipo?

Not even a statement from our pathetic government!

That said on behalf of Jamii forums posters we would like to express or condolences to the Norwegian people in these hard times
 
The times they are a changin'. Uhusiano wa Tanzania na Norway si kama ule wa zama za Ujamaa. Unfortunately, mshikamano haupo tena enzi hizi za ufisadi uliokithiri na Hollywood-style hustles za "show me the money".
 
88-eba4f5a9-a9cfb2a2.jpeg

Norway is a REAL friend and partner wa nchi yetu. Lakini cha kushangaza its more than 24 hrs none of our selfish & out of touch politician from both sides of the spectrum including opposition aliyekwenda kupeleka salaam za rambi rambi pale ubalozini.

Not even viongozi wa CUF ambao walikuwa hawaishi kwenda Norway kuomba jamaa waisaide Zanzibar.

Chama kikuu cha upinzani CHADEMA nao wako bize na siasa zao za punch and judy na maswahiba wao wa chama tawala CCM

Inawezekana kuwa si kazi ya rais kupanga haya mambo lakini what the hell is Membe na time yake doing? Where the hell is hao ma elusive team ya Ikulu walipo?

Not even a statement from our pathetic government!

That said on behalf of Jamii forums posters we would like to express or condolences to the Norwegian people in these hard times
Ni AIBU KWA HIZI TOPIC WITHOUT DOING A LITTLE RESEARCH -- JUST TO POST BOGUS TOPIC ANGALIA CHINI CUF did send condolences...

Profesa Lipumba awapa pole Norway

na Vicky Kombe

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewataka wananchi wa Norway kuwa watulivu hasa kipindi hiki ambacho watu 93 wameuawa kwa shambulizi la bomu kwenye kisiwa cha Oslo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika ubalozi wa Norway nchini alipokwenda kutoa salamu za rambirambi kwa niaba ya vyama vya siasa, alisema Watanzania wamesikitishwa kutokana na tukio hilo.
Profesa Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia (TCD) amewaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka ili waendelee na shughuli zao.
"Nimekuja kutoa salamu za rambirambi kama mwakilishi na Mwenyekiti wa TCD, nimewakilisha vyama vyote vya siasa katika kutoa salamu hizi kwa ubalozi wa Norway," alisema Lipumba.
Alisema mauaji ya watu 93 ni janga kubwa kutokea baada ya Vita ya Pili ya Dunia.
Kwa upande wake Balozi wa Norway nchini, Svein Baer, alisema mauaji hayo yanasikitisha huku akisisitiza kwamba upelelezi unaendelea.

Hivi mtu unajuaje kama JK hajatuma rambirambi kwa uhakika hivi? Una access na ofisi ya mawasiliano Ikulu na kuangalia mawasiliano yote yanayopita hapo?
 
Ni AIBU KWA HIZI TOPIC WITHOUT DOING A LITTLE RESEARCH -- JUST TO POST BOGUS TOPIC ANGALIA CHINI CUF did send condolences...

Profesa Lipumba awapa pole Norway

na Vicky Kombe
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewataka wananchi wa Norway kuwa watulivu hasa kipindi hiki ambacho watu 93 wameuawa kwa shambulizi la bomu kwenye kisiwa cha Oslo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika ubalozi wa Norway nchini alipokwenda kutoa salamu za rambirambi kwa niaba ya vyama vya siasa, alisema Watanzania wamesikitishwa kutokana na tukio hilo.
Profesa Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia (TCD) amewaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka ili waendelee na shughuli zao.
"Nimekuja kutoa salamu za rambirambi kama mwakilishi na Mwenyekiti wa TCD, nimewakilisha vyama vyote vya siasa katika kutoa salamu hizi kwa ubalozi wa Norway," alisema Lipumba.
Alisema mauaji ya watu 93 ni janga kubwa kutokea baada ya Vita ya Pili ya Dunia.
Kwa upande wake Balozi wa Norway nchini, Svein Baer, alisema mauaji hayo yanasikitisha huku akisisitiza kwamba upelelezi unaendelea.

Hiyo "little research"yako inakupa matokeo gani kuhusu reaction ya Viongozi wa CCM juu mauaji ya Norway? Akifa mwasisi wa TANU wa miaka 100 leo hii, basi kesho tutamsoma na kuona picha za Dikteta kwenye mazishi akiwa na mkewe aliyevaa ushungi huku amekaa kwenye mkeka aki-act kama ana huzuni kubwa kwenye blogu zote. Kudadeki!
 
88-eba4f5a9-a9cfb2a2.jpeg
Norway is a REAL friend and partner wa nchi yetu. Lakini cha kushangaza its more than 24 hrs none of our selfish & out of touch politician from both sides of the spectrum including opposition aliyekwenda kupeleka salaam za rambi rambi pale ubalozini.Not even viongozi wa CUF ambao walikuwa hawaishi kwenda Norway kuomba jamaa waisaide Zanzibar.Chama kikuu cha upinzani CHADEMA nao wako bize na siasa zao za punch and judy na maswahiba wao wa chama tawala CCMInawezekana kuwa si kazi ya rais kupanga haya mambo lakini what the hell is Membe na time yake doing? Where the hell is hao ma elusive team ya Ikulu walipo?Not even a statement from our pathetic government!That said on behalf of Jamii forums posters we would like to express or condolences to the Norwegian people in these hard times
Mh. Lipumba kwa niaba ya vyama vyote venye uwakilishi bungeni ametoa tamko lbda kama ww hukusikia!!
 
Big up guy,but already CUF leaders epressed their sympthdtical flngs to Norwgn,but the ruling party leaders are still 'busy'.

Back
Top Bottom