Kwanini jamani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
1.Eti mwanamke mfupi sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
2. Eti msichana akiwa na matege sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
3. Eti msichana akiwa na kifua (lakes0) "maziwa" makubwa hata akiwa mzuri sana anaitwa sio mrembo
4. msichana mzuri mweusi naye aitywa si mrembo.

Jamani sisi kwa kejeli zetu ndio maana kina dada wanajichubua na kujiharibu na operasheni mbalimbali za kusaka urembo.
Tujirekebishe jamani
 
si kila mtu anahangaika na uzuri wa nje.
mwenye mapenzi ya kweli daima atahangaika na uzuri wa ndani ya nafsi
 
UZURI ni TABIA achana na hizo HOUSING!!!!!

1.Eti mwanamke mfupi sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
2. Eti msichana akiwa na matege sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
3. Eti msichana akiwa na kifua (lakes0) "maziwa" makubwa hata akiwa mzuri sana anaitwa sio mrembo
4. msichana mzuri mweusi naye aitywa si mrembo.

Jamani sisi kwa kejeli zetu ndio maana kina dada wanajichubua na kujiharibu na operasheni mbalimbali za kusaka urembo.
Tujirekebishe jamani
 
Watoto kama hawa ni wazuri sana na wako very innocent kwa nje, lakini ndani mwao ni machafuko na uzinzi

moz-screenshot-4.png
1.jpg
 
1.Eti mwanamke mfupi sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
2. Eti msichana akiwa na matege sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
3. Eti msichana akiwa na kifua (lakes0) "maziwa" makubwa hata akiwa mzuri sana anaitwa sio mrembo
4. msichana mzuri mweusi naye aitywa si mrembo.

Jamani sisi kwa kejeli zetu ndio maana kina dada wanajichubua na kujiharibu na operasheni mbalimbali za kusaka urembo.
Tujirekebishe jamani

Hivi urembo na uzuri vinatofautiana vipi???
 
Unajua hiyo picha niliwapiga kwa kamera ya kwenye simu.
Siku nyingine nikawakuta bustanini, wakiparamiana. Huyo wa kike ni mtoto wa anti yangu, na kakiume ni kangu.
Je unadhani tunazalisha taifa la namna gani?
 
Hata kama.....wazinzi ni wale wanaojua wanachokifanya!!!Kwanza wamejuaje hayo yote kama hawajayaona kwako au kwenye tv.....watoto wanaiga so rekebisha malezi na sio kuwabatiza majina ya ajabu ajabu!!!
 
Unajua hiyo picha niliwapiga kwa kamera ya kwenye simu.
Siku nyingine nikawakuta bustanini, wakiparamiana. Huyo wa kike ni mtoto wa anti yangu, na kakiume ni kangu.
Je unadhani tunazalisha taifa la namna gani?

Watoto hawawezi fanya vitu bila kuiga kwa watu wanaowazunguka, hivyo wewe ndio umewaharibu kwa kula denda hadharani mbele yao na mke/demu wako nao wameiga.
 
si kila mtu anahangaika na uzuri wa nje.
mwenye mapenzi ya kweli daima atahangaika na uzuri wa ndani ya nafsi

Hujamuelewa !! yeye anazungumzia urembo siyo uzuri
Urembo upo kwa njee
Kwani umeona kwenye mashindano ya u-mis kuna binti mfupi na akashinda?
Hata kwenye kisura wanataka warefu! Sijui kwa nini (wananyanyapaaa wafupi):A S-alert1:
 
hapo mwanzo sio mjita madem short chases wakali mbona?
halafu kwenye matege mi naona mzuka kwenye yale yakutokeza kwa nje
halafu kwenye madem weusi ndo wenyewe mjita wanakuwaga hot kivile
 
Unajua hiyo picha niliwapiga kwa kamera ya kwenye simu.
Siku nyingine nikawakuta bustanini, wakiparamiana. Huyo wa kike ni mtoto wa anti yangu, na kakiume ni kangu.
Je unadhani tunazalisha taifa la namna gani?

Maji hufuata mkondo, yawezekana hiyo roho ya uzinzi inatokea kwa familia, waombeeni mapema isiwafuatie.
 
Back
Top Bottom