Kwanini Jaji Razia sheikh ajitoa kwenye kesi ya uvuvi haramu wa bahari kuu ya Tanzania?

nahisi inaweza kuwa hvyo na hasa tukiangalia diplomatic relations na watu wa nchi hizo waliotiwa mikononi mwa sheria,pia kutokana na hali kama hyo inaweza kuathiri fumo mzima wa kisheria kwenye ushughulikiaji wa kesi hiyo,thus why watuumiwa hao wanaraise allegations ya kutokuwa na imani na msimamizi wa kesi hiyo haliyejitoa na pia inanipa doubt mtu atakayechaguliwa kusimamia kesi hyo anaweza kuwa bias na kutosimamia vizuri kesi hyo kutokana na interest anayoweza kuwa nayo kwenye hiyo kesi,na hivyo kuliminya taifa kihaki.
 
Back
Top Bottom