Kwanini inatokea?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wakuu,
Hivi nimejaribu kuchunguza miaka imepita nasijapata jibu naleta kwenu mnijuze kwa nini,
Kwanini unapokaribia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan vitu upanda bei??
(a)Mnyama mauzo yake upungua sana(ChairFire)
(b)Nyumba zakulala wageni hukuta vibao vimeandikwa vyumba vipo
(c)Baa mauzo upungua sana
Na wanapofungua Hukuta mauzo yanakuwa juu kwakila sekita niliyoitaja, a,b,c,??
Nni hasa siri ya urembo??
Nimatumaini yangu nanyi nimashahidi kwahilo.
 
Kali ni kuwa hata mauzo ya kitimoto nayo hushuka, huwa napata hasara sana mwezi huo!!
 
jibu mbona ni rahisi sana jamani. Hebu acheni uchokonozi wenu huo. Mwezi mtukufu watu wanahimizwa kuwa watukufu hivyo inabidi waache dhambi ndo maana uzinzi unapungua (guest zinakosa wateja maana wanakuwa na njaa ya mfungo) na pia kitimoto hakinunuliwi sana (maana walaji wanakuwa wamefunga). Baada ya mwezi mtukufu wananchi hurudia madhambi yao hivyo maisha yanarudi kwenye mstari uliozoeleka.

Mwenzenu nimeamua kuokoka na kuishi maisha matakatifu siku zote kwa msaada wa Yesu (jina lipitalo majina yote). Kwangu hakuna cha mwezi mtukufu (ambapo natakiwa kuacha maovu) na mwezi mchafu (ambapo naruhusiwa kufanya madhambi). Kwangu siku zote ni tukufu.
 
kaburunye ..............hakuna mwezi ambao mtu 'anaruhusiwa' kufanya madhambi ..............wenye kufanya wanafanya kwa utashi wao tu
 
Wakuu,
Hivi nimejaribu kuchunguza miaka imepita nasijapata jibu naleta kwenu mnijuze kwa nini,
Kwanini unapokaribia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan vitu upanda bei??
(a)Mnyama mauzo yake upungua sana(ChairFire)
(b)Nyumba zakulala wageni hukuta vibao vimeandikwa vyumba vipo
(c)Baa mauzo upungua sana
Na wanapofungua Hukuta mauzo yanakuwa juu kwakila sekita niliyoitaja, a,b,c,??
Nni hasa siri ya urembo??
Nimatumaini yangu nanyi nimashahidi kwahilo.

(d)Na selo za Polisi zinakuwa tupu.....
(e)hatufungi magrili yetu majumbani
 
No comment

Hapo kwenye red mkuu:
...ndoa zinafungwa kwa fujooo.
 
Mwenzenu nimeamua kuokoka na kuishi maisha matakatifu siku zote kwa msaada wa Yesu (jina lipitalo majina yote). Kwangu hakuna cha mwezi mtukufu (ambapo natakiwa kuacha maovu) na mwezi mchafu (ambapo naruhusiwa kufanya madhambi). Kwangu siku zote ni tukufu.

:hail:....:A S 41:....:amen:
 
Hii hoja hata wakuu wa dini hiyo wanahoji sana na pia nakumbuka mkulu wa nchi alipata kuuliza; Je wenzetu wasionasi ktk kuamriwa kufunga huwa wanatusindikiza au siye na mabazazi?

Linahitaji uchunguzi wa kina na sio jambo la kurikukurukia.
 
jaribuni ku-analyse vitu kwa kutumia ubongo kidogo

Nchi yetu ina watu wa dini tofauti tofauti na makundi makubwa ni wakristo na waislamu (assume ni 50% kwa 50%) na pia kuna mwingiliano wa kimapenzi kwa dini zote mbili yaani mkristo anaweza toka na mwisilamu na vice versa sasa wateja wa guest wanapungua kwa kuwa waislamu huu ni mwezi wa toba kwa imani yao wanajinyima kufanya anasa na dahmbi hivyo 50% ya wateja waislamu haiendi guest na ukijumlisha na wapenzi ambao wanatoka na waislam nao hawataenda guest hapo % inaongezeka

hiyo ina-apply pia kwenye kutoka out kama kwenda baa, club, mahotelini n.k

kuhusu kitimoto nadhani ni utani tu

DOKEZO: Hoja za udini na kukashifu dini nyingine si nzuri please
 
Unakataa ukweli??Hoja hapa nikitimoto??au nikutokana na huduma zajamii kudorora lakini na hii yakitimoto nayo hoja kwani ukiuliza wanouza utasikia nilikuwa nachukua nguruwe wawili lakini now half why??
 
Back
Top Bottom