kwanini inakuwa rahisi kwa mtu aliyeoa au kuolewa kuwa mahusiano nje?

kifyoga b

Member
Feb 14, 2011
43
4
nimejaribu kufanya utafiti usio "rasmi" na kubaini kuwa inapotokea mwanaume aliyeoa kumtongoza mtu mwingine ambaye tayari ameshaolewa au bado hajaolewa inakuwa rahisi kupita maelezo kukubaliwa huku akijua wazi kuwa wewe tayari umushaoa au umeshaolewa. nina mifano dhahili ambayo mimi mwenyewe imeshatokea watu ambao kabla sijaoa walikuwa mbali nami na hata nilipojaribu kuweka mahusiano nao walinikimbia sasa nimeoa yaani kama maji yanayokimbia mlima vile pia kuna marafiki zangu wanaface the same problem. na wanadhiliki kusema wapo radhi kuwa vidumu for the rest of their life kwa sababu wahakujua potentiality yako. hii imekaaje mawazo yenu wazee wa kudadafua mambo[I][/I]
 
Jiulize! inakuwaje Rais aliye kula kiapo kwa katiba na Msaafu wa dini anashiriki kuibia watu wake?! wote ni sehemu ya waovu!
 
I think hujafanya research, hebu toa reference kwanza kisha tuanze kuchangia! Othewise wewe ndo mwenye tabia hiyo ya kutoka nje ya ndoa yako!
 
[/I]I][/I] kwanza kabisa nipatie maana ya alama hizo hapo juu sijazielewa, pili naona hii topic imeingia ukumbi usio wake ingefaa zaidi ka ungeidrop ktk ukumbi wa mahusiano na mapenzi, ni mtazamo tu wadau msinihukumu.
 
I think hujafanya research, hebu toa reference kwanza kisha tuanze kuchangia! Othewise wewe ndo mwenye tabia hiyo ya kutoka nje ya ndoa yako!
nafikiri wewe ndio hujasoma vizuri, refference gani maana maelezo yangu yanajitosheleza. kuhusu suala la mimi kuwa mhusika si hitaji lako kujua wala kuhukumu issue ya msingi ni je hilo lipo kwenye jamii na kama lipo nini chanzo au sababu mzee wa inshu jina tu linaonesha ni mwanachama mzuri tupe sababu zako.
 
[/I]I][/I] kwanza kabisa nipatie maana ya alama hizo hapo juu sijazielewa, pili naona hii topic imeingia ukumbi usio wake ingefaa zaidi ka ungeidrop ktk ukumbi wa mahusiano na mapenzi, ni mtazamo tu wadau msinihukumu.
alama hazina maana yoyote. kuhusu hoja kutokuwa mahali pake inawezekana ukawa sahihi lakini pia hii ni sehemu ya hoja mbalimbali and that why i didnt hestate to drop it here jitihada
 
Kwa aliyeoa akimtongoza aliyeolewa nirahisi kukubaliwa kwasababu mwanamke atakuwa anaamini kuwa mme watu atatunza siri zaidi kuliko ambaye hajaoa pia hivyo hivyo kwa mme.
 
Hayo ni mapepo ya ukahaba yanawasumbua, itakuwaje mtu uzini wakati unaye ndani? mshindwe na mlegee!!!!!
 
Mwanaume aliyeoa anapomtongoza aliyeolewa na huyo mwanamke anakubali kwasababu hakuna mwenye future na mwenzie hapo.
Wanatumiana tu.
Pia hawataki usumbufu. Habari za utanioa lini sijui utakuja lini kujitambulisha nyumbani zinakuwa hazipo kabisa.
 
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom