Kwanini Ikulu itujulishe taarifa za siku zilizopita kama taarifa mpya?

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
152
Muda mfupi uliopita nimesikia kwenye redio moja ya Fm hapa Shinyanga kuwa Mh.rais amemteua makamu wa rais Mh. Bilal kuwa mkuu wa chuo cha Nelson Mandela na Mh David Mwakyusa kuwa mwenyekiti wa chuo hicho na uteuzi huo umeanza tarehe 05/04/2012
Maswali ya kujiuliza
1. Kwanini tunapatiwa outdated news?
2. Sheria inasemaje kuhusu hili?
3. kwanini mtu mmoja awe na vyeo vingi kiasi hiki hakuna wengine wenye sifa?
Kumbuka
Hii siomara ya kwanza kwa ikulu kutoa taarifa za siku zilizopita yaani uteuzi unafanyika na kuanza kazi bila umma kujulishwa na hujulishwa baadae sana. Kweli tunajenga nchi kwa kutoa taarifa zilipendwa?
 
Kidumu chama cha .............................
Zidumu fikra za mwenyekiti....................

Shtuka.
Mkoa gani wenye migodi mingi tanzania?
Ni mkoa gani umekuwa wa mwisho kujengewa substandard VETA college kama ya kata licha ya mchango mkubwa ktk uchumi wa mafidi huku pwani kikijengwa cha ghorofa?
Mkoa wa Shy una High schools za serikali ngapi? Unadhani kwa nini limewekwa gap hilo la muhimu kabisa kujiunga university? Shtuka
Hivi ofisi ya za wilaya/mkoa zinaingia mara ngapi kwa ubora ukilinganisha na majengo ya mkoa mpya kama wa Manyara? shtuka.
 
Mimi kwangu ni mpya.

upya wa taarifa

Kwangu taarifa hii ni mpya nashukuru kwa kuitoa
 
Kidumu chama cha .............................
Zidumu fikra za mwenyekiti....................

Shtuka.
Mkoa gani wenye migodi mingi tanzania?
Ni mkoa gani umekuwa wa mwisho kujengewa substandard VETA college kama ya kata licha ya mchango mkubwa ktk uchumi wa mafidi huku pwani kikijengwa cha ghorofa?
Mkoa wa Shy una High schools za serikali ngapi? Unadhani kwa nini limewekwa gap hilo la muhimu kabisa kujiunga university? Shtuka
Hivi ofisi ya za wilaya/mkoa zinaingia mara ngapi kwa ubora ukilinganisha na majengo ya mkoa mpya kama wa Manyara? shtuka.
Taratibu mkuu! Heshima mbele..........
Kwanza nikiri ni kweli huku kuna migodi mingi lakini sera ya serikali iliyopo ni centralized government mapato yanaenda Hazina kwanza ndio yanatawanywa kwa priorities za watawala. Labda sera ya majimbo inaweza kuinua huu mkoa.
Pili sijafahamu kwanini serikali iliamua kujenga VETA kubwa Pwani kuliko Shy.
Tatu sijafanya utafiti kujua zipo ngapi za binafsi na serikali.
Kwa kweli sijawahi kufika Manyara kwahiyo siwezi kulitolea hilo ufafanuzi.
 
Shtuka,
Nenda Babati ukijioneee af rudi mabinzamata utafakari.
Si Si Em kigumuuuuuuuuuuuu.....................
Centralized maana yake Vumbi la mgodi mle nyie ila umeme, miundombinu na vyuo na maofisi vijengwe pwani?
Shtuka
Najua mna akili sana ila humujui kama kiungo muhimu cha kuwafikisha Univers kirahisi hakipo(high school) labda wachache watakaochomoza:focus:
 
Poleni ndg zetu wa shy,2015 fanyeni mabadiliko ya kweli.Achaneni na kauli mbiu yenu ya (duh shida)huku mnalala njaa kwa kukosa maji ya kupikia,mashine za ksg maana hata umeme hamna sehemu nyingi,huku mnatunza nguzo zipelekazo umeme migodini.na shule pia tabu?poleni sn.
 
Back
Top Bottom