Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

Mkuu kama humwelewi Mandela na "Never, never.. Never again..."
Pengine utaielewa "Mapinduzi Daima..."
Masopakyindi,
Labda wewe ndiye mwenye tatizo la kuelewa hii, ''never, never, never.''
Wewe umeisikia kwa Mandela 1994.

Mimi nimeisoma kutoka kwa Winston Churchill wakati nasoma historia
ya Ulaya.

Churchill aliyasema maneno haya katika House of Commons tarehe 4 Juni,
1940 wakati Uingereza inaikabili Ujerumani katika Vita Vya Pili vya Dunia.

Mimi ni mwelewa wa mengi.
Nadhani kwa kipindi tunajadiliana hadi sasa hili bila shaka limekudhihirikia.

Hilo la ''Mapinduzi Daima,'' ni kauli mbiu ambayo kwa sasa haina maana tena
kwa kuwa CCM Zanzibar inashindwa kila uchaguzi.

Waingereza wangesema, ''empty words.''
Maneno yasiyokuwa na maana.

Hapa utakuwa umejifanyia ihsani kubwa wewe mwenyewe binafsi kama utajiuliza
iweje mapinduzi sasa yakataliwe tena kwenye sanduku la kura?
 
Mkuu kuyakana maneno ya "Mapinduzi Daima" hakuondoi uhalisia wa msisitizo na matarajio ya walio wengi ya kutorudi tena utumwani kwa njia yoyote ile.
Kwa yaliyotokea Zanzibar hivi karibuni yanaondoa dnana yako kuwa "Mapinduzi Daima" ni "empty words".
Nadhani hilo unalilewa vizuri.
 
Jisomee Zanj Slaves Rebellion ya mwaka 869 - 883 kwenye bara Arab, ina hiki unachojitahidi kuongea. Tumia internet.
Wickama,
Karibu sana katika mjadala.
Mkuu kuyakana maneno ya "Mapinduzi Daima" hakuondoi uhalisia wa msisitizo na matarajio ya walio wengi ya kutorudi tena utumwani kwa njia yoyote ile.
Kwa yaliyotokea Zanzibar hivi karibuni yanaondoa dnana yako kuwa "Mapinduzi Daima" ni "empty words".
Nadhani hilo unalilewa vizuri.
Masopyakindi,
Mimi sijakana hii kauli mbiu hata mara moja kwa ipo na wapo
wanoiamini.

Ninalokuuliza ni swali rahisi kueleweka bila kuvunja kichwa chako.

Nalo ni kuwa ikiwa ''mapinduzi daima'' ina maana katika wakati huu
inakuwaje toka mwaka wa 1995 CCM Zanzibar haijaweza kushinda
uchaguzi?

Hivi kweli unaamini kuwa Zanzibar itarejeshwa katika utumwa kwa
CCM kushindwa uchaguzi?

Yaliyotokea Zanzibar ni mwendelezo ule ule ambao sote tunaufahamu.

CCM inashindwa juu ya kutia nguvu zote na mwisho inaukana uchaguzi
wenyewe na kuchukua serikali kwa mabavu.

Mimi sina shida ya kukuelewa wewe hata kidogo.
Umeniona kwa Mandela na Churchill...

Hii ndiyo sababu wengi wanaoingia mjadala na mimi nawashinda na
mwisho huishia kunitukana.
 
Mzee Mohamed Said, shikamoo. Mkuu masopakyindi, Mtanisamehe kama naingilia debate yenu. Ila nitatumia mfano wa South Africa. Pamoja na ukweli kwamba wenyeji wa Afrika kusini wameonyeshwa kukerwa sana na utawala wa ANC hivi karibuni hata kumtaka Zuma aondoke madarakani haina maana WANATAKA UTAWALA WA MAKABURU URUDI. Kwa Zanzibar ni sawa na pia ni haki ya wazanzibari kuonyeshwa kukerwa na mambo yanavyoendeshwa nchini mwao. Kwa miaka hii yetu tunatumia sanduku la kura. Lakini asikudanganye mtu, eti wapiga kura kuibwaga CCM anywhere (Zanzibar au kigoma etc) eti wanataka watawala walioondolewa 1961 au 1964 warudi. Angalia sasa wanavyomwagia sifa JPM. Kwa maana hiyo nadhani mze Mohammed Said sio sahihi kuchanganya poor performance ya CCM na kuitafsiri kama wapiga kura hawathamini mapinduzi. Ballot box ingekuwa ni ya theme hiyo ningekuunga mkono.

Kisha kuna hizi KWELI (i hope kweli haina plural)

Fact 1. Zanzibar ndiyo iliyokuwa LANGO kuu la kuuza wazee wetu Arabuni na Asia (no apologies). Kisa mashuhuri cha Zanj Slaves Rebellion (watumwa weusi kugoma na kuleta vurugu) huko Iraq kilitokea 869 AD almost 1000 years kabla ya masultani wa kioman kuja Zanzibar. Ni ushahidi kuwa wazee wetu walikuwa bidhaa muhimu SANA toka bara hili, labda ikifuatiwa na nyara za wanyama wetu.

Fact 2. Uhalisia wa photos au michoro juu ya utumwa na watumwa haiwezi kutumika kama msingi wa kukanusha wala kupunguza athari. Kwa mfano, Wote tunajua bomu la atomic liliua watu wengi, sasa kusimulia tukio hili kwa kuweka photograph au picha ya kuchora ya kusimuliwa na wale walioona tukio husika ni irrelevant kwa aliyekuwa Hiroshima na mtu hawezi kubisha juu ya unyama wa silaha hii kwa kukataa picha

Fact 3. Mimi nadhani Mzee Mohammed unaongelea kwamba ni sultani gani ali-organize mauaji kama yaliyotokea kwenye mapinduzi ya Zanzibar. Inelekea ulichokilenga ni kuwa hawa wanaotawala zenj wana damu mikononi mwao na hivyo ni bora wale masultani. Jibu lako ni HAKUNA Sultan aliyeua wazenj 13,000 kama aliyvoandika Okello katika kitabu chake

Baada ya jibu lako sasa zingatia kuwa pia (a) Hakuna Sultan wa Zanzibar aliyefanya ENFORCEMENT ya kuzuia waafrika wasipelekwe utumwani hadi walipobanwa na the global power ya wakati ule UINGEREZA na WAKASAINI na hata hivyo hawakutimiza. (b) hakuna makisio ya idadi ya wabantu waliopoteza maisha yao kutokana na masultani hawa kuachia ushamiri wa utumwa kupitia Zenj lakini by far kubwa sana (c) msaada wa masultani hawa na nchi yao ya kuzaliwa kuwaondoa wareno huko zanzibar na pwani ya afrika mashariki haikuwa kwa malipo ya kuitawala zanzibar (d) kwa waafrika; ni kweli walikamatwa; ni kweli waliuzwa arabuni na india nk; wamekufa kwa mamilioni. SASA NANI ABEBE LAWAMA?
 
Huna haja ya kuomba radhi sote tuko Majlis na yeyote ajisikiae
ana changia tu hapana tabu ila ikiwa atapiga duru ya kahawa na
kashata atatulipia sote wana barza.

Mimi nina moja tu kwako.

Hao watawala waliopita hawako wa mwisho alikuwa Aman Thani
na yeye kesha tangulia mbele ya haki.
 
Mzee Mohamed Said, historia imesheheni kuanzia vitabu vya dini hadi maisha yetu ya hivi sasa mifano ya waliopo kubeba lawama na hata adhabu ya makosa la wale waliotangulia. Ujerumani ya leo bado inaimwagia Israel mapesa japo hawa wajerumani wa sasa sio Nazis wala sio wao walioanzisha WW2. Ukisoma visa vya Banii Israel, utaona kabisa kuwa kukosea kwa kizazi kimoja kulileta adhabu na hata majuto hata kwa kijacho. Nakubaliana nawe kuwa Yawezakana wazaliwa wa hawa masultan na hata jamii ya Kiomani kama jamii wakati husika hawakuwa washika dau wakubwa katika biashara za utumwa wala hawaku-massacre watu. Lakini the fact kwamba wao ndio walikuwa watawala wa maeneo haya kisha wakafumbia macho dhulma kama ya utumwa ambayo imepoteza milions of african lives from our east african lands, ni doa litawakaa for generations na hakuna maelezo yatawasafisha.

By the way hoja yako ilikatika sikuona, iliishia neno "mbele ya haki".
 
Hapo ndipo nilipomaliza kuandika.

Baada ya mapinduzi ziliwekwa jela za mateso kitu ambacho
hakuna sultani yeyote aliwahi kufanya.

Baada ya mapinduzi kuna watu walikamatwa wakafungwa
na kisha wakauawa, ''in cold blood,'' hakuna sultani yeyote
aliyewahi kufanya hayo.

Leo kuna Ton Ton Macoute wanaranda mitaani wakipiga na
kutesa wananchi.

Hakuna sultani yeyote aliyewahi kufanya haya.

Mzee Mohamed Said, historia imesheheni kuanzia vitabu vya dini hadi maisha yetu ya hivi sasa mifano ya waliopo kubeba lawama na hata adhabu ya makosa la wale waliotangulia. Ujerumani ya leo bado inaimwagia Israel mapesa japo hawa wajerumani wa sasa sio Nazis wala sio wao walioanzisha WW2. Ukisoma visa vya Banii Israel, utaona kabisa kuwa kukosea kwa kizazi kimoja kulileta adhabu na hata majuto hata kwa kijacho. Nakubaliana nawe kuwa Yawezakana wazaliwa wa hawa masultan na hata jamii ya Kiomani kama jamii wakati husika hawakuwa washika dau wakubwa katika biashara za utumwa wala hawaku-massacre watu. Lakini the fact kwamba wao ndio walikuwa watawala wa maeneo haya kisha wakafumbia macho dhulma kama ya utumwa ambayo imepoteza milions of african lives from our east african lands, ni doa litawakaa for generations na hakuna maelezo yatawasafisha.

By the way hoja yako ilikatika sikuona, iliishia neno "mbele ya haki".
 
Wickama,
Karibu sana katika mjadala.

Masopyakindi,
Mimi sijakana hii kauli mbiu hata mara moja kwa ipo na wapo
wanoiamini.

Ninalokuuliza ni swali rahisi kueleweka bila kuvunja kichwa chako.

Nalo ni kuwa ikiwa ''mapinduzi daima'' ina maana katika wakati huu
inakuwaje toka mwaka wa 1995 CCM Zanzibar haijaweza kushinda
uchaguzi?

Hivi kweli unaamini kuwa Zanzibar itarejeshwa katika utumwa kwa
CCM kushindwa uchaguzi?

Yaliyotokea Zanzibar ni mwendelezo ule ule ambao sote tunaufahamu.

CCM inashindwa juu ya kutia nguvu zote na mwisho inaukana uchaguzi
wenyewe na kuchukua serikali kwa mabavu.

Mimi sina shida ya kukuelewa wewe hata kidogo.
Umeniona kwa Mandela na Churchill...

Hii ndiyo sababu wengi wanaoingia mjadala na mimi nawashinda na
mwisho huishia kunitukana.
Niakujibu juu ya suala hili a "Mapinduzi Daima" kama na wewe utanijibu ni lini mapinduzi yalipigiwa kura!!
 
Wickama,
Hapo ndipo nilipomaliza kuandika. Baada ya mapinduzi ziliwekwa jela za mateso kitu ambacho hakuna sultani yeyote aliwahi kufanya. Baada ya mapinduzi kuna watu walikamatwa wakafungwa na kisha wakauawa, ''in cold blood,'' hakuna sultani yeyote aliyewahi kufanya hayo. Leo kuna Ton Ton Macoute wanaranda mitaani wakipiga na
kutesa wananchi. Hakuna sultani yeyote aliyewahi kufanya haya.

Ni kweli Mzee Mohamed Said, hakuna Sultani aliuwa watu in cold blood MBELE YAKO! lakini unapofumbia macho a capture of poor african youths, wakasimamishwa kwenye mnada wakauzwa, wengi wakafia na kutupwa baharini wakisafirishwa wewe dhambi yako ni mbaya zaidi. By the way Utumwa sio waafrika peke yao wameteseka na madhambi kama haya. Huna haja ya kuwa wakili wao, Hebu soma Mzee Mohamed Said. Uzuri wa jamii za hawa wazungu huwa wanafika mahali wakakiri kuwa kweli tulikosea;

The Irish slave trade began when James II sold 30,000 Irish prisoners as slaves to the New World. His Proclamation of1625 required Irish political prisoners be sent overseas and sold to English settlers in the West Indies.
By the mid 1600s, the Irish were the main slaves sold to Antigua and Montserrat (70% of the total population of Montserrat were Irish slaves at this time) From 1641 to 1652, over 500,000 Irish were killed by the English and over 300,000 were sold as slaves. Ireland’s population fell from about 1,500,000 to 600,000 in one single decade........

source: White Slaves in America Outnumbered Black Slaves – Bet you didn’t know that did you?

Wewe unachokosea ni kuchukulia kama vile AFRICAN LIVES DO NOT MATTER. Badala yake a prison experience ya muoman mmoja (i dont say it is right) inakuhangaisha. Nowhere in your past postings did i ever see ( i will be happy and apologise to be wrong) any remorse on your part of what befell the black populations across ageas on that Island. Wewe kama mwislamu unajua VIZURI dhana ya kila mtu ni mchunga. Hawa Waoman walipojitwalia Zanzibar hadi pwani za ziwa Tanganyika waliwajibika kuona kwamba familia za hawa raia hawaporwi watoto au binti zao kwenda kuuzwa kama nyara Mchana kweupe tena kupitia Zanzibar. Hiyo dhambi ya kuwaachia wenzao waneemeke kwa kutuuza ndio iliwarudia during Mapinduzi. Pure and Simple.

Current situation ya Zanzibar mimi naihesabu kama transition. Haitadumu milele, eventually wata-settle, lakini reverse gear towards Arab domination NO.
 
Mkuu huwa hata mimi sijui nimwite vipi mtu anayetetea kitendo, mimi naita cha kishenzi cha waarabu(na hata wazungu) kudhalilisha utu wa mababu zetu kwa misingi isiyo dhahiri.
Dini haiwezi kusukuma mtu kama huyo kuondoa utu wake na kuuweka chini kiasi hicho!
 
Ni kweli Mzee Mohamed Said, hakuna Sultani aliuwa watu in cold blood MBELE YAKO! lakini unapofumbia macho a capture of poor african youths, wakasimamishwa kwenye mnada wakauzwa, wengi wakafia na kutupwa baharini wakisafirishwa wewe dhambi yako ni mbaya zaidi. By the way Utumwa sio waafrika peke yao wameteseka na madhambi kama haya. Huna haja ya kuwa wakili wao, Hebu soma Mzee Mohamed Said. Uzuri wa jamii za hawa wazungu huwa wanafika mahali wakakiri kuwa kweli tulikosea;

The Irish slave trade began when James II sold 30,000 Irish prisoners as slaves to the New World. His Proclamation of1625 required Irish political prisoners be sent overseas and sold to English settlers in the West Indies.
By the mid 1600s, the Irish were the main slaves sold to Antigua and Montserrat (70% of the total population of Montserrat were Irish slaves at this time) From 1641 to 1652, over 500,000 Irish were killed by the English and over 300,000 were sold as slaves. Ireland’s population fell from about 1,500,000 to 600,000 in one single decade........

source: White Slaves in America Outnumbered Black Slaves – Bet you didn’t know that did you?

Wewe unachokosea ni kuchukulia kama vile AFRICAN LIVES DO NOT MATTER. Badala yake a prison experience ya muoman mmoja (i dont say it is right) inakuhangaisha. Nowhere in your past postings did i ever see ( i will be happy and apologise to be wrong) any remorse on your part of what befell the black populations across ageas on that Island. Wewe kama mwislamu unajua VIZURI dhana ya kila mtu ni mchunga. Hawa Waoman walipojitwalia Zanzibar hadi pwani za ziwa Tanganyika waliwajibika kuona kwamba familia za hawa raia hawaporwi watoto au binti zao kwenda kuuzwa kama nyara Mchana kweupe tena kupitia Zanzibar. Hiyo dhambi ya kuwaachia wenzao waneemeke kwa kutuuza ndio iliwarudia during Mapinduzi. Pure and Simple.

Current situation ya Zanzibar mimi naihesabu kama transition. Haitadumu milele, eventually wata-settle, lakini reverse gear towards Arab domination NO.
Wickama,
Hakuna huyo unaemwita Muarabu Zanzibar.
Wala hakuna Muarabu anaetaka kuja kuitawala Zanzibar.

Hao wanaoitwa Waarabu ni Akina Mansour Yusuf Himidi mtoto wa Fatma Jinja
na baba yake ni Mwafrika Brigadia Yusuf Himidi babu yake ni Salim Jinja na
yeye pia kachanganya damu vizazi na vizazi.

Hao wanaoitwa Waarabu ni akina Shadya Yusuf Himidi.
Hawa wote ni Wazanzibari kama Abeid Amani Karume alivyokuwa Mzanzibari.

Wala sina haja ya kukueleza asili ya Karume na lini wazee wake waalifika Zanzibar
kwani haina maana yoyote.

Amani Abeid Karume kachanganya damu na kapata kuwa Rais wa Zanzibar na
mkewe Bi Shadya kawa ''First Lady,'' na ''Uarabu,'' wake.

Mababu na mababu wamezaliwa na kuzikwa Zanzibar sasa zaidi ya miaka 200.

Hilo la Waafrika kuuzwa utumwani limefanyika na hakuna atakaepinga lakini
limefanyika pia katika Transatlantic Slave Trade si Zanzibar peke yake.

Historia hii ni maarufu inajulikana.

Nasikitika kuwa sasa unaanza kunilisha maneno.
Wapi nimesema mimi sijali maisha ya Waafrika?

Nani kakwambia jela ya mateso ni ya ''Muomani mmoja.''
Abdallah Kassim Hanga ni Mzaramo katolewa jela ya mateso kwenda kuuawa.

Hanga hakuwa na tone hata la mbali la Kiarabu.
Mimi nikimjua vyema kabisa.

Si yeye tu baba yangu alikuwa na marafiki zake wawili Jaha Ubwa na Abdulaziz
Twala
wakitembeleana.

Wameuliwa.

Aman Thani ni Mshirazi si Muomani asili yake Iran ndiyo alipopata jina la
Aman Thani Fairuz.

Fairuz ni jina la ki-Persia.

Unataka kufanya mjadala wa Zanzibar ilhali historia ya Zanzibar wewe mgeni nayo.
Hili halitawezekana.

Unachekesha.

Bahati mbaya unaniandikia Kiingereza sijui kwa nini na mimi huchukia sana kumjibu
Mswahili mwenzangu kwa Kiingereza.

Yuko mtu hapa nilimuonya kuhusu tabia hiyo nikamwambia mimi nina Merit Pass First
Class English Oral, Cambridge 1970 na nimekuwa katika mradi wa Oxford University
Press East Africa wa kusomesha Kiingereza na nimeandika vitabu viwili katika mradi
huo vinasomeshwa Kenya na Uganda (isipokuwa Tanzania) na nikaweka na picha za
vitabu vyangu.

Hakuna wa kunitisha kwa Kiingereza.

Nikamuonya aache kunichomekea Kiingereza.
Hajarudi tena hapa Majlis.

Unachekesha.

Waarabu kama unavyopenda kuwaita wameuliwa katika mapinduzi kwa kuwa
babu zao walikamata watumwa.

Hii ndiyo hoja yako?
Soma ''Nuremberg Trials.''

Wajerumani wengi Manazi walinyongwa baada ya Vita Vya Pili kwa falsafa kama
hizi unazoleta leo.

Namaliza kama ulivyomaliza wewe.
Hiyo ''reverse gear'' kuelekea ''Arab domination,'' itatokea wapi?

Au kwako wewe Maalim Seif na Ismail Jussa ni Muarabu na Muhindi?
Ugozi.

Hebu pitia orodha ya wagombea uchaguzi Zanzibar kisha nipe orodha ya Waarabu
ambao wewe umewaona mle.

Ati unaniandikia mimi: ''pure and simple.''
Unachekesha sana.

Huu mjadala nauweka katika blog yangu mohammedsaid.com ili dunia ijue
jamaa kutoka Bara wanavyoiona Zanzibar na Wazanzibari na jinsi wasivyojua historia
yake.

2016%2B-%2B1
 
Hakuna wa kunitisha wa Kiingereza.

KAama wewe ni mwafrika kadai uhuru wako Uarabuni au Jeddah, ujue tunachoongelea.
Vivyo hivyo mtu yeyote wa asili toka nje ya kwetu atapata matatizo sana kutaka dominance ilhali wazawa wa asili wapo.
 
Hilo la Waafrika kuuzwa utumwani limefanyika na hakuna atakaepinga lakini limefanyika pia katika Transatlantic Slave Trade si Zanzibar peke yake. Historia hii ni maarufu inajulikana.

Yabidi nikushukuru kwa ujasiri wa kulikiri hilo-naamini kwa mbinde!!!!!. Kwa Zanzibar mzee Mohamed Said hawa Masultan waliifumbia macho biashara hii iliyotawaliwa na "homeboys" wao hadi walipokuja Waingereza na kuwabana. Hili kosa ndio leo weusi walioko Libya waliuwawa sana baada ya Gaddafi kuuwawa au jimbo la Basra Iraq wanaitwa watumwa au wazaliwa wa watumwa potelea mbali wana miaka takriban 1200 na ushee huko Iraq.

Mzee Said; Rai,
1. acha majina ya watu kando, haswa waliopo hivi sasa mitaani. Mwisho itachukuliwa kama tunawajadili wao na sio mada
2. punguza kutumia kila mara neno "unachekesha" infact sio scholarly
 
Kuna mambo kwa kweli hayana jina isipokuwa hilo ''tragedic comedy.''
Bila majina hutouona ukweli katika dhahiri yake.
 
Basi nikadhani tunaongelea Masultani wa Zanzibar na kama walifanya kimbari. Kama mada ilikuwa hiyo, nilikujibu sijaona andiko lolote. HAWAKUFANYA.

Kisha, Nimeeleza maoni yangu kuwa ile fumbia yao macho udhalimu wa utumwa naweza kuuhesabu kama kuhusika kwao na kimbari iliyopoteza maisha na nguvukazi ya wazee wetu.

Sasa kwa mantiki hii sioni mchango wa majina uliyoyataja kupambanua aliye na asiye mwarabu huko zanzibar kwa vile wote hawajawahi kuwa Masultani huko Zanzibar. Mi nipo na mada mzee Said. Tujikite kwenye hilo. Wewe nikosoe kama nawabambikizia hawa masultani shutuma.
 
Wewe unataka tuwajadili Waarabu katika biashara ya utumwa.
Vipi kuhusu Transatlantic Slave Trade ya Wazungu hii huitaki?
 
Back
Top Bottom