Kwanini hadi TENDO la NDOA ndio mnakuwa karibu saaaaaana, au ndio hati MILIKI..!!???

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
utakuta mwanume na mwanamke wanajuana miaka mingi, ila hawako karibu sana
tena, wanaheshimiana miaka yote, ila siku wakila TUNDA au wakifanya tendo la
ndoa wanakuwa karibuuu, tena wanakuwa HURUU, kila mmoja utasikia huyu mtu
wangu/ wa ubani/ mwenye mali/baba watoto au, au....... hivi TENDO la NDOA
ndio hati miliki? tena utaulizwa questions oohh, mbona cm yako ulizima, kwanini
ulikuwa wapi? ulikuwa na nani? etc, etc, hata mkifanya mara moja ile AIBU iliyokuwa
inawatenga inatoweka, sasa mnakuwa very close, ni nini? hivi ukifanya ndio
umemjua mtu? tena utakuta mwingine ana confidence 100% juu ya mwenza wake baada
ya tendo hilo, hili ni tatizo kubwa, watch out......!!!!!
 
Kuna wengine wanaweza kukupa uzoefu kwamba walikuwa wanaheshimiana sana, walipoanza tendo ndipo wakaanza kuleteana za ajabu.
 
Ndio umemjua ndio.
Adam akamjua Hawa wakamzaa mtoto wakamwita Kaini!!

Sijajua pia kwa nini unasema ni tatizo kubwa.
Wakati hapo juu naona unasema mtu wangu, baba watoto......
 
Ukisha fanya hivyo unajua umesha haribu, so solution ni kumng'ang'ania muharibifu mwinzio.
 
Kuna wengine wanaweza kukupa uzoefu kwamba walikuwa wanaheshimiana sana, walipoanza tendo ndipo wakaanza kuleteana za ajabu.

i agree with u Kiranga, either way/ vice versa also is true, ila most of time uatshangaa
baada ya tendo la ndoa mwanamke/mwanaume anachukulia anamjua saaaana
mwenza wake for almost kila kitu, tena wamedo once, ndio ticket utafikiri, ili hali si kweli
mm nashauri msomane still, watch ur partner bado hujamjua, trust me
 
Ukisha fanya hivyo unajua umesha haribu, so solution ni kumng'ang'ania muharibifu mwinzio.

kweli bana, unaona aaheri ubakie huko huko, ila hata ukimwambia partner mmoja mwezi wako yuko hivi, au ni kiwembe atakuktalia
kabisa, utasikia siamini, ni Tabutupu ninaye mjua? nasema siamini hadi nimuone, kumbe hajakujua, anafikiri kakujua baada ya ku do
 
Ndio umemjua ndio.
Adam akamjua Hawa wakamzaa mtoto wakamwita Kaini!!

Sijajua pia kwa nini unasema ni tatizo kubwa.
Wakati hapo juu naona unasema mtu wangu, baba watoto......

nasema ni tatizo kwsbb hata baada ya ku do, lazima still inatakiwa umjue vizuri partner wako, usibweteke umepata, kumbe
umepatikana, ndio unashtukia mimba tayari hata mpenzi wako humjui vizuri inside out mwishoe kakautoroka au kakataa mimba, imagine au
anasema sikupanga kukuoa ila nipo tayari kutunza mtoto na hizi issue nyingi kweli kugeukana mapema
 
i agree with u Kiranga, either way/ vice versa also is true, ila most of time uatshangaa
baada ya tendo la ndoa mwanamke/mwanaume anachukulia anamjua saaaana
mwenza wake for almost kila kitu, tena wamedo once, ndio ticket utafikiri, ili hali si kweli
mm nashauri msomane still, watch ur partner bado hujamjua, trust me
kaka vipi umeng'ang'aniwa nini?achana na tabia ya kuonja onja, hutaona tatizo,maana imenenwa kila mtu ataachana na baba na mama yake ataambatana na mke wake au mume wake na hao watakuwa mwili mmoja,sasa wewe unatoka wapi kutembea na wasichana bila ndoa?
 
Back
Top Bottom