Wiki nzima sasa gazeti hilo lilitoa habari kuhusu uchomaji wa makanisa iliofanyika zanzibar
hii ni wazi walikuwa na mwakilishi aliekuwa anajituma kutafuta habari.
lkn kwanini gazeti hilo leo hakuna sehemu waliozuungumzia hotuba ya Dk shein kuhusu vurugu zilizotokea?
Au tzdaima hawakufurahia hotuba ile.?
Jee ni haki Tzdaima kulalia upande mmoja wa shillingi?
Hii si inawanyima fursa wasomaji wake ambao sio wakiristo?