Elections 2010 Kwanini gazeti la RAI lisifungiwe?

Haliwezi kufungiwa kwani wanatekeza maatakwa ya dola ya CCM ambayo rais wake halisi ni Rostam Aziz. Dalili za mwanasiasa kufilisika kisiasa ni kuleta hoja za udini, mimi naona hii ni dalili nzuri ya kuanguka kwa CCM. Kwa lugha nyingine ni kuwa huu ni mtaji mwingine wa kisiasa kwa Dr Slaa, kwa mbaali naanza kuliona kaburi la CCM na genge lote la mafia wakiongozwa na RA.
 
R.A mnasema si mzawa....Salva Rweyemamu mnajua ni wa wapi?
 
Back
Top Bottom