Kwanini "football pundits". Wanapenda kuwaita wachezaji weusi kama "UNPREDICTABLE"!......

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,824
7,593

Utawasikia wakiwataja wachezaji weusi, kama Wanchope, Andrew Cole,
Luís Boa-Morte, Kanu, Yakubu, Odemwingie, Darius Vassel, Darren Bent, Jason Robert na wa sasa kama Demba Ba, Balotelli, Gyan, Kalou n.k.

Kwamba wako "UNPREDICTABLE"! Ni neno sijalowahi kulisikia wakiwasema wachezaji weupe, hata kama wanacheza ovyo!
Je hili neno waache kulitumia? Maana linatumika kuwaelezea wachezaji weusi tu! Binafsi naona limekaa kiubaguzi sana!

Mnasemaje wadau?
 
Labda mkuu, ila hili neno limenichosha kabisa boss....
 
Back
Top Bottom