Kwanini environmental ya ardhi miaka 4 ya sua 3?

thedaydreamer

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
372
88
Ardhi inaitwa bachelor of science in environmental science and management miaka 4 ya SUA inaitwa bachelor of science environmental science and management, tofauti ya hizo degree ni ipi naomba kufahamu haswa ukizingatia vyuo vyote ni vikongwe
 
mbona hausemi kwanini law ya udsm ni miaka 4 na ya mzumbe ni miaka 3?? hivyo ni vyuo tofauti na vina mfumo tofauti kabisa!!

BTW usijekua unasemea environmental engineering ya ardhi!!
 
Usiogope miaka dogo ! Nenda ardhi ukapate elimu ya uhakika.. Chuo chenyewe kinaitwa SUA =sokoine university of agriculture.. ! Huko mambo ya kilimo ndo wapo vzuri lakini ukija UCLAS huko ndo baba ya mambo yote ya ardhi.. Eg. Geomatics, survey, environmental engineering nk.. !
Sasa we nenda huko SUA ukidhani unakatisha denge kumbe shortcut is the long cut !

Ubavu
 
ardhi wanawekaga tu hayo mamiaka kuna macourse mengi sana apo ardhi ya kiboya afu yana miaka mingine mam make zao hawana lolote....anayekisifia ardhi humu ujue kasoma au anasoma pale
 
mbona hausemi kwanini law ya udsm ni miaka 4 na ya mzumbe ni miaka 3?? hivyo ni vyuo tofauti na vina mfumo tofauti kabisa!!

BTW usijekua unasemea environmental engineering ya ardhi!!
hapana nimemaanisha niliyoandika na nimeambiwa ardhi almost COZ zote ni miaka minne isipokuwa kama mbili tu
 
Ardhi inaitwa bachelor of science in environmental science and management miaka 4 ya SUA inaitwa bachelor of science environmental science and management, tofauti ya hizo degree ni ipi naomba kufahamu haswa ukizingatia vyuo vyote ni vikongwe

Mitaala mkuu inatofautiana, ARU wanajitahidi kuwa na project kila mwaka kuanzia mwaka wa pili na semister ya mwisho ya mwaka wa nne huwa ni kwa ajili ya dissertation. Kwa ufupi ARu wako more practical kuliko SUA. Huwa wanaibiwa pia maujanja ya ArcGIS ili kurahisishiwa shughuli zao za mazingira,SUA pia wanagusa hii ArcGIS ila haiko deep kama ya ARU.
 
Back
Top Bottom