Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

Kwa hiyo wanatumia hela ili wapendwe. Kazi kwao..zikiisha hizo hela za interest wanazoiba kutoka USA.

Kwa hiyo wewe tatizo lako ni kwamba wana tumia pesa zao kupendwa? Every government in the worlduses PR. Hata Tanzania iki tanganza utalii wake that's PR. Unless uniambie kuna kitu kingine kuhusu wao kinacho kusumbua. Hivi tatizo ni nini haswa?
 
Tuchague moja.. Wayahudi ni taifa teule, hivyo tujue kwamba Mungu katuumba kwa grades, hivyo hakuna usawa wa binadamu na kila mmoja ajue wapi kasimama kama taifa la Mungu otherwise we are all Equal na Myahudi ni binadamu sawa na biadamu wengine wote hana uteule isipokuwa mteule ni yule anaye Practice Kuabudu Mungu mmoja. Huyu ndiye Myahudi aliyesemwa ktk vitabu, ndiye nayemjua mimi na anaweza kuwa wewe, mimi, Jew, Muislaam, Mkristu au dini nyingine yoyote kwa jina la dini ila Matendo na ibada zake ndizo zinazomfanya yeye kuwa Myahudi si swala la nasaba, ukoo, sijui mtoto wa mwanamke na bla bla bla nyingi za kijinga...

Mwanafalsafa, kuna swali limeulizwa hilo hapo juu naona jibu lake silioni, naomba unieleweshe kuhusu hoja aliyotoa
 
USAWA?? NANI KAKUAMBIA KUNA USAWA? HAKUNA USAWA KUANZIA MBINGUNI HADI DUNIANI! KILICHOPO NI FURSA SAWA YA USHIRIKI.

HAKI YA MUUMBA HAIWEZI KUWA SAWA NI KILICHOUMBWA KWANI HAKI YA MUNGU NI KUPOKEA IBAADA NA HAKI YA KILICHOUMBWA NI KUTOA(FANYA) IBAADA. Kwa habari ya wayahudi kuchukiwa ni kwa sababu tu ya Mungu wanaemwabudu yaani Mungu wa Ibrahimu, Isaaka na Yakobo(israel). Kwa maana nyingine ni kwamba hawamchukii Israel bali wanamchukia TEHOVA. Ni kweli dunia inawachukia israel bali cha ajabu na kweli wameinamishwa na kusujudu miguuni pa rafiki mkubwa wa Israel yaani MAREKANI.

NITAMBARIKI ATAKAEMBARIKI ISRAEL NA NITAMLAANI ATAKAEILAANI ISRAEL!!!:
 
Historia inaonesha kwamba Mayahudi (Jews) ni watu wanaolaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea duniani;kuanzia kwenye individual level mpaka kwenye State level. Matatizo haya yalianzia Mid East; ambapo Waislamu na Wakristo walikuwa wanawalaumu Mayahudi kwa kuwaua mitume ya mungu. Kwenye 7th century ikaendelea hadi Europe. Europe walipokuwa na matatizo makubwa ya disease kama Black Death; ambayo iliuwa karibu nusu ya population ya Europe, walikuwa wanawaulumu Mayahudi kuwa ndiyo chanzo cha hayo maradhi. Nchi kama Germany, Russia zilikuwa zinaonesha hadharani chuki yao dhid ya Mayahudi. Je kuna SIRI gani inayofanya race zote duniani kuwachukia Mayahudi? kama Mayahudi ni smart ndiyo maana watu wanawachukia; kwanini watu wasiwachukie Wajapan ambao ni magenius?

Taifa teule la MUNGU! Na kila taifa litageuka kupigana na Israel hapo ndipo mwana wa adamu atakapotoke: AMEN
 
Hawa jamaa ni fresh hakuna mfano hayo mnayosema yote si ya kweli.Nenda Uyahudini utaelewa nakwambia kitu gani.Waarabu ambao ndiyo wamewazunguka na ambao ni mahasimu wao ndo wanaeneza chuki kwamba hawafai.Ukweli ni kwamba lile ni Taifa Teule.Hakuna wa kulinganishwa nao period.
 
The following are some facts about Jews Intelligence.

Movers of Current History
o Albert Einstein Jewish
o Sigmund Freud Jewish
o Karl Marx Jewish
o Paul Samuelson Jewish
o Milton Friedman Jewish

Medical Milestones
o Vaccinating Needle: Benjamin Ruben Jewish
o Polio Vaccine Jonas Salk Jewish
o Leukaemia Drug Gertrude Elion Jewish
o Hepatitis B Baruch Blumberg Jewish
o Syphilis Drug Paul Ehrlich Jewish
o Neuro muscular Elie Metchnikoff Jewish
o Endocrinology Andrew Schally Jewish
o Cognitive therapy. Aaron Beck Jewish
o Contraceptive Pill Gregory Pincus Jewish
o Understanding of Human Eye. G. Wald Jewish
o Embryology. Stanley Cohen Jewish
o Kidney Dialysis Willem Kloffcame Jewish

Nobel Prize Winners
o In the past 105 years, 14 million Jews have won 180 Nobel prizes whilst 1.5 billion Muslims have contributed only 3 Nobel winners

Inventions that changed History
o Micro- Processing Chip. Stanley Mezor Jewish
o Nuclear Chain Reactor Leo Sziland Jewish
o Optical Fibre Cable Peter Schultz Jewish
o Traffic Lights Charles Adler Jewish
o Stainless Steel Benno Strauss Jewish
o Sound Movies Isador Kisee Jewish
o Telephone Microphone Emile Berliner Jewish
o Video Tape Recorder Charles Ginsburg Jewish

Influential Global Business
o Polo Ralph Lauren Jewish
o Coca Cola Jewish
o Levi's Jeans Levi Strauss Jewish
o Sawbuck's Howard Schultz Jewish
o Google Sergey Brin Jewish
o Dell Computers Michael Dell Jewish
o Oracle Larry Ellison Jewish
o DKNY Donna Karan Jewish
o Baskin & Robbins Irv Robbins Jewish
o Dunkin Donuts Bill Rosenberg Jewish

Influential Intellectuals/ Politicians
o Henry Kissinger , US Sec of State Jewish
o Richard Levin, PresidentYaleUniver sity Jewish
o Alan Greenspan , US Federal Reserve Jewish
o Joseph Lieberman Jewish
o Madeleine Albright , US Sec of State Jewish
o CasperWeinberger , US Sec of Defence Jewish
o Maxim Litvinov , USSR Foreign Minister Jewish
o DavidMarshal , Singapore Chief Minister Jewish
o Isaacs Isaacs, Gov-GenAustralia Jewish
o Benjamin Disraeli, British Statesman Jewish
o Yevgeny Primakov, Russian PM Jewish
o Barry Goldwater , US Politician Jewish
o Jorge Sampaio, President Portugal Jewish
o Herb Gray, Canadian Deputy - PM Jewish
o Pierre Mendes, French PM Jewish
o Michael Howard, British Home Sec. Jewish
o Bruno Kriesky, Austrian Chancellor Jewish
o Robert Rubin , US Sec of Treasury Jewish

Global Media Influential
o Wolf Blitzer, CNN Jewish
o Barbara Walters ABC News Jewish
o EugeneMeyer , Washington Post Jewish
o Henry Grunwald, Time Magazine Jewish
o Katherine Graham , Washington Post Jewish
o Joseph Lelyeld, New York Times Jewish
o Max Frankel, New York Times Jewish

Global Philanthropists
o George Soros Jewish
o Walter Annenberg Jewish

Waarabu kazi yao ni wivu na kundekeza chuki tu. Acheni wivu, Pelekeni vichwa vyenu shule

Ile laana ya Ismaeli inawaandama sana hawa jamaa

Genesis 16 :
11And the angel of the LORD said unto her, Behold, thou art with child and shalt bear a son, and shalt call his name Ishmael; ...
12And he will be a wild man; his hand will be against every man, and every man's hand against him; and he shall dwell in the presence of all his brethren.

Yes brother, now you are talking!! What a sweet tremendous fact, proofs and vindication of the Lord's word of blessing to Abraham through Isaac, to jacob and his descendant?
 
Hawa jamaa ni fresh hakuna mfano hayo mnayosema yote si ya kweli.Nenda Uyahudini utaelewa nakwambia kitu gani.Waarabu ambao ndiyo wamewazunguka na ambao ni mahasimu wao ndo wanaeneza chuki kwamba hawafai.Ukweli ni kwamba lile ni Taifa Teule.Hakuna wa kulinganishwa nao period.
Programmed mind kama kawaida..
 
The following are some facts about Jews Intelligence.

Movers of Current History
o Albert Einstein Jewish
o Sigmund Freud Jewish
o Karl Marx Jewish
o Paul Samuelson Jewish
o Milton Friedman Jewish

Medical Milestones
o Vaccinating Needle: Benjamin Ruben Jewish
o Polio Vaccine Jonas Salk Jewish
o Leukaemia Drug Gertrude Elion Jewish
o Hepatitis B Baruch Blumberg Jewish
o Syphilis Drug Paul Ehrlich Jewish
o Neuro muscular Elie Metchnikoff Jewish
o Endocrinology Andrew Schally Jewish
o Cognitive therapy. Aaron Beck Jewish
o Contraceptive Pill Gregory Pincus Jewish
o Understanding of Human Eye. G. Wald Jewish
o Embryology. Stanley Cohen Jewish
o Kidney Dialysis Willem Kloffcame Jewish

Nobel Prize Winners
o In the past 105 years, 14 million Jews have won 180 Nobel prizes whilst 1.5 billion Muslims have contributed only 3 Nobel winners

Inventions that changed History
o Micro- Processing Chip. Stanley Mezor Jewish
o Nuclear Chain Reactor Leo Sziland Jewish
o Optical Fibre Cable Peter Schultz Jewish
o Traffic Lights Charles Adler Jewish
o Stainless Steel Benno Strauss Jewish
o Sound Movies Isador Kisee Jewish
o Telephone Microphone Emile Berliner Jewish
o Video Tape Recorder Charles Ginsburg Jewish

Influential Global Business
o Polo Ralph Lauren Jewish
o Coca Cola Jewish
o Levi's Jeans Levi Strauss Jewish
o Sawbuck's Howard Schultz Jewish
o Google Sergey Brin Jewish
o Dell Computers Michael Dell Jewish
o Oracle Larry Ellison Jewish
o DKNY Donna Karan Jewish
o Baskin & Robbins Irv Robbins Jewish
o Dunkin Donuts Bill Rosenberg Jewish

Influential Intellectuals/ Politicians
o Henry Kissinger , US Sec of State Jewish
o Richard Levin, PresidentYaleUniver sity Jewish
o Alan Greenspan , US Federal Reserve Jewish
o Joseph Lieberman Jewish
o Madeleine Albright , US Sec of State Jewish
o CasperWeinberger , US Sec of Defence Jewish
o Maxim Litvinov , USSR Foreign Minister Jewish
o DavidMarshal , Singapore Chief Minister Jewish
o Isaacs Isaacs, Gov-GenAustralia Jewish
o Benjamin Disraeli, British Statesman Jewish
o Yevgeny Primakov, Russian PM Jewish
o Barry Goldwater , US Politician Jewish
o Jorge Sampaio, President Portugal Jewish
o Herb Gray, Canadian Deputy - PM Jewish
o Pierre Mendes, French PM Jewish
o Michael Howard, British Home Sec. Jewish
o Bruno Kriesky, Austrian Chancellor Jewish
o Robert Rubin , US Sec of Treasury Jewish

Global Media Influential
o Wolf Blitzer, CNN Jewish
o Barbara Walters ABC News Jewish
o EugeneMeyer , Washington Post Jewish
o Henry Grunwald, Time Magazine Jewish
o Katherine Graham , Washington Post Jewish
o Joseph Lelyeld, New York Times Jewish
o Max Frankel, New York Times Jewish

Global Philanthropists
o George Soros Jewish
o Walter Annenberg Jewish

Waarabu kazi yao ni wivu na kundekeza chuki tu. Acheni wivu, Pelekeni vichwa vyenu shule

Ile laana ya Ismaeli inawaandama sana hawa jamaa

Genesis 16 :
11And the angel of the LORD said unto her, Behold, thou art with child and shalt bear a son, and shalt call his name Ishmael; ...
12And he will be a wild man; his hand will be against every man, and every man's hand against him; and he shall dwell in the presence of all his brethren.

Obama kapewa Nobel Prize bila ya kufanya kitu chochote!!
Hivyo vitu vyote ulivyovitaja vipo ktk West countries, na siyo dunia.
Umesahau Muslims brothers who discovered all the Medicine, Mathematics in 7th century.
 
uuuuuuuwiiiiiii we are not talk about Muslim we are talk about Jews, African, Arabu and Zungu.

Katika haya mambo Islam na Christian haiwausu.
Jews Long long live.
 
Historia inaonesha kwamba Mayahudi (Jews) ni watu wanaolaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea duniani;kuanzia kwenye individual level mpaka kwenye State level. Matatizo haya yalianzia Mid East; ambapo Waislamu na Wakristo walikuwa wanawalaumu Mayahudi kwa kuwaua mitume ya mungu. Kwenye 7th century ikaendelea hadi Europe. Europe walipokuwa na matatizo makubwa ya disease kama Black Death; ambayo iliuwa karibu nusu ya population ya Europe, walikuwa wanawaulumu Mayahudi kuwa ndiyo chanzo cha hayo maradhi. Nchi kama Germany, Russia zilikuwa zinaonesha hadharani chuki yao dhid ya Mayahudi. Je kuna SIRI gani inayofanya race zote duniani kuwachukia Mayahudi? kama Mayahudi ni smart ndiyo maana watu wanawachukia; kwanini watu wasiwachukie Wajapan ambao ni magenius?

Wasiofuatilia historia ya dunia ndio wanaoweza kuwalaumu Waya
 
Jamani rudini katika historia. Hawa jamaa walinyang'anywa ardhi enzi za utawala wa Kirumi. Wapiganaji wao wa mwisho walifia mlima Masada. Wengi wao walikimbia ile nchi, walipokwenda kuishi ughaibuni walifanya kazi kwa nguvu zote ili kurudisha heshima yao. Hivyo basi jambo hili liliwaudhi watu wengi sana.

Mfano halisi angalia hawa watanzania wenye asili ya kihindi kwao ni masikini sana, wanafanya kila wawezalo ili watoke, sisi wabongo tumelala halafu tunawalaumu. Naam hivi ndivyo ilivyokuwa huko ulaya kwa hawa Wayahudi.

Basi baada ya miaka ya kuhangahika na kuanza kuchukiwa jamaa wakaona ni vyema waanze kujitwalia maeneo yao ya kihistoria na ndicho kilichohitimishwa mwaka 1948.

Lakini hawa jamaa la kushangaza ni kuwa wanamambo mengi ambayo yalianza tangu miaka ya 1800 na wako very serious. Jaribu siku moja upate watembelea ndo utaelewa maana yake.

Kwa kweli waache wajiite taifa teule, ila ukweli ni kuwa hawa jamaa hawamwamini Yesu, wanaamini agano la kale. Wanavyoishi ni tofauti kabisa na unavyojaribu kupata picha kupitia maandiko matakatifu.

Jamaa ni wabunifu wa hali ya juu, wao wanategemea technology zaidi kuliko mitambo, ni wagunduzi wa technolojia nyingi sana, kwa taarifa yako hata hiyo flash diski unayotumia iligunduliwa na muizraeli (Myahudi).

Waliomsulubu Yesu sio wayahudi ni warumi ndo maana pilato aliuza "Wasema wewe ni mfalme wa Wayahudi?" akajibu "We wasema!". Ukizingatia kuwa Yesu alikuwa ni Myahudi, angalia jinsi anavyojibu NDIVYO WALIVYO!
 
jews are the most intelligent people on earth, ivo ulivyovitaja ni vitu vidogo sana, robot, games etc ni manupulation ya transistor tu nothing more, angalia watu kama albert einstein (principle of relativity, particle duality of matter, mass and inertia relationship etc) , prof.robert oppenheimer ( manhattan project) etc.
 
USAWA?? NANI KAKUAMBIA KUNA USAWA? HAKUNA USAWA KUANZIA MBINGUNI HADI DUNIANI! KILICHOPO NI FURSA SAWA YA USHIRIKI.HAKI YA MUUMBA HAIWEZI KUWA SAWA NI KILICHOUMBWA KWANI HAKI YA MUNGU NI KUPOKEA IBAADA NA HAKI YA KILICHOUMBWA NI KUTOA(FANYA) IBAADA. Kwa habari ya wayahudi kuchukiwa ni kwa sababu tu ya Mungu wanaemwabudu yaani Mungu wa Ibrahimu, Isaaka na Yakobo(israel). Kwa maana nyingine ni kwamba hawamchukii Israel bali wanamchukia TEHOVA. Ni kweli dunia inawachukia israel bali cha ajabu na kweli wameinamishwa na kusujudu miguuni pa rafiki mkubwa wa Israel yaani MAREKANI. :NITAMBARIKI ATAKAEMBARIKI ISRAEL NA NITAMLAANI ATAKAEILAANI ISRAEL!!!:
maandiko matakatifu ya biblia yako straight.....................hizi siasa zingine za akina muhammad ndio zinawasumbua watu.................israel taifa teule na takatifu na hili ni agizo la Mungu wa kweli sio la allah wa kiislamu unabisha nini
 
U can think about the world today. Look at who most blesses the Jews and who most curses them, and you decide whether the verse in Genesis has validity.

It is the United States that has, since its inception, most blessed the Jews and that does so almost alone today – in its support of the Jewish state against those who wish to exterminate it. By almost any reckoning, America has been, and remains, the most blessed of countries.
 
Created the world's largest and most valuable personal computer company; (Michael Dell, Dell Computers)

Co-founded the world's most successful search engine; (Sergy Brin, Google)
Head the world's largest software company; (Steve Ballmer, Microsoft)

Co-founded and head the world's second largest software company; (Larry Ellison, Oracle)

Co-founded, led and served as Chairman of the dominant microprocessor and memory chip company whose products drive most of today's personal computers; (Andrew Grove, Intel)

Created the first "killer application" software which ignited demand for personal computers; (Mitch Kapor, Lotus 123)

Served as Number 1 or 2 person in three of the world's four most valuable Internet companies according to a May 2004 Fortune study (Terry Semmel at Yahoo, Jeff Skoll at e-Bay and Barry Diller at IAC)

Co-founded and head the communications protocol/chip company whose technology is the market leader in U.S. cell phones and is likely to be the world leader as the next generation cell phone technology (3G) is adopted worldwide. (Irwin Jacobs, Qualcomm).
 
U can think about the world today. Look at who most blesses the Jews and who most curses them, and you decide whether the verse in Genesis has validity.

It is the United States that has, since its inception, most blessed the Jews and that does so almost alone today – in its support of the Jewish state against those who wish to exterminate it. By almost any reckoning, America has been, and remains, the most blessed of countries.

Umesahau kwamba MAYAHUDI ndiyo wanayoiangusha Marekani sasa hivi. Kabla hawajakaribishwa USA; USA ilikuwa inarespect business ethic, honest and etc. Lakini tangu walipoanza kuongoza kila kitu ndani ya USA, uchumi wa Marekani unaanza kuanguka. Angalia Germany sasa hivi, uchumi mzuri kuliko USA; kwa sababu waliwafukuza hawa jamaa (MAYAHUDI). Hawa jamaa hawana Ethic, ni Wizi na Rushwa.
 
jews are the most intelligent people on earth, ivo ulivyovitaja ni vitu vidogo sana, robot, games etc ni manupulation ya transistor tu nothing more, angalia watu kama albert einstein (principle of relativity, particle duality of matter, mass and inertia relationship etc) , prof.robert oppenheimer ( manhattan project) etc.

E=MC from Energy to Nuclear Bomb? hawa jamaa wanatumia science kutengeza Nuclear bomb ili waue watu wengine, halafu wewe unawasifia? Angalia hao Mayahudi walivyosababisha vifo vya Hiroshima in Japan, nk. Hawa jamaa ndiyo maana wamelaaniwa. Wameua watu wengi kuliko hata Hitler. Kila Nuclear Bomb inapoua watu ni matokeo ya MAYAHUDI. Mwenyezi Mungu keshawaalaani hawa jamaa (MAYAHUDI), ZIONISTS.
 
Back
Top Bottom