KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 605
- Thread starter
- #21
By Mzee wa Rula Duuuuh pole acha kukopesha akina dada kama namna hiyo vinginevyo umaskini unakuita!!!!
Asante ushauri umezingatiwa
Asante ushauri umezingatiwa
Ni gea ya kukuingia kwani angelikuomba ungemwona hana maana lakini akikukopa utakapodai na kukbali kulipwa kwa namna hiyo inakuwa ni mwanzo tu akitaka tena unampa bila ya mkopo ukijuwa kuwa sasa uko kwenye biashara.Shughuli zangu zinanikutanisha na wasichana/wanawake wengi, baadhi yao nawachukulia kama dadaz/aunt zangu. Wengi wamekuwa wananiomba mkopo wa pesa kwa ahadi za kunilipa pesa, lakini cha ajabu au kushangaza wengi wao mara baada ya kukopa jina kaka huanza kutoka kwenye kamusi ya mawasiliano mara utasikia Baby/Honey/Sweet ikifuatiwa na samahani za kizushi kana kwamba kakosea. Funga kazi ni kila ninapodai pesa zangu naishiwa kuonyeshwa dalili za kulipwa huduma badala ya cash money. Naomba ushauri tafadhali me sitaki huduma nataka mpunga wangu full stop!
Wanaona ndo tiba mbadala...loading error...
ha haaaaa old is gold.........loading error....leo wafufua thread za zaman tu