Kwanini DADA zetu wengi vifua vyao vimechoka kabla umri wao.....na hawana watoto.......

Status
Not open for further replies.
Umeshasema hao ni ma dr, sasa wewe ni nani hata uvijue vifua vya dada zako wengi? Mbona hao ma dr hawajasema kama vifua vimechoka? Kama una dada nyumbani kwenu, kajaribu kumuuliza labda utapata jibu la kuridhisha

macho haya ambiwi ona....
 
With time si yanatakiwa kuwa yamelala au nakosea!
Kuzzaa sio hoja ya kulala unaweza kuta mtu hana mtoto ila kapiga abortion za kufa mtu na anagawa kama hana akili timamu
 
Hizi mada za leo ni hatari tupu!. kuna wachangiaji waliopita wamejaribu kutaja kuwa suala la kutoa mimba linachangia sana kufanya matiti ya dada zetu kuanguka mapema, kuhusu hili inaweza ikawa sahihi au sio sahihi. Kwa mtazamo wangu nahisi kama hii ingekuwa ni kweli basi hili tatizo lingekuwa kubwa zaidi kuliko hata lilivyo sasa hivi maana wanaotoa mimba ni wengi mnoooo kuliko wale ambao matiti yao yamelala. Huu ni mtazamo tu!!
 
Tatizo akina dada sikuizi mileage zinasogea fasta sana, yaani wanaanza kutumika mapema sanaa...matiti yanachezewa mpaka yanachoka mapema, however, maumbile ya mtu na mtu na vyakula pia vinachangia sana.

yanachezewa na nani tuwasulubu hao wachezeaji, pambaf zao kusogeza mileage za akina dada
 
na nyinyi wanaume muache ku-double click. huku midomo 'imeshikana', mkono mmoja kule 'chini', mwingine kweny milkiz halafu wakati wa ile 'SH Motion' inaendelea unakuta mtu anaendelea pia na milkiz kwa lips zake. Hapo unategemea nini. Yaani mtu unatumia zaidi ya dk 20 za mahaba, kama sio mdomo uko kwa milkiz basi itakuwa ni mkono. Hapo usitegemee kuona ubora ukaendelea kuwa ule ule!
umenichekesha sana leo ndyoko
 
Last edited by a moderator:
Umeshasema hao ni ma dr, sasa wewe ni nani hata uvijue vifua vya dada zako wengi? Mbona hao ma dr hawajasema kama vifua vimechoka? Kama una dada nyumbani kwenu, kajaribu kumuuliza labda utapata jibu la kuridhisha

ukitaka maisha yako yaishie jela, basi piga mawe 'ikulu' utaona majibu yake!
 
kipipi usjali wanaume wengine furaha yetu ni yale yaliyoshuka,yan mwake. unajua sis wanaume ndio tunachangia wala sio kutoa mimba!
 
Umeshasema hao ni ma dr, sasa
wewe ni nani hata uvijue vifua vya dada zako wengi? Mbona hao ma dr
hawajasema kama vifua vimechoka? Kama una dada nyumbani kwenu, kajaribu
kumuuliza labda utapata jibu la kuridhisha

kuishi kwingi kuona mengi
 
mie nahisi hichi kianti zubeda ni kitoto,embu angalia mada zake..... mie simo ktk kukikomaza hiki kitoto.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom