Kwanini DADA zetu wengi vifua vyao vimechoka kabla umri wao.....na hawana watoto.......

Status
Not open for further replies.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wana jf,hili nimekuwa nikiliwaza sana ni wadada wachache sana ambao unaweza kuwakuta na vifua vyao halisi na vinapendeza...wengine yaani kama ana watoto wa nne vile, kumbe hata ujauzito hajawahi kubeba...wenye lolote embu mnijuze.

UPDATES
Tangaza Rasmi kuanzia leo ni marufuku ku double-click milkz za dada zetu.
 
Tatizo akina dada sikuizi mileage zinasogea fasta sana, yaani wanaanza kutumika mapema sanaa...matiti yanachezewa mpaka yanachoka mapema, however, maumbile ya mtu na mtu na vyakula pia vinachangia sana.
 
Niliwaambieni chit chat ni mabongolala mkatoka mapovu....sasa angalieni kiwango cha kufikiri cha huyu bongolala zubedayo_mchuzi
 
hayo ni maumbile tu ni sawa sawa na yale maumbile mengine ukiyaona utafikiri ana miaka 50 kumbe ndio kwanza msichana..
 
Dah!!!
Maneno kama haya ndo yanawafanya wadada wa watu wajifeel inferior na kuanza kukimbilia dawa za mchina!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom