Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

Sio wanataka! Mbona nchi walishaichukua bado kushika dola tu? Mengi yanayotakiwa na CDM Serikali hufuata nyayo hata kama hayakuwepo kwenye Ilani yao! Km Katiba mpya, bei ya sukari, kuvuana magamba, nk! Magamba yanapelekeshwa puta mpaka hayana raha! Yamesahau ahadi yaliyotoa, kazi kuzuia maandamano tu!

Basi hiyo status inawafaa sana...baki hivyo hivyo bila dola...
 
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?

Tunafahamu kuwa hapa mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake,lakini ndugu yangu hoja ulizowasilisha ni za kibaguzi wa kabila,dini na maumbile ya mtu. Nasikitika wengi wenu mna wazimu wa kuonekana mmeanzisha thread hata kamaa mlichoandika ni ujinga na upumbavu infull colours.
Kumbuka kwamba watu wenye akili timamu ndio hutembelea kurasa hizi lakini watu kama wewe mnatuchefua ,na ndio mnao brand udini na ukabila kwenye vyenu kwa kujua au kutojua! mimi muislam mtanzania wa zanzibar(unguja-naishi) pemba(asili) na mshabiki mkubwa wa cdm na watu kama wewe ndio mnatupa wakati mgum kwa who would be potential supporters wa mageuzi ku proove kwamba cdm si chama cha kidini au kikabila na watu wenye ulemavu wananafasi.
Ndugu kukaa kimya pia ni mazungumzo ,soma threads usitie neno kwani ww ni great stinker and this a place for great thinkers!
 
Hawa Wachagga CDM watu wabaya sana si mnaona wanavyowabagua Malbino! Halafu ndio mtasema hichi chama ni cha watanzania.
Angalieni hizi kauli. Mungu ibariki Tanzania
Unakemea ubaguzi wakati ww unabagua. Acha uk_ma dogo!
 
Tunafahamu kuwa hapa mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake,lakini ndugu yangu hoja ulizowasilisha ni za kibaguzi wa kabila,dini na maumbile ya mtu. Nasikitika wengi wenu mna wazimu wa kuonekana mmeanzisha thread hata kamaa mlichoandika ni ujinga na upumbavu infull colours.
Kumbuka kwamba watu wenye akili timamu ndio hutembelea kurasa hizi lakini watu kama wewe mnatuchefua ,na ndio mnao brand udini na ukabila kwenye vyenu kwa kujua au kutojua! mimi muislam mtanzania wa zanzibar(unguja-naishi) pemba(asili) na mshabiki mkubwa wa cdm na watu kama wewe ndio mnatupa wakati mgum kwa who would be potential supporters wa mageuzi ku proove kwamba cdm si chama cha kidini au kikabila na watu wenye ulemavu wananafasi.
Ndugu kukaa kimya pia ni mazungumzo ,soma threads usitie neno kwani ww ni great stinker and this a place for great thinkers!

Dont despair yet, hakuna kundi la watu ambalo lina watu wote wa aina moja. Mwaka 2010 CDM ilipata more than 2mil votes, dont expect all of them to have the same attitudes on different issues. There must be some "bad apples".
 
Anhaaa....mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Na wale jamaa waliowaambia waislaam wa Igunga wasichague CDM walikuwa na maana
gani? au wewe unaangalia kwa jicho moja tu? hujui kuwa ule ndiyo ubaguzi mkubwa uliyokubuhu na hatari kwa Taifa letu? shame on u

Ungekuwa mstaarabu ungeomba radhi kwa kauli uliyotumia badala ya kung'ang'ania kuhalalisha makosa uliyokwisha fanya. Nyie ndio ambao mnachafua CDM yetu.

Peoples Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Anhaaa....mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Na wale jamaa waliowaambia waislaam wa Igunga wasichague CDM walikuwa na maana
gani? au wewe unaangalia kwa jicho moja tu? hujui kuwa ule ndiyo ubaguzi mkubwa uliyokubuhu na hatari kwa Taifa letu? shame on u

Ungekuwa mstaarabu ungeomba radhi kwa kauli mbaya uliyotumia badala ya kung'ang'ania kuhalalisha kosa ulilokwishafanya, nyie ndio ambao mnatudhalilisha na kutuharibia CDM yetu.

Peoples poweeeeeer
 
CUF hakina mvuto wowote ule-na ikifika 2015,hakitakuwa na mbunge wowote huku tanganyika
 
afu uwe unayfanya utafiti kabla ya kukurupuka m_nge wewe,kuna wabunge wawili tanzania bara wa lindi na kilwa,na ndicho chama pekee cha upinzani chenye wabunge wengi wa kuuchaguliwa majimboni tanzania nzima,chenye viti maalum wengi ni cdm
 
CUF hakina mvuto wowote ule-na ikifika 2015,hakitakuwa na mbunge wowote huku tanganyika

tehe usiongee kwa utabiri usio namaana.cuf unavyofikiria sivyo ime yakosa majimbo matatu ya uhaki kwa tofauti ya kura ndogo.sana ndo nguvu yake itakuwa na choshangaa 2005 cuf ilikuwa haina hata mbunge mmoja bara huoni kama ni maendeleo makubwa na wabunge 24 wakuchaguliwa. Huoni nguvu yote hiyo. Kama kungekuwa hakuna special settin cuf ingeongoza kambi ya upinzani kwani ina wabunge wengi wakuchaguliwa kuliko cdm
 
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?

NA YULE WA KILWA MAARUFU KWA JINA "*****" NI WA CHAMA GANI? CHADEMA a.k.a. MAGWANDA au?
 
Pengine ni wakati wa kujiuliza kwanini CUF inazidi anguka na kuanguka kila siku zinavyokwenda ktk Upande wa Bara?Hali hii inapelkea wana CUF kuzidi poteza matumaini kabisa linapokuja suala watu kuweka matumaini ya kudumu ktk chama.Nini ndio sababu ya CUF kuzidi Zama?Nini mategemeo ya wafuasi waaminifu wa hicho chama?
 
Kuanguka kwa vipimo vipi?
lazima ujue base ya wana CUF iko wapi
na lazima ujiulize why Rais alipokuwa Mkapa CUF ilikuwa very strong
lakini Rais alipokuja Kikwete CUF imepungua nguvu
ukiweza jibu hayo ndo utajua CUF inazama au inakua
 
Huyu jamaa ni babu jinga,kipimo kipi kinakuonesha cuf imekufa. Kama ulikuwa hujui nafasi easy kwa sasa ya ubunge pitia cuf kwa maeneo. Ya pwani.
 
Kama ni kweli Lipumba amepata pesa mingi kuwachanganya Ukawa, itapotea kabisa
 
Back
Top Bottom