Kwanini CHADEMA?

Kwa misingi hiyo wanaweza kuwa wanazuwa vilevile.

Kama wanazua basi huyo anayezuliwa anatakiwa kukanusha na kusema ukweli ni upi. Na kama yangekuwa ya kuzua basi kina Mramba, Yona, Mgonja, Liumba na wenzao wasingefikishwa mahakamani na DPP. Huu mjadala umekaa kiiushabiki wa siasa. Tuweke siasa pembeni na tuangalie sisi kama watanzania tumeifanyia nini nchi iwe ni mwanaCCM, CHADEMA, CUF na wengineo wote.
Hivi Dr. Slaa binafsi hawezi kufungua kesi dhidi ya hao anaowatuhumu kuwa ni mafisadi? Kama anakwazwa na maslahi ya chama basi na yeye hatufai kama ambavyo hawatufai wabunge wa CCM wanapotanguliza mbele maslahi ya chama chao badala ya nchi. Kwa mtaji huu hadi sasa Mtikila ndio anasimama kama mwanasiasa ambaye ni kinara wa uzalendo na kesi zake za kikatiba.
 
Mtikila ni shujaa kwa upande wake ,kusema kweli anajitahidi sana na jitihada zake zinaonekana wazi ,ameshafikisha kesi kadhaa ambazo anaamini ana ushahidi nazo ,CUF siwezi kuwalaumu kwa sababu wameshatangaza wazi kuwa hawana imani na mahakama za Tanzania ,wapo open kwa hilo ,hivyo kukiri kwao huwezi kuwabebesha lawama,wameshakiri hata polisi hawana imani nao ,lakini kwa CHADEMA bado wanaimani na vyombo vya dola katika aidha ni afadhali watamke wazi kuwa hawana imani na vyombo vya dola kama polisi na mahakama ,hapo waendelee kuwatofyoa mafisadi na kuwajuvya wananchi yanayojiri ndani ya serikali vinginevyo wanyamaze na kuzungumzia mambu mingine.
 
Kama wanazua basi huyo anayezuliwa anatakiwa kukanusha na kusema ukweli ni upi. Na kama yangekuwa ya kuzua basi kina Mramba, Yona, Mgonja, Liumba na wenzao wasingefikishwa mahakamani na DPP. Huu mjadala umekaa kiiushabiki wa siasa. Tuweke siasa pembeni na tuangalie sisi kama watanzania tumeifanyia nini nchi iwe ni mwanaCCM, CHADEMA, CUF na wengineo wote.
Hivi Dr. Slaa binafsi hawezi kufungua kesi dhidi ya hao anaowatuhumu kuwa ni mafisadi? Kama anakwazwa na maslahi ya chama basi na yeye hatufai kama ambavyo hawatufai wabunge wa CCM wanapotanguliza mbele maslahi ya chama chao badala ya nchi. Kwa mtaji huu hadi sasa Mtikila ndio anasimama kama mwanasiasa ambaye ni kinara wa uzalendo na kesi zake za kikatiba.

Lazima uelewe serikali ilivyoundwa ndipo utaelewa somo la sivyo kalabagaho.
Slaa kafanya kazi yake vyema anahitaji credit.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom