Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
mleta mada anatoa hoja dhaifu.....
Vipi jina kama Tundu ?
Nilipo RED.
Ahali yangu naomba unisomevizuri sananimeandikanini siokunizulia.
Kwakukusaidia nimebainisha kwamujibu wa Videoya kadhia hiyoinaonekana wazi polisi walifuata taratibu zoten zinazowaongoza yaani PGO katika kukabilianana kadhia hiyo. Ingawa kosalinaloonekana kwamujibu wa Videohiyo ni kuwa walitumia nguvu kubwa sana kupambana na watu wasio na silaha.
Nisome vizuri unielewe na sio kusingizia.
Barubaru,Nilipo RED.
Ahali yangu naomba unisomevizuri sananimeandikanini siokunizulia.
Kwakukusaidia nimebainisha kwamujibu wa Videoya kadhia hiyoinaonekana wazi polisi walifuata taratibu zoten zinazowaongoza yaani PGO katika kukabilianana kadhia hiyo. Ingawa kosalinaloonekana kwamujibu wa Videohiyo ni kuwa walitumia nguvu kubwa sana kupambana na watu wasio na silaha.
Nisome vizuri unielewe na sio kusingizia.
pengine walitumia taratibu zote ya ku pull the trigger..ila hata ile still picture tuu ule moshi ulikuwa unapanda ni wazi alichokielekeza kilitoa blasting object.neno tayartibu tunalichukulia tofauti.Yaani kumuua mwangosi ni kama digital "on" au "1", haliwezi kuwa less au more.So fungua akili yakhe..usisahau stua na halwa moja.
Yakhe, ulikuwa unamzungumzia nani hapo juu tafadhali?
Sisi tulifunzwa kuwa ni lazima ujue na uandike vizuri majina ya vitu kwa usahihi ili wakati unafikiri/unapotoa maana basi uwe na msingi na mtiririko usio na madoa doa.
Pia kwa ufupi juu ya makala yako hii; nina shaka kama uko karibu na ulimwengu huu tuliopo. Sasa kwa vile uko mbali kijiografia ni vizuri ukajongea panapo uhalisia na ukweli; kabla ya ulichofanya.
Barubaru,
..nimekuuliza kama mauaji ya Daudi Mwangosi ni utaratibu wa polisi.
..naomba jibu la NDIO au HAPANA.
Barubaru,Suala lako ni zuri sana. Mimi nakushauri soma Mwongozo wa Polisi wenu PGO. Huko utapata jibu sahihi la jibu lako. Jibu laweza kuwa ndio au hapana kutokana na mtazamo wako.
Barubaru,
..wewe kama muanzisha thread hii una mtizamo gani?
..kwa mtizamo wako, mauaji ya Mwangosi yamefuata utaratibu wa Polisi?
..naomba jibu la NDIO au HAPANA.
.
Barubaru,Barubaru said:3. Nilihoji kutaka kujua Weledi wa mwangosi katika tasnia hii ya habari. Kwani kutokana na taaluma ukipitia kwenye uandishi sehemu za hatari/ vita. Siku zote mwandishi anatakiwa kujiweka sehemu nzuri anayoweza kuona tukio zime vizuri na salama .Na mara nyingi anatakiwa awe nyuma ya vyombo vya usalama. lakin katika picha ile utaona mwangosi yupo mbele ya Polisi.
Hii ndio conclusion zangu mara baada ya kuona clip.
The followings are the rules of engagement ambazo crowd dispersal force yoyote kama police force wanatakiwa kuzifuata A) WARN THE CROWD (B) DO NOT FIRE UNTIL FIRED AT (A)DO NOT FIRE AT A PEACEFUL CROWD (C)DO NOT FIRE AT AN UNARMED CROWD .Je hizi rules zilikuwa observed siku ya kifo cha Mwangosi,kama sio mtu yeyote mwenye akili timamu anajua cha post na kuongea.
Dr. Barubaru; Asalaam aleykum Mkuu. Ha ha ha ha! Yamekuwa tena mambo ya unajimu na ilmu ya nyota mkuu?
Barubaru,
..kuna taarifa za kuaminika kwamba Polisi waliendelea kumpiga, na mwisho kumlipua na kumuua Mwangosi, hata baada ya kamanda wao kuwasihi kwamba anamfahamu Mwangosi kuwa ni mwandishi wa habari, na siyo mwanachama wa CDM. kamanda huyu sasa hivi yupo hospitali kama majeruhi wa mlipuko uliomuua Mwangosi.
..Haijalishi kama Mwangosi alikuwa mweledi wa tasnia ya habari au la. Haijalishi pia kama Mwangosi alisimama upande wa nyuma ya "vyombo vya usalama." Ukweli ni kwamba Mwangosi alitambuliwa na kamanda wa Polisi kwamba ni MWANDISHI WA HABARI na si mwandamanaji/mwana CDM. Kamanda wa Polisi alitoa amri halali kwa askari wake waache kumpiga Mwangosi, lakini askari hao hawakusikiliza.
..mwisho, hoja yako hapo juu ni kama vile unamlaumu marehemu Mwangosi, which i think is very insensitive.
Barubaru,Je mwandishi huyo alijulikana je. Alikuwa na ICC card?
lakin kumbuka kuwa Vita ni vita na vita havina macho. ndio maana tunahoji weledi wa marehemu katika tasnia hii. Je fuata rules zauandishi katikakazi zake.
Kumbuka kuwa uandishi ni taalumaambayoina miiko rules na regulation zake.
Punguza ushabiki.
Nitashindwa kuendeleza mnakasha na wewe sababu kubwa umejikita katika USHABIKI na sio facts. Am sorry for that.
Lakin kama ungechukua muda kidogo kusoma taratibu au mwongozowa Kikazi wa Polisi wenu (PGO) na kuangalia ileclipya kadhia ile ungejifunza mengi sana. Na nafikiri ungeungana na mimi kuwa kosani kutumia nguvu kubwa kupambana na raia wasio na silaha. Lakin taratibu za kudhibiti fijo zote zilifuatwa.
Punguza ushabiki utaelewa zaidi.
Learning pattern na methodology ndizo zimefanya nchi zenu kuzidi kuwa na "Educated fools", I see them how they urge in TV live dilalogue and features at CCN,RT,aljazeera.Na wakirudi kwa watu wao kwa vile hawakufundishwa fikiri sawasawa basi hushangilia kuwa msomi wao alifanya vizuri,wengine tuu ndio walikuwa hawajui.By Ronal Reagan
Yakhe, ulikuwa unamzungumzia nani hapo juu tafadhali?
Sisi tulifunzwa kuwa ni lazima ujue na uandike vizuri majina ya vitu kwa usahihi ili wakati unafikiri/unapotoa maana basi uwe na msingi na mtiririko usio na madoa doa.
Pia kwa ufupi juu ya makala yako hii; nina shaka kama uko karibu na ulimwengu huu tuliopo. Sasa kwa vile uko mbali kijiografia ni vizuri ukajongea panapo uhalisia na ukweli; kabla ya ulichofanya.
Ndio maana nikakuomba usome PDO ili ujue NINI MAANA A AMRI.Barubaru,
..kamanda wa Polisi alitoa amri kwa askari wake waache kumpiga Mwangosi.
..sasa ni wapi ktk taratibu za kazi za polisi ambapo wanaruhusiwa kukaidi amri za makamanda wao??
..weledi wa Mwangosi, au kama alikuwa na ICC card, havina maana, ukizingatia kwamba kamanda wa Polisi alimtambua, na alitoa amri halali kwamba asipigwe.
..again, unachofanya hapa ni sawa na kumlaumu marehemu.
..nakusihi uwe sensitive ktk suala hili.