Kwanini chadema wanampenda zaidi lowasa kuliko kikwete?

Status
Not open for further replies.
KWASABABU LOWASA ALITAMBUA MADHAMBI YAKE NAKU RESIGN hii kwa watu makini kama Chadema ni ukomavu wa Kisiasa..
Kikwete anatambua madhambi yake lakini hatubu na bado anaendelea tu... huu ni UDHAIFU WA KISIASA.
 
Lowasa amependwa lini na CDM? Wangempenda wangemtaja kwenye list ya mafisadi na kumuandama kila siku na chama chake cha ccm? Anyway, napita tu, najua uko kazini. Endelea na mzigo.
 
Join Date : 19th July 2012
Posts : 41
Rep Power : 309
Likes Received3
Likes Given0

Duuh, kama umeingia humu jana na leo unaposti 41 za ***** kama hii basi wewe ni KOVA.
 
tupe ushahidi kwanza nani kakwambia chadema wanampenda lowasa?? au umekurupuka bafuni nini??
 
KWASABABU
1. Lowassa anatoka KASKAZINI
2. Lowassa ni MKRISTO

Haya nenda ka report sasa huko ulikotumwa.
 
Hii hoja haina maana.Haina ushahidi wa hilo unalolisema.Lakini pili hiongezi tija kwa taifa.JK NA LOWASA wote ni CCM. Na CCM Ndiyo iliyotufikisha hapa.
 
Mbona kila kitu chadema?.....maisha magumu cdm......ufisadi wa kikwete ccm na serikali yote cdm.......ajari za meli cdm....ulimboka cdm....cdm wakitaka kuandamana al shabab.......epa,meremeta,kagoda,richmond,kiwira tanesco cdm......mbona cuf (ccm-b) au nccr hawasemwi?.....mbona mwandishi hana habari kuwa cdm wanampenda zaidi kikwete ndiyo maana walipoona unafiki wa wabunge wa ccm kuhusu katiba walimfuata hukohuko ikulu na akawakubali na hatimaye upepo ukatuli....kwa taarifa yako cdm wanampenda zaidi kikwete la sivyo wangemwacha aanguke anguko kuu ndani ya miaka miwili tu ya kwanza.......
Jamani tumechoka
 
Km kikwete ni muislamu mbona kasomeshwa na shule za kikristo na ndiyo maana yuko hivyo.....mbona ana totoz kibao za kikristo?.....ccm tu ndio wanafiki na wabaguzi. Mbona chama hicho hicho cha kaskazini na cha kikristo kimeenda kumpa ushauri na muislamu kikwete ameupokea?.....mbona hatuoni wa mashariki na waislamu wakienda kumpa ushauri ili aufanyie kazi au wao wanafikiri kwa kutumia masaburi?.....km muislamu anaukubali ushauri wa kikristo na kuukataa ushauri wa kiislamu basi ujue ukristo ni mzuri na ndivyo ilivyo...................
Hebu jaribu wote tungekuwa waislamu ingekuwaje ingekwua km tunisia,misri,syria,iraq wanakolipuana wao kwa wao kwa sababu waislamu hupendana dakika 2 huchukiana dakika 30....hapawezi kuwa na maendeleo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom