Kwanini CHADEMA wameamua kugawa misaada moja kwa moja kwa waathirika?

kabuga

Member
Nov 19, 2011
78
14
Leo katika taarifa ya habari, Mlimani TV, Mwenyekiti wa Taifa CDM,bwana Mbowe, kasema kuwa wameamua kuwapa wale wahanga wa mafuriko moja kwa moja misaada hiyo, bila ya kupitisha kwa kamati zilizo undwa na Serikali ya Magamba

Swali ambalo najiuliza, ni kwa nini mheshimiwa Mbowe kaamua kutumia njia kama hii ya kunzunguka mwenyewe na vyakula pamoja na sabuni kwenye marambo wakati magamba yalisha unda kamati za kusimamia ugawaji wa misaada?
 
Labda wanaogopa kuchakachuliwa. Lkn wao chadema watakuwa na jibu ktk hilo.
 
leo katika taarifa ya habari, mlimani tv, mwenyekiti wa taifa cdm,bwana mbowe, kasema kuwa wameamua kuwapa wale wahanga wa mafuriko moja kwa moja misaada hiyo, bila ya kupitisha kwa kamati zilizo undwa na serikali ya magamba

swali ambalo najiuliza, ni kwa nini mheshimiwa mbowe kaamua kutumia njia kama hii ya kunzunguka mwenyewe na vyakula pamoja na sabuni kwenye marambo wakati magamba yalisha unda kamati za kusimamia ugawaji wa misaada?
..wanawafahamu magamba kwao kila kila kitu ni dili..leo kwenye taarifa ya habari wahanga wanalalamika kuwa magamba wanaondoka na misaada wanapeleka ma kwao,,hii hatary hawafai hata kukaa na mgojwa
 
michango ya gongo la mboto mingi imeenda kwa watendaji tu, na si kwa waathirika
 
Leo katika taarifa ya habari, Mlimani TV, Mwenyekiti wa Taifa CDM,bwana Mbowe, kasema kuwa wameamua kuwapa wale wahanga wa mafuriko moja kwa moja misaada hiyo, bila ya kupitisha kwa kamati zilizo undwa na Serikali ya Magamba

Swali ambalo najiuliza, ni kwa nini mheshimiwa Mbowe kaamua kutumia njia kama hii ya kunzunguka mwenyewe na vyakula pamoja na sabuni kwenye marambo wakati magamba yalisha unda kamati za kusimamia ugawaji wa misaada?

Katika ziara yake hiyo, Mbowe alielezea kusikitishwa kwake na taarifa za kuwapo kwa watu wasio waaminifu wanaodaiwa kuiba misaada iliyotolewa kwa waathirika.

Alisema kitendo hicho si cha kibinadamu na kuwataka wahusika kuacha kufanya hivyo, kwasababu ni kutakatisha tamaa watu wenye mapenzi mema kujitolea kuwasaidia waathirika.

“Juzi (jana) tumetoa misaada, lakini usiku tukapata taarifa kuwa kuna watu wanashirikiana na baadhi ya watendaji kuchakachua chakula cha misaada na kuuza, taarifa hizo siyo njema hata kidogo. Nitumie fursa hii kuwataka wahusika waache sababu za kuwakatisha tamaa hata watu wengine wanaotoa misaada na wenye nia ya kusaidia,” alisema.
 
..wanawafahamu magamba kwao kila kila kitu ni dili..leo kwenye taarifa ya habari wahanga wanalalamika kuwa magamba wanaondoka na misaada wanapeleka ma kwao,,hii hatary hawafai hata kukaa na mgojwa

​Hakyanani ukiwaachia mgonjwa anakufa kwa njaa siyo kwa ugonjwa!
 
Ndiyo njia effective kuhakikisha msaada unafika kwa watarajiwa!
After all wameipunguzia kamati husika gharama in the name of muda, petroli usumbufu na manpower!
 
Kamati ya maafa haina sura ya umoja wa kitaifa, hivyo ukikabidhi misaada pale mopja kwa moja inakuwa inatekeleza sera za CCM na jamaa watapaza sauti kusema angalia serikali yenu inawajali. Wewe hukuangalia waliokuwa kwenye Helicopter ni wao tu hata kiongozi mmoja wa kutoka hivyo wanavyoita vyama vya upinzani hakuwepo. jamaa wabaguzi sana hawa, wanaweza kulia hata msiba peke yao ajabu:juggle::poa
 
Back
Top Bottom