Kwanini CHADEMA wakiwa nje ya nchi hawavai yale magwanda ya kuwindia?

J4MAYOKA

Senior Member
Jul 16, 2011
147
84
Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo?

Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi

au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi?
 
Nijuze kuhusu Magamba na uvaaji wa sare zao nje ya nchi? Viongozi wa magamba wanasafiri sana nje ya nchi ila sijawahi kumuona yeyote yule akiwa huko huku kavunja na zile nguo zao za laana, weye wawaona cdm tu?
 
Kwani JK anavaa zile nguo za Kifisadi za kijani???
Akienda kutumbua VYUKUbugghaibuni???
Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo?

Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi

au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi?
 
J4 umetamka yanayoufurahisha moyo wako, lakini yanaonyesha wazi uwezo wa kufikiri ulipofikia.
 
Kwasababu hamna magamba/nguchiro wa kuwinda huko nje,huko ni msitu safi huu wakwetu ndo unaoharibiwa na magwanda
 
Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo?

Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi

au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi?

Je CCM nao huvaa magamba yao ya kijani wakisafiri nje?
 
jk ameenda ughaibuni mara 500 tangu aende magogoni,katika ziara zote hizo hakuna alipovaa mbogamboga,mbona hujahoji?...............pumbaaaaaaaaf kudadadekiiiiiiiiiiiiii
 
Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo?

Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi

au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi

Ukiwa na akili finyu utaandika utumbo
 
Back
Top Bottom