Kwanini CHADEMA inapata nguvu haraka?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
1. Ugumu wa maisha.
2. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
3. Matumizi makubwa na ya anasa kwa viongozi.
4. Kupeana nafasi za uongozi kishkaji.
5. Ongezeko la wasomi wengi wasio na ajira.
6. Kuchoshwa na Serikali ya kimazoea.

KAMA SERIKALI INGEYAFANYA HAYA:

1. kutoa ajira kwa vijana.
2. Kudhibiti mfumuko wa bei....

CHADEMA INGEKUWA KAMA VYAMA VINGINE VYA KWAIDA SANA..

LAKINI PAMOJA NA KUSHABIKIA CHADEMA JE , WANACHAMA WAKE WANAJUA CHAMA CHAO KITAWAFIKISHAJE PALE WANAPOTAKA??
 
Siku zote ukitaka kupata demu mkali,ambaye amekukataa cku nying msubilie atendwe!Ndio kwa watanzania magamba yamewatenda,kwa hyo hta kama CHADEMA inawadanganya kwa sasa ndio 2maini lao.
 
Kwa kuwa CCM inapoteza nguvu haraka. Watu ndio watapanga CDM iwafanyie nini. People power. CCM inawapangia watu, CDM inawwacha watu wawapangie. Ndio maana hata mimi nashabikia CDM, Nguvu ya umma kupanga mambo yao wenyewe.
 
1. Ugumu wa maisha.
2. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
3. Matumizi makubwa na ya anasa kwa viongozi.
4. Kupeana nafasi za uongozi kishkaji.
5. Ongezeko la wasomi wengi wasio na ajira.
6. Kuchoshwa na Serikali ya kimazoea.

KAMA SERIKALI INGEYAFANYA HAYA:

1. kutoa ajira kwa vijana.
2. Kudhibiti mfumuko wa bei....

CHADEMA INGEKUWA KAMA VYAMA VINGINE VYA KWAIDA SANA..

LAKINI PAMOJA NA KUSHABIKIA CHADEMA JE , WANACHAMA WAKE WANAJUA CHAMA CHAO KITAWAFIKISHAJE PALE WANAPOTAKA??
Hayo ndo makamanda wanazunguka kuwaeleza, kuwashirikisha, na kupanga nao kufikia lengo kwa pamoja.
 
On top of that..tunahitaji utaratibu mzuri wa kupanga mambo..sio bora liende..maana kilichopo CCM kimeanza kujidhihirisha na CDM pia, hiii kansa ya kupeana uongozi..kuna baadhi ya wakubwa wa cahdema wamewapa ubunge wa viti maalum, wakwe na dada zao..likiachwa hili litaota mizizi na litaturudisha kule kule tulikotoka..msingi bora unahitajika ili kupata kitu bora huko mbeleni
 
1. Ugumu wa maisha.
2. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
3. Matumizi makubwa na ya anasa kwa viongozi.
4. Kupeana nafasi za uongozi kishkaji.
5. Ongezeko la wasomi wengi wasio na ajira.
6. Kuchoshwa na Serikali ya kimazoea.

KAMA SERIKALI INGEYAFANYA HAYA:

1. kutoa ajira kwa vijana.
2. Kudhibiti mfumuko wa bei....
3. Kupambana na rushwa na ufisadi kwa dhati kabisa kabisa
4. Kufutilia mbali mikataba mibovu ya kifisadi
5. Kudhibiti ufujaji wa fedha za umma
6. Kusimamia raslimali za taifa ili ziwanufaishe wananchi wa taifa hili.
7. Kukomesha ugenishaji wa nchi.
8. Kuwatumia wataalamu wazawa kwanza

CHADEMA INGEKUWA KAMA VYAMA VINGINE VYA KWAIDA SANA.
Kwa hili umekosea sana CDM haiwezi kuwa kama vyama vingine vya kawaida, pambanua mchele na chuya CDM sio chama kingine cha kawaida na ndio maana wakati CDM inapasua mawimbi vyama vingine vya kawaida vinasua sua kwa sababu hivia maono na agenda endelevu kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili; vipo vipo tu kuchumia matumboni ndio maana wananchi wameangalia, wakachambua, wakatafakari wakaiona CDM ndio njia ya kweli ya ukombozi wakapanda treni la CDM; sio wajinga hawa.

LAKINI PAMOJA NA KUSHABIKIA CHADEMA JE , WANACHAMA WAKE WANAJUA CHAMA CHAO KITAWAFIKISHAJE PALE WANAPOTAKA??
Kama hawajui CDM inakowapeleka wasingepanda Treni lake; tafakuri hiyo wamemaliza siku nyingi sasa ni kazi moja kumgoa adui "NYINYIEM", pamoja na makuadi wake, na mafisadi wake wote,. kama wewe bado unajishauri, na kigugumizi na kisebu sebu, wenzio tunasonga mbele utatukuta masafa kama utaweza na usipozama na NYINYIEM yako.

1. Ugumu wa maisha.
2. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
3. Matumizi makubwa na ya anasa kwa viongozi.
4. Kupeana nafasi za uongozi kishkaji.
5. Ongezeko la wasomi wengi wasio na ajira.
6. Kuchoshwa na Serikali ya kimazoea.

KAMA SERIKALI INGEYAFANYA HAYA:

1. kutoa ajira kwa vijana.
2. Kudhibiti mfumuko wa bei....

CHADEMA INGEKUWA KAMA VYAMA VINGINE VYA KWAIDA SANA..

LAKINI PAMOJA NA KUSHABIKIA CHADEMA JE , WANACHAMA WAKE WANAJUA CHAMA CHAO KITAWAFIKISHAJE PALE WANAPOTAKA??

Julius alikiona hiki chama toka awali kuwa cha ukombozi, wewe unashangaa nini?
 
Hiyo Nguvu ni humu JF na Arusha tu.
HATA WATU WOTE WAKIONDOKA CCM NIKABAKI PEKE YANGU CCM ITASHINDA NA ITAONGOZA TANZANIA 2015(NAPE)URAISI UPINGWE MAHAKAMANI KWENYE KATIBA MPYA(KIKWETECCM ISIPOACHA MAKUNDI ITAKUFA KABISA CHADEMA HAWANA HATA BAISKELI LAKINI KIMEENEA KAHAMA YOTE(MAIGE)SASA 2015 CCM ISHINDE KWA MTAJI UPI:israel:
 
julius alikiona hiki chama toka awali kuwa cha ukombozi, wewe unashangaa nini?

hapa ndipo ninapomkumbuka julius nyerere alikitaja chadema kitakuja tisha zamani wakati anasema hivi hata mimi sikukubaliana naye 100%, always naikumbuka ile speech sidhani kama inarushwa siku hizi na chadema wangeitafuta hii ingesaidia sana kwenye m4c
 
BADO MWANDISHI HUJAJIBU SWALI LAKO MWENYEWE...............WHY CHADEMA NA SIO TLP ,NCCR-MAGEUZI,CCJ & CCK (zile za NAPE)....N.K....
TUTAJIE SIFA ZA CHADEMA TAFADHARI...KWA NINI WATU WANA OPT KUSUPPORT CDM KWA HALI NA MALI NA SIO VYAMA VINGINE......JIBU NI KWAMBA CDM KUNA VIONGOZI WENYE TUNU ZA UONGOZI....M4C
 
hapa ndipo ninapomkumbuka julius nyerere alikitaja chadema kitakuja tisha zamani wakati anasema hivi hata mimi sikukubaliana naye 100%, always naikumbuka ile speech sidhani kama inarushwa siku hizi na chadema wangeitafuta hii ingesaidia sana kwenye m4c

He!! Kumbe Julius aliwahi kusema haya maneno???

Tafadhali naiomba hiyo speech!!!
 
Back
Top Bottom