Kwanini chadema hawaandamani moshi?kunani?

siamini kabisa mwanahalisi, wao ndio walituambia baada ya tarehe 31 Oct nchi hii itakuwa inaongozwa na mzee wa miaka 60 ambaye ana girl friend bado..haikuwa hivyo yule padre mstaafu..nooo yule aliyefukuzwa kwa kukiuka maadili ya kanisa hakuwa rais.

Ila unaamini Rai na mtanzania pambafu
 
Watu wa Moshi kama mnataka maandamano tumeni maombi watakuja tu. Hawana hiyana na lolote... Ila kama mko ngangari ombeni maandamani kama ya Libya kumng'oa JK yaanzie huko. lakini nina uhakika mko waoga ndo maana mmemrudisha hata Mrema aliyechoka ktk ubunge.

wa dar ndo waoga, MOSHI MJIN washaamka tangu '95, moshi vijijini kule kwa mrema walichakachua, Dar kwa waswahili ndo wanarudisha nyuma harakati za mabadiliko...
 
Kwani wamemaliza mikoa mingine na ukaona Kilimanjaro kumebaki? Moshi mjini ni wajanja toka awali, na hivyo hakuna sababu ya kuwaamsha walio macho, bali waliolala....! Unataka wakaandamane na Karatu, Ubungo, Kawe, Mbulu, ........? Vinginevyo, popote watakapoandanmana ujumbe unapelekwa kwa Watanzania wote, hata walio nje ya Tanzania....!

Yaani CDM wakimaliza sehemu zooote hizo kwa maandamano ya amani kama ilivyo kuwa katika kanda ya ziwa CCM inabidi watoe shukurani za nguvu kwa Dr. Slaa na Mbowe, kwani wamewafanyia kazi nzuri sana. maana as of now CCM wanaweza lala usingizi mwororo kwani joto la siasa lililo kuwa juu kabla ya maandamano ya kanda ya ziwa limepoa, watu wame-vent out pressure zao in short CDM imetumika na kama hawatagundua, itaendelea kutumika kama safety valve bila kujijua halafu cha ajabu na CCM pia hawaja gundua hili na cha ajabu badala ya kuishukuru CDM wanailaani na hata wanaomba kutumia nguvu ya dola kuizuia!!!! why?
 
kilimanjaro,karatu wao tayari walishaamka kitambo now lakezone wako kwa mstari! Ukombozi unaendelea mpaka mikoa yote ijue
 
Wanaposema Maandamano ni ya Nchi nzima, inamaana Moshi siyo sejhemu ya nchi hii. Eti Rose...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom