Kwanini cdm haitashinda arumeru mosi april 2012

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga kura.Pili:Vijana wengi wenye kadi hawajavutika kusimama kwenye foleni ndfu tofauti na wazalendo mgando wa CCM,TATU:Wazee wengi ni mtaji wa CCM tofauti na CDM, NNE:CCM ni wataalamu wa rafu ya Takrima,vyombo vya Usalama na Umaskini kwa watu wa MERU.

ni vyema CDM wakaendelea kuhamasisha mikuto ya maeneo ya vijijini kulikoni wafanyavyo maeneo ya Mjini.Mbowe pia jitokeze nenda Vijijini ukaongeze Nguvu
 
wewe, ni ssm ndo maana unaongea point ambayo haina maana
Utaendelea kuwa na bora maisha siku zote
:lock1:
 
wewe, ni ssm ndo maana unaongea point ambayo haina maana
utaendelea kuwa na bora maisha siku zote
:lock1:

umvamizi,ukweli ndo huo.yaweza kuwa mie ninauhai zaidi yako ndani ya chadema.ila lazima tukubali kuumeza ukweli hatokma unauma
 
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga kura.Pili:Vijana wengi wenye kadi hawajavutika kusimama kwenye foleni ndfu tofauti na wazalendo mgando wa CCM,TATU:Wazee wengi ni mtaji wa CCM tofauti na CDM, NNE:CCM ni wataalamu wa rafu ya Takrima,vyombo vya Usalama na Umaskini kwa watu wa MERU.

ni vyema CDM wakaendelea kuhamasisha mikuto ya maeneo ya vijijini kulikoni wafanyavyo maeneo ya Mjini.Mbowe pia jitokeze nenda Vijijini ukaongeze Nguvu

Ficha utupu wako
 
hao wazee mnaowasema wako wapi? tangu 1995 mnasema wazee wazee...... sidhani kama bado wapo!
 
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga kura.Pili:Vijana wengi wenye kadi hawajavutika kusimama kwenye foleni ndfu tofauti na wazalendo mgando wa CCM,TATU:Wazee wengi ni mtaji wa CCM tofauti na CDM, NNE:CCM ni wataalamu wa rafu ya Takrima,vyombo vya Usalama na Umaskini kwa watu wa MERU.
ni vyema CDM wakaendelea kuhamasisha mikuto ya maeneo ya vijijini kulikoni wafanyavyo maeneo ya Mjini.Mbowe pia jitokeze nenda Vijijini ukaongeze Nguvu

Bado sijaona u great thinker wako kwenye kuleta hoja ...kajipange upya
 
Watanzania inabidi tuelewe na kuondokana na propaganda za CCM kwamba wanachama wao ni wazee! hii huitumia wanapotaka kuhalarisha uchakachuaji!. Ukweli ni kwamba wazee wengi wamebadilika kiitikadi kutokana na matakwa ya watoto wao (vijana).
 
Ebu tujikumbushe kidogo katika haya ili kuondoa ama kupunguza pressure huko Arumeru hapo 1st April 2012 (Foolish Day)

quote_icon.png
By Dr.W.Slaa (Katibu Mkuu Chadema)

WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.

quote_icon.png
By Ng'wana Sweke (Kamanda)

Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.

quote_icon.png
By Tumaini Makene (Afisa Habari Chadema)
Updates;

Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.

quote_icon.png
By Tumaini Makene (Afisa Habari Chadema)
Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8 %), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
 
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga kura.Pili:Vijana wengi wenye kadi hawajavutika kusimama kwenye foleni ndfu tofauti na wazalendo mgando wa CCM,TATU:Wazee wengi ni mtaji wa CCM tofauti na CDM, NNE:CCM ni wataalamu wa rafu ya Takrima,vyombo vya Usalama na Umaskini kwa watu wa MERU.

ni vyema CDM wakaendelea kuhamasisha mikuto ya maeneo ya vijijini kulikoni wafanyavyo maeneo ya Mjini.Mbowe pia jitokeze nenda Vijijini ukaongeze Nguvu

Ukweli nilazima vijana wajitokeze kupiga kura kwan wengi wao hua ni washabik 2 wa vyama,hio nilishuhudia nikiwa msimamiz wa kituo uchaguz 2010.
 
Real u'r not a grat thinker.Unafikiria kushindwa kwanza kweli hata kwenye maisha yako una matatizo nayo........
 
Back
Top Bottom