Kwanini CCM wengi mazuzu

kuthibitisha wana CCM MAZUZU mwaka jana waziri wa mambo ya ndani lawrence MASHA aliulizwa tanzania kuna MAGEREZA mangapi akajibu hajui!hivi alikua waziri akifanya nini kama hata ofisi zake hazijui?uthibitisho upo mwingi sana leo JK unemployment rate ya tanzania tangu mwaka 2000 mpaka 2011 sidhani kama atakupa jibu!ila uliza kuna safari tarehe ngapi utajibiwa
 
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.


we kiazi kweli yaani unamfananisha mtu mmoja na kundi la vilaza na mazuzu waliopo ccm unakanyagwa wewe.ipi bora kuwa na mtu mmoja makini au kuwa na kundi la viazi kama wewe!!!11
 
unajua uzuzu wao unasababishwa na tamaa, ubinafsi na kukosa uzalendo hamna cha ziada
 
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.

jina lako linaendana na ufikiri wako zhuzhu ( KWA AKILI YAKO HATA SIKU MOJA USILINGANISHE CCM NA CDM) ........ MWEUSI WEWE

Lema tu anawatosha kuwasambaratisha na mkagongana vichwa vyenu
 
Heeeh! Hata wewe umeelimika na una uwezo wa kufikiri na kupembua mada! Tena hauko kichama zaidi?
Well i dont think so, labda kimatusi zaidi...

zuzu:sleepy: zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz umesoma kweli wewe? au ulienda shule kukrem
 
Kama jamii forum ni ya chadema CCM mnakuja kutafuta nini humo? hii ni dhahiri kuwa na ninyi mmeipenda CHADEMA, chadema oyeeeeeee ! mnakuwa kama vibinti nataka sitaki mkiambiwa na nyie chadema mnakataa.
 
kama jamii forum ni ya chadema ccm mnakuja kutafuta nini humo? Hii ni dhahiri kuwa na ninyi mmeipenda chadema, chadema oyeeeeeee ! Mnakuwa kama vibinti nataka sitaki mkiambiwa na nyie chadema mnakataa.


inashangaza wao kama wanasema jamii forum ni ya chadema sisi wanajamii forum tunaiunga mkono chadema maana wao ndo wenye maana na kama ni ya chadema mnaifungua ya nini nisema mnaipenda chadema sikosei. Hata makamu wenu mwenyekiti anaipenda chadema ndo maana anvisit jamii forum (great thinkers)
 
Mazuzu kwa kuwa chini ya utawala wa nyerere darasa la 7 ndio ilikua kiwango cha juu cha elimu!hivyo wana ccm hakuna elimu
 
we kiazi kweli yaani unamfananisha mtu mmoja na kundi la vilaza na mazuzu waliopo ccm unakanyagwa wewe.ipi bora kuwa na mtu mmoja makini au kuwa na kundi la viazi kama wewe!!!11

Ni bora mtu mmoja makini aisee. Huyo atakuwa raisi, atakuwa makamu wa raisi, waziri mkuu, atakuwa waziri na naibu waziri kwa wizara zooote. Halafu hapo ndiyo matatizo ya watanzania yatakuwa yamepatiwa mwarobaini, what a great thinker!!
 
CCM ni Mazuzu na wanachama wenu ni walewale wa zilipendwa unamsikia mtu anasema eti rais wa Tanzania ni Nyerere,waziri mkuu Kikwete,..alafu hawa jamaa ushinda wanasoma magazeti ya udaku UHURU na radio yao,na waandishi wa magazeti yale ni walioishia drs la7 na wamejaa siasa za 77 za chama1

kwahyo hawa waandishi na wanachama wao hawajuhi kama leo ni vyama vingi na siasa za ushindani,ndo maana hawakubali kushindwa kila leo wanafikiri kuiba kula na masanduku usiku kucha,ushauri wa bule CCM pelekeni wanachama wenu shule...you are very sill and illiterate
 
zuzu:sleepy: zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz umesoma kweli wewe? au ulienda shule kukrem

Mkuu najua unajua labda nikukumbushe tu kuwa wanaokremu husoma kwanza, hata hivyo sikusema nimesoma.
Ni utashi wa mgonjwa kuona wenye afya wagonjwa, siwezi sema wewe ni zuzu kwa sababu mimi si zuzu...
 
Mara nyingine unawaza kuwa zuzu kwa kukosa muongozo wa process fulani. Kwa mfano ccm mpaka leo kinaitwa ni:
Chama cha wakulima na wafanyakazi
Chama cha ujamaa na Kujitegema
Chama kinachopinga rushwa
Sasa kuna wanachama wangapi wa ccm ambao ni wajamaa
Rushwa imefikia kiwango gani ndani ya ccm. unakumbuka kura za maoni mwaka jana?
Wafanya kazi wangapi ni viongozi
Wakulima wangapi ni viongozi
Mabepari wangapi ni viongozi.

Kama chama kimeamua kuwa cha mabepari halafu kinajiita cha ujamaa, uzuzu utaondokaje. (Chupa na Almasi by JKN).:whoo:
 
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.

Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki

Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia
Kichwa cha somo na unachokieleza ni tofa na uti!!!!!!!!!! au unammanishanini?

 
Ukishaingia, kwenye utando wa CCM, unatakiwa uache kufikiria kwa ubongo, na badala yake utumie tumbo kufikiri. it is simple as that!
 
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.

mkuu Zhu hapa umefanya kosa la kihistoria..ukitaka kuedit a bit ufanye analysis ya upright and country loving minds, professionals na PhD zote za nchi hii ndio utajua strength ya chadema......... chukua ka mfano kadogo tu MLIJUA HABARI INAYOWATESA SANA INAITWA TUNDU LISSU KAMA NI MARA TANO YA SLAA?? sasa huyo ni cha mtoto.....kuna mitambo yenye horse power za kutosha inavuta kasi nyuma ya curtain.....tutakuwa tunaiintroduce moja baada ya nyingine maana hata sasa chadema iko juu ya ccm kwa 4 by 4 by far! ccm mzunguko mmoja tu wa leadership umeprove kuwa ni chama cha kiukoo...eg. unamtoa makamba unamrudisha makamba......
 
umenifurahisha. mimi niletee castle moto moto. wanasiasa wooooooote tz ni wasanii tu.
 
Katika utafiti wangu nimekuja kuona ccm wanachama wengi wa ccm na viongozi wao wapo kimaslahi yao na hawana jipya la kufanya kimaendeleo.

Karibia wote ni vilaza wanaopewa nafasi kubwa serikalini ndio maana wanasababisha matatizo makubwa kama ufisadi, na maisha magumu yanayowakabili wananchi wengi kwa sasa.

Wamekuwa wakikimbilia cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa mambo yanavoenda mbona hawawezi kutoa tathmini ya mandeleo wanayoyafanya mbele ya watu wanao fatilia na wasomi kwa ujumla.

Mimi binafsi naona ni ukomo wao maana zama zao zilikuwa za kuongoza watu walio gizani. Kama sasa wanalalamika wanavyuo kuwazomea je walipozomewa na wananchi wa ubungo wakati wametoka sijui kutoa magamba yao wale walikuwa ni wanachuo????

Ccm mmekwisha hakuna mnalolifanya kwa sasa zaidi ya kutuletea matatizo kila siku. Mnaposema jamii forums inawachafua kwani inaandika uwongo???

Chadema wanapowapinga wanakosea????

Kwa kweli nyie sio siri ni mabogas mlio pitiliza
Tangu mwanzo nguvu ya CCM na serikali yake zimejengwa katika misingi ya matambiko ya ushirikina-yaani ushirika na mashetani au majini miongoni mwake yale ya sheikh mtabiri wa mwembechai magomeni; hiki ndicho chanzo cha uzuzu ambao sasa baada ya mradi wa Loliondo kufulia basi siri za uzuzu zimeanza kutoka hadharani; shetani siku zote ni adui ambaye kazi yake ni kuua!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wangekuwa Mazuzu wange tushinda kwenye uchaguzi! Ikumbukwe CCM waliongoza kupata wabunge wengi kwa 87 percent na Urais wakashinda! Mimi naona tumeanza ushabiki wa kujiridhisha mapema! Angalie sana CCM bado wako vizuri!
 
Back
Top Bottom