Kwanini CCM imejaza wanajeshi kwenye uongozi wake? Nayo inatishia amani?

Wewe acha wivu. Ulitaka wagombee kupitia chama gani? CHADEMA? Anzeni kuwafukuza mlionao kama MABERE MARANDO na wengine wanaowasaidia kimyakimya ambao SLAA aliishasema wanawasaidia. Tuwaache kama wakistaafu wakaamua kuingia kwenye siasa kupitia CCM au CHADEMA au ACT ni haki yao wala hawazuiliwi na katiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom