Kwanini (CAG), Ludovick Utouh anaficha ripoti za ukaguzi?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
CAG-Ludovick-Utouh.jpg


Tazama hapa kisha utaona. Ripoti zilizowekwa ni za zamani na ni chache sana ukilinganisha na ugaguzi alioufanya

National Audit Office of United Republic of Tanzania


Je CAG anafanya kazi ya ukaguzi kwa manufaa ya nani na anpozificha hizi ripoti anajaribu kumlinda nani?
 
Anaye mwakilishi hapa JF wewe tuliza ball atakuja kukujibu kwa kireefu na pia atalalamika kuwa CAG anaandamwa pasipo sababu za msingi
 
Anaye mwakilishi hapa JF wewe tuliza ball atakuja kukujibu kwa kireefu na pia atalalamika kuwa CAG anaandamwa pasipo sababu za msingi

Katika ofisi ambazo tunapoteza bure kodi zetu ni hii! Madaraka makubwa, maneno mengi lakini matunda HAFIFU!
 
Kama mtakumbuka miezi kadhaa iliyopita baba Mwanaasha (yule wa Div.4) aliwahi kusema kuwa anafurahia na kuridhika mno na utendaji kazi wa Utouh. Sasa uzoefu unaonyesha kuwa yeyote anayekubalika na baba Mwanaasha huwa ni utumbo mtupu kama yeye alivyo.
Katiba mpya tutahitaji ilazimishe uwazi wa masuala yote yenye manufaa kwa umma, hasa hasa masuala ya matumizi.
 
CAG anaweka general reports,LAGs,MDA,DFP,PA na Perfomance Audit,ukitaka BRELA nenda PA utakuta brief zake,in details nenda kwny Management Leta ya BRELA,vivyo hivyo na BOT ambapo utaikuta MDA ktk brief za MOF

tatizo liko hapo

Hataki kuweka FULL REPORTS za hao akina BRELA, BOT, TRA, etc

halipwi pesa awapatie watanzania Brief reports

hizo full reports anazifichia nini?

kwa nini mkaguzi afiche repoti ?

hivi how hard is it kupost hivi vitu online

haya ndo mambo ya OPEN GOVT anayotaka kikwete kweli?
 
tatizo liko hapo

Hataki kuweka FULL REPORTS za hao akina BRELA, BOT, TRA, etc

halipwi pesa awapatie watanzania Brief reports

hizo full reports anazifichia nini?

kwa nini mkaguzi afiche repoti ?

hivi how hard is it kupost hivi vitu online

haya ndo mambo ya OPEN GOVT anayotaka kikwete kweli?

Kamanda hapo sasa unachekesha,hivi atapost ngapi humu ktk web?mbona husemi kaficha ya Iramba au Mwanza c.c,em chukulia idadi ya councils,mda na PA!Ripoti inapotoka ni kwa ajili ya matumizi ya mtu yeyote,hata darasa la pili akija kwa CAG atapata kopi yake.Kama CAG anaficha kitu kwa nini basi akiweke kwny report wakati mwisho wa siku PAC,LAAC watakiona.acha hizo Kamanda
 
Naye c ni walewale, kama c kwamba anaogopa kungolewa meno. Au umesahau kuwa ndege wafananao huruka kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom