Kwanini bodi ya mikopo wamechelewesha pesa za special facaulty nasp sua

massau

Member
Feb 5, 2012
8
0
Bodi ya mikopo kuchelewesha pesa za vitivo kinyume na mkataba kwani pesa hizo ziliitajika mwanzoni mwa s emister ili zifanye kaz yake lakini bodi bado hataki kutoa cheque hii imesababisha wanafunz weng kusoma katika mazingira magumu hivyo tunaomba hsleb wafanye hima kabla hakijanuka sabab tumekaa kimya mda mrefu kama wanataka tuwe kama ud au udom,ngoja tumalize mithan ya semister
 
Back
Top Bottom