Kwanini Benki Kuu inaendelea kutoa leseni kwa benki za Kinaijeria?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,204
Kuna benki moja ya biashara yenye makao makuu yake Pugu Road yenye asili ya ki Nigeria iko kwenye hali mbaya sana kifedha na wateja walioshtuka wameanza kukimbiza amana zao kwa kuhofia usalama wa pesa zao.
Hii sio mara ya kwanza kwa benki ya ku Nigeria kufilisika na kuleta usumbufu mkubwa sana kwa wateja wao.
Meridean Biao ilianza kufa sasa inafuata hii benki ambayo inayatumia majengo ya Yusuf Manji yaliyopo sehemu mbalimbali za jiji kama matawi yake.
 
Mkuu hujaatendea haki kabisa haa jamaa, Hii ni bank iliyoanzishwa na waafrika kutoka Ghana, ina matawi zaidi ya Mataifa 30, inakuwaje wewe unaiita bank ya ki-nigeria, cha msingi unatakiwa utambue, biahsara ya kibank, kwa nchi za ulimengu wa tatu ni ngumu saana, kama hauko affliated labda na mafisadi, serekali, nchi na makampuni huwezi pata biashara hata kidogo. WeWe mbona hujiulizi kwanini EXIM bank inakuwa kwa kasi saana? Hakuna Mhindi mwenye madili makubwa anaweza peleka pesa yake Akiba bank atapeleka EXIM, Hakuna kampuni kutoka south africa inaweza peleka pesa yake CRDB badla yake watapeleka NBC, Hakuna mkenya au kampuni kutoka kenya wanaweza fungua account kwenye bank nyingine isipokuwa Kenya commercial bank

Tambua Taifa linapoenda kuwekeza mahali linafuatwa na vitu vingi, Angalia kampuni za kenya zilipokuja hapa Tanganyika mara moja zilifuata na Kenya commercial Bank, Insurance companies, KQ, security companies NK, hii ndio ilivyo. Hawa jamaa wa ECO BANK wanajitahidi tena saana, tatizo hawako affliated na mafisadi tu, Tambua account ya kampuni moja inaweza ikawa na mtaji wa hivi vibank vidogodogo, so wape muda naamini wataweza. hata wakifilisika wanamtaji
Kumbuka hata STANBIC-TZ kuna kipidni walifilisika ikabidi makaburu wawaongezee mtaji

Cha msingi waafrica tusaidiane wenyewe kwa wenyewe, hii ndio njia itakayo tukomboa na WIVU WA KIKE dhidi ya wenzetu wanaojitahidi
 
Kwahiyo unajaribu kusema leseni zisitolewe tena au?
Ila siku zote tunaexpect company/b'ness itaendelea kuoperate kwa muda mrefu (ref going concern theory). Kwa unachokiongea wewe ina maana hata banks zisitoe mikopo kwa kuhofia wakopaji watafilisika.
 
Hadi unatoa leseni kuruhusu bank fulani ifanye kazi za kibenki nchini lazima uwe umezingatia vigezo. Alafu vilevile kitengo cha banking supervision kinakuwa na kazi ya kuhakikisha compliance ipo in place.
 
watafilisikaje wakati wapo makini sana ukizingatia wao ni wapigaji wazuri wamejikita zaidi kujilinda waiibiwe yani mikopo yao mpaka upewe laima wawe wamejizirisha sana na vigezo babukubwa mpaka wanaboa yani
 
Hii nchi ina wazimu utakuta hapo wanapewa tax holiday ya miaka mitano then wanayeyuka.
 
Benki kuu ya leo sio kama ile ya DR. Rashid, these guys in spite of having worked with the World Bank, they are still sleeping on the job! Wanatangaza kazi kwenye Web-site yao halafu they do not take the trouble kuwaainform applicants juu ya fate yao: hata kama mmesimamisha ajira baada ya kutangaza ni busara kutoa taarifa kwenye mtandao wenu. Please up- date your Web-Site kwani mambo mengine yanaonyesha kuwa you are not a serious institution ; mfano ni huu bado Dr. Bukuku is still listed as one of you!!
 
Hakuna lolote walilolifanya hata hao kina Rashidi et al ... .... ..... this country need revolution.
 
Back
Top Bottom