Kwanini BBC haitangazi habari za Tanzania?

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Mara kwa mara huwa nafungua www.bbcswahili.com au www.bbc.co.uk/swahili lakini sikuti habari zozote kuhusu Tanzania. Hata zile ambazo ni top kwa Tanzania kama mgomo wa madaktari na sakata la Ulimboka.
Hivi kuna siri nyuma ya pazia au habari za Tanzania hazina umuhimu sana?
 
Mara kwa mara huwa nafungua BBC Swahili - Mwanzo au BBC Swahili - Mwanzo lakini sikuti habari zozote kuhusu Tanzania. Hata zile ambazo ni top kwa Tanzania kama mgomo wa madaktari na sakata la Ulimboka.

Kwanza muondoe mkanganyiko uliopo, ITV na vyombo vingine vinadai madakatari bingwa wamegoma,
TBC na vyombo vya CCM wanadai huduma zimeimarika. This is shame country!
 
Tanzania hakuna jipya ni yaleyale!yaani waache kuandika habari zenye kueleweka! Wakaanze kumwandika rais anayebishana na waajiriwa?
 
Hii issue ya ulimboka sio kubwa kihivyo mpaka media kama bbc,cnn,aljazeera etc wazitangaze.
Labda Ipp media na mwananchi ndo imekua bigdeal
 
walishawahi kutishiwa kufukuzwa nchini kama wataingilia mambo yasiyo wahusu ????
 
Kuna tofauti kubwa kati ya shirika la habari(mf.BBC,SABC,CCTV,REUTERS,KBC,UBC, CNN,AL JAZEERA,VOA,TBC nk)na kituo cha habari (mf.ITV.C10,CLOUDSTV,C2C,STARTV,EATV,nk).

Hivyo bac shirika litadili habar kubwa sana duniani na uchambuzi wake mf. Utakuta nusu saa nzima wanajadili habari 2 tu lakini kituo cha habari kinaripot taarifa za ndani ya nchi.

Kwa tz ni tofauti sana kwani huwezi kupata tofauti kat ya TBC NA ITV/EATV. Yaan unachokiona huku ndo unachokiona huku. Ni mara ngapi unaona TBC wanatangaza habari za harusi.mtu kujinyonga au kuhusu vibaka?!

TBC inabidi ibadilike na ianze kujadili mada kubwa kubwa tu! Nadhani umenisoma sana kiongozi... Unaweza nichek kwa email ekivoko@ymail.com CHIEF KIVOKO here i stand
 
HAHAA, KARIBU JAMIIFORUMS CHIEF.

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Shirika la BBC hapa Tanzania halina msaada wowote, basi liwe sehemu ya serikali yetu. liwe tawi la gazeti la Uhuru na mzalendo. Wenye nyeti hivi mwakilishi wao amebadilika au amepata mlungule?
 
Mara kwa mara huwa nafungua BBC Swahili - Mwanzo au BBC Swahili - Mwanzo lakini sikuti habari zozote kuhusu Tanzania. Hata zile ambazo ni top kwa Tanzania kama mgomo wa madaktari na sakata la Ulimboka.
Hivi kuna siri nyuma ya pazia au habari za Tanzania hazina umuhimu sana?
BBC huwa wanatangaza nchi ambazo zinavita na hilo ni kwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vya nje huwa wanafanya hivyo vita, njaa, mafuriko. lakini si kama ya migomo kwao hayana faida.
 
Back
Top Bottom