Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Prison break Break!!!!
Brother of the vice president!!
Sometimes when you want want to stop being huntered just be the hunter!!!!
 
Yap....nami nimemsoma Balali wa Tweet anatisha!....Sisi husema, Allahu Yaalam!
Tulidokezwa humu kuwa kuna wazee wa kazi watatu walioandaliwa kummaliza kiukweli baada ya kukiuka masharti! Tunazidi kutikiswa kwakweli!
 
Maisha mengine dah,yaani jamaa anaishi kwa kujifishafisha kama digidigi.Hata kama una mihela kibao,hata maisha yenyewe uya enjoy wala nini
 
Huo mchezo tuliusoma, tunausoma na tunaendelea kuusoma! Jk anadhani kuwa kafanikiwa kutudanganya, anajidanganya mwenyewe! Kwa haya yaendeleayo kwa hii hali ya sasa, natumai wameshaanza harakati za kusaka njia mbadala ili kuuendeleza kama sio kuumodify zaidi huo mchezo wa kibalali!! ONE DAY YES.........yeye na wenzake watatazama na hawataona kwa sababu kina chao tumeshakipima na kuona kinapokomea!!
 
Wewe umemsoma Balali wa Tweeter lakini wako ambao wamekutana nae Live na kuongea nae. Kwa ajili ya usalama wake ni lazima ajitayarishie mazingira ya usalama wake na wenzake kabla hajaweka mguu wake JNIA. Bila ya hivyo ataangamia kabla hajafika Dar. Ana ushahidi mwingi kuhusu the BIG 6 NA ENGENEER. Ingawaje kuja kwake hakuta rudisha mali zilizopotea lakini itakuwa ni chanzo watanzania kujikomboa KUTOKANA na mafisadi. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE NA AWA ANGAMIZE MAFISADI KWA KUWAUMBUA.


I think that only daring speculation can lead us further and not accumulation of facts.
 
Maisha mengine dah,yaani jamaa anaishi kwa kujifishafisha kama digidigi.Hata kama una mihela kibao,hata maisha yenyewe uya enjoy wala nini


mwisho wa ubaya always ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti,sasa huyu jamaa anaishi kama mfu
 
Kama ana ya kusema na aseme, siyo kutuletea habari za kusubiri siku 300+!
 
Kwamba Balali yupo hai,alitoroshwa nchini na hatimaye "kutoroshwa" duniani!Kwamba waliomtorosha hawajui yupo hai ila wanajua yupo hai!Kwamba naye aliwatoroka waliomtorosha!Kwamba waliomtorosha hawakuweza kumlinda ili "asirudi" duniani!...???.Miaka mitano tangu "atoroshwe" hawajaweza kumuondoa kiukweli?
 
Kama Binadamu aliyeumbwa na Mungu,dhamira [Guilt Consciousness] inamsuta na mizimu ya babu zake wahehe inamsumbua kwa kusaliti Watanzania wengine na anaona asiposema ukweli kwa Watanzania atakuwa ametenda kosa kubwa sana.Hivyo anaangaika na nafsi yake.Lakini kama ni kweli anadhamira ya dhati ya kutubu kwa Watanzania hakika atatimiza lakini chamoto watanzania tumesahkiona sana mpaka sasa,nae anamchango mkubwa sana kwa ilo kwa kuwa huyo gavana halali wao angemtaja mapema tungejua Mapema uenda kwa kutajwa Mungu angetuepusha na hao the 6.
 
Awe ni yeye au sio yeye bado hapa kuna point muhimu kama utaangalia kwa akili sana, utaona kuwa kuna michezo michafu hua inachezwa hapa home na watu wachache who are ready to do anything to protect themselves.....Tuangalie kwa pande zote mbili inawezekena hata kama Balali amekufa but huyo Balali wa Twiter atakua ana jambo fulani analijua kuhusu huo mchezo! Mungu Ibariki Tanzania, Bariki wanao, Bariki Ardhi yetu na wote tunaoamini MUNGU tuseme AMINI (na iwe kama tulivyoomba)
 
SABABU HUWEZI KUMZIKA AMBAYE HAJAFA. Karibu atarudi ajili ya kutujilisha ukweli bila ya kujali ni kiasi gani yeye binafsi anahusika.
The cult of individual personalities is always, in my view, unjustified. To be sure, nature distributes her gifts variously among her children. But there are plenty of the well-endowed ones too, thank God, and I am firmly convinced that most of them live quiet, unregarded lives.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom