KwANINI BAADHI YA WATU HUWASHA UDI MADUKANI KWAO?

Mimi nikisikia harufu ya udi dukani kwa mtu najua anavuta BANGI kwahiyo anapotezea harufu!
 
Ukiwa wa shetani utamwamini shetani na atakusaidia kwa mashariti ya kishetani lakini mwisho wake utakuwa ni majuto na ukiamini katika Mungu wa kweli atakusaidia kimungu na mwisho wake utakuwa ni wa rehema. Kwa mfano wafanyabiashara nyingi wanaotumia nguvu za giza huwa yule aliyeshikilia hizo nguvu za giza akikosea mashariti au akafariki ghafla bila kurithisha hayo mahetani kwa mwingine biashara hata kama ni kubwa kiasi gani lazima iondoke naye and sometimes hayo mashetani huweza kuwazuru watu wa karibu yake e.g mke na watoto. Believe in True God, he will lead you to success with very simple conditions-Prayers, Repentence & Forgiveness nje ya hapo utakuwa mtumwa wa shetani siku zote

kwa kifupi utake usitake hakuna mwanadamu wa aina hiyo ya kumuamini mungu 100% kwa dunia ya sasa, hata awe na imani kiasi gani! si unawaona hao wanaoanza kushandana kuporomosha majumba ufukweni, we unafikiri hamana chembe ya ushirikina mule
 
[/COLOR]Mkuu, umezungumza vizuri ila hapo kwenye red ndo umechafua kabisa. Anyways, inawezekana wewe ni mshirikina ndo maana unaamini 99% ya dunia pia ni washirikina. lakini si kweli.
Ukweli ni kwamba udi ni kwa aijri ya harufu nzuri tu, kama ilivyo kwa perfumes, ila naona kuna watu wamekaa kimtazamo wa kiimani zaidi ndo maana wanuhusisha udi na dini fulani hivi. Inawezekana mtu akautumia kwa malengo mengine kama mtu anavyotumia kisu kuua wakati ni kwa ajiri ya kukatia nyama/nyanya/vitunguu au klorokwini kujiua badala ya kuitumia kujititibia.




unaelewa maana ya ushirikina lakini au unaongea tu? usije ukawa unasema neno ushirikina wakati hujui maana yake mkuu, ushirikina ni kitu kimoj hatari sana, mana unaweza ukawa unafanya ushirikina bila wewe kujua kama ni mshirikina endapo utakuwa ujaujua ushirikina ni nini, na ndo mana nikamwambia mtupia huu udhi kuwa kwanamna moja hama nyingine.
 
ILE inayochomwa kwenye ibada za misa katoliki ni nini?kazi yake nini?

ule ni ubani sio udi hata sisi tunachoma mida fulani ya ibada, unajua mambo ya imani za dini ni ku-copy na ku-paste. lakini haina maana kivile
 
ILE inayochomwa kwenye ibada za misa katoliki ni nini?kazi yake nini?

Ndio maana nikauliza hivi UDI na UBANI ni tofauti

Maana RC wanatumia kufukisha moshi UBANI(correct me if I'm wrong)
Na waislam wanautumia UBANi pia kwenye ndoa, dua mbali mbali nk
 
Teh teh teh....... ha ha ha h ubani mimi naona ni aina fulani ya uvumba.. ambao hutoa harufu fulani, wengine tumeukuta tunaendelea kutumia tu, ila kuna ubani aina nyingi na maana zake. hata udi hivyo hivyo zipo za aina mbalimbali na matumizi yake, kuna ubani ukichoma unafukuza vitu vibaya, na ainanyingine huleta mvuto, so kabla ya kuchoma udi na kuutumia lazima ujue unachoma udi wa aina gani, mwengine unaweza kukuletea balaa. Hivi vitu maadam unaishi duniani huwezi kuviepuka, sababu kuna viumbe wengi wa mungu hata shetani aliumbwa na mungu.... wanaoishi katika dunia hii , na wao maranyingine huto miongozo yao ya nini kifanyike wakati gani na ninini kitumike katika kuleta mafanikio fulani.
 
....................dini fulani ! funguka na ulete ushahidi ! kwani wale wakina mama wanaojifukizia udi chini ya mapaja ni kwa ajili ya nini ? na wale wanajipaka vitu makwapani huwa ni kuwasaidia nini ?
Usiulize dini gani, wee fanya utafiti wako utajua wengi wao wenye maduka ni wa dini ipi. Ukitaka pitia walau maduka kumi kisha hesabu ni ya akina nani. utapata jibu.
 
markj imekupata ndio maana unabashiri kuwa watu wengne ni washirikina yaani hata nafsi yako haikusuti?
 
usiulize dini gani, wee fanya utafiti wako utajua wengi wao wenye maduka ni wa dini ipi. Ukitaka pitia walau maduka kumi kisha hesabu ni ya akina nani. Utapata jibu.

we jiulize ni wapi wengi ni wafanyabiashara ya maduka...... Hata kule kwetu kilimakyaro wapo.
 
Mkuu ni sababu za ushirikina, ni kwamba majini ya uhusiano mkubwa na harufu fulani fulani.... Udi ni mojawapo kuwantract, kuwapoza nk. matumizi makubwa katika shughuli hizi ni UDI na UBANI! ni ushirikina tuu!!

Mkuu inaelekea unajua mengi wewe,hebu nielimishe na hawa wakatoliki na waislam wanaotumia ubani huwa ni kwa ajili ya mapepo??au kwa ajili gani??
 
imani ya udi ni kuleta mvuto na na harufu nzuri! sasa sio kila mtu anapenda harfu ya udi, ni sawa na wewe unapulizia perfume kuna kila aina ya perfume na si kila mtu anapenda hiyo perfume, na imani ya perfume pia nikuleta mvuto na imani ya kunukia vizuri. udi umekaaa kiarabu zaidi na perfume zimekaa kizungu zaidi! hazina tofuti hizi kitu, udi kwa kuwa uko kiarabu zaidi na watu wa pwani wnapenda kuutumia kwakuwa ni natural na hauna madhara na perfume si natural zaidi na ina mazara zaidi. sasa kwakuwa watu wanachuki na watu wenye asili hii ya udi ndo mana wanaropoka mabaya na kwa kukuwa wanawatukuza watu wenye asili hii ya perfume ndo mana wanazidhamini sana bila kugundua kuwa zina wazuru. KWA kifupi hata hizo perfume tunazpulizia pia zinakaribisha mashetani na madudu mengine ya ajabu kwani unapopulizia perfume flani kuna zinazofanya upatwe na hisia za kimwili na kuvutiwa na mtu husika sasa hii kitu ni tabia ya shetani ambaye amekariishwa na harufu hiyo kwa ajili ya kuwarubuni wawili nyie, hata hizi airfresh nazo niko kama udi,perfume. hii ni ishu ya utamaduni na asilia ya kimanukato zaidi yankotokea. sasa kama mtu wewe unakereka na udi basi usiingie dukani hapo wewe nenda maduka mengine yamejaa mengi tu, na hata kama hayo mengine unayoenda utakuta unafanya bishara na mtu aliye uchi bila wewe kumuona, au amechimbia mavitu yake humo dukani isiyoyaona, kwa kifupi ushirikiana hauna dini! bali asilimia 99 ya dunia hii watu wanaushirikina, HATA WEWE ULIETUPIA HUU UDHI NINAUHAKIKA USHIRIKINA UNAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE, tusidanganyane dunia ya sasa inaendeshwa kishirikina mana hata hao tunaowaamini katika imani zetu za dini kuwa ni viongozi, ndio washirikina namba 1.

Naam, katika imani zenu za dini!
 
Ndio maana nikauliza hivi UDI na UBANI ni tofauti

Maana RC wanatumia kufukisha moshi UBANI(correct me if I'm wrong)
Na waislam wanautumia UBANi pia kwenye ndoa, dua mbali mbali nk

Hebu nielewesheni kuhusu ile kitu inaitwa "udi makka."
 
Jamani mwenye kujua kazi ya ule ubani unaotumika kwenye ibada kwa wakatoliki na dua kwa waislam anifahamishe
 
....................dini fulani ! funguka na ulete ushahidi ! kwani wale wakina mama wanaojifukizia udi chini ya mapaja ni kwa ajili ya nini ? na wale wanajipaka vitu makwapani huwa ni kuwasaidia nini ?

Inaelekea wewe unaijua hii dini fulani.....funguka basi..
 
watanzania tuna kasumba ya kutumia zaidi hisia na wala sio hoja, hivi mnjua tofauti kati ya uchawi na ushirikina?au mnajua ni neni moja? na je mnajua tofauti kati ya majini, mapepo marohani na mizimu,je mnaju kuna majini hawataki hata kusikia harufu ya udi wala pafyume wala ubani?
mi naamini udi kila anae weka ana sababu moja kati ya hizi mbili au zote mbili, eidha kwa sababu ya kiuchawi au kupata hrufu nzuri au zote, lakini ifahamike kuna makanisa flan wanachoma ubani
 
watanzania tuna kasumba ya kutumia zaidi hisia na wala sio hoja, hivi mnjua tofauti kati ya uchawi na ushirikina?au mnajua ni neni moja? na je mnajua tofauti kati ya majini, mapepo marohani na mizimu,je mnaju kuna majini hawataki hata kusikia harufu ya udi wala pafyume wala ubani? mi naamini udi kila anae weka ana sababu moja kati ya hizi mbili au zote mbili, eidha kwa sababu ya kiuchawi au kupata hrufu nzuri au zote, lakini ifahamike kuna makanisa flan wanachoma ubani[/QUKWAN KUCHOMA+UBANI KATIKA RC KUNA TATIZO GANI?
 
Ni imani kwamba watafanikiwa zaid. Mara nyingi huwa na uhusiano na ushirikina. Hata hivo nadhani kuna dini fulani ina imani za kutumia udi na marashi...
pope_benedict_easter_vigil_2007.jpg

 
Back
Top Bottom