kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kudate wanaume wadogo? nipeni siri

melvinG

Member
Oct 11, 2012
41
6
...............................................................................................0000000000000000000000000000000000000.jpg
......................................................................................000000000000000000000000000000000000000000.jpg
...............................................................................................00000000000000000000000000000000000.jpg


River Viiperi is a 21 year old Spanish model. He started dating Paris Hilton 31 last month after the two met at the New York Fashion Week.

The two reportedly met through DT Model Management owner David Todd who took Hilton to a Marlon Gobel show where the two lovebirds met. They have since been spotted hanging out behind the scenes at shows.

why do some women like dating younger men?.....10 years is too much of an age gap when it comes to dating someone!
 
Ndugu yamgu, wazee wenzao wameshachoka, hawawezi kuwapelekesha puta kunako sita kwa sita, ndio maana wanatafuta vijana wachapa kazi.
 
Unajua maranyingi wanawake wa namna hiyo wana penda kutawala sana na wavulana wanao kuwa nao wana wazidi uwezo wa pesa ili waweze kuwatawala.

Pia wana hamini wadogo wadogo ndio damu ina chemka na wana jua mapenzi.
 
hiyo yote ni ushetani haiiingii akilini kutembea na kizee ukafikili unapata sitarehe katika sayansi mwanamke akifikia miaka hamsini anakoma siku zake hata raha ya mpenzi inaisha iweje wewe kijana uanze kufikili kinyume wakati wapo vija wezako ambao utapata raha kamili?
 
Nahic wanawake wa namna hii ni wale ambao wanawaume zao ambao hapo awali walikuw wanatoshelezana katika suala la mapenzi ila kadri siku zinavyozidi kusonga mbele yale mautundu yanapungua hvyo mwanamke huyo anahisi kukosa vitu fulani vya awali wakati mumewe ni kijana. Hivyo kichwani mwake anaanza kuamini kuwa vijana ndiyo haswa wanaoweza kumudu mikikimikiki.
 
Ni ngumu kusema moja kwa moja, ila sababu hizi zaweza kuchangia
1. Mapenzi hayana macho, yanaweza kuangukia kwa yeyote bila kujali gap kubwa la umri
2. Kuna akina kaka wasiopenda kujishughulisha na kazi na hivyo kutafuta wanawake waliowazidi umri na kutembea nao ili waweze kukidhi mahitaji yao ya kimaisha
3. Kuna akina dada ambao kwa namna moja au nyingine wameshindwa kufikishwa 'kunako' na wapenzi wa umri wao hivyo wanajaribu kutafuta vijana kwa kufikiria kuwa wanaweza kuwa na nguvu zaidi na kuwapa kile wanachokihitaji ...
4. ---
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom