Kwanini Arusha imekuwa ni ngome ya CHADEMA?

Acha matusi Arusha ni kama sehemu nyingine yoyote katika Tanzania sema UBINAFSI UDINI NA UKANDA ndo umewajaa sana na watu wengi wa Arusha wanaona Chadema ndo mali yao kwakuwa kina Mwenyekiti ambae ametokea Hai na ni mkwe wa muasisi wa Chadema pia Katibu Mkuu ni kutoka Mbulu hivyo kutokana na ubinafsi walokuwa nao wanaona hawana Chama cha kushabikia zaidi ya Chadema na ajenda yenu ya kutaka kuwatumia Watanzania wengine kwa kuwadanganya kuwa Chadema itawaletea ukombozi watu washagutuka na hiyo ajenda ya SIRI!

Mtakaotetemeka midomo kwa kusema uongo siku za mwisho mtakuwa wengi,unaingiza udini ukabila ktk chama kinachotetea maslahi ya Wtz wote!!?
 
Arusha ni kitovu cha mabadiliko makuu ya kisiasa na mustakabali wa taifa hili,
hii ni tokea zama zile za awamu ya kwanza.
Ushahidi unaoishi ni Azimio la Arusha ambalo wasomi wa bara la afrika wanasema lilisimika dola la kiafrika na kuasisi fikra za kimapinduzi katika namna ya mtu mweusi anavyoweza kujiongoza na kusimamia rasilimali zake.
Damu ya "Azimio la Arusha" ndio kiini cha wakazi wa Arusha kuchukia utawala ulioua AZIMIO hilo na hvyo umma huo kugeukia kwa upande unaonekana kusimamia harakati zilizohimizwa na Azimio la Arusha,.....
KUJITEGEMEA!

Mkuu ... What a word!!

Soon will be there!! ...we have to come with Azimio Jipya kumaliza kazi na mikoba tuliyo achiwa na Waasisi wa Taifa!! mnt jocking ...Lol!!
 
Acha matusi Arusha ni kama sehemu nyingine yoyote katika Tanzania sema UBINAFSI UDINI NA UKANDA ndo umewajaa sana na watu wengi wa Arusha wanaona Chadema ndo mali yao kwakuwa kina Mwenyekiti ambae ametokea Hai na ni mkwe wa muasisi wa Chadema pia Katibu Mkuu ni kutoka Mbulu hivyo kutokana na ubinafsi walokuwa nao wanaona hawana Chama cha kushabikia zaidi ya Chadema na ajenda yenu ya kutaka kuwatumia Watanzania wengine kwa kuwadanganya kuwa Chadema itawaletea ukombozi watu washagutuka na hiyo ajenda ya SIRI!

Sio kweli Makongoro Nyere alikuwa mbunge wa Arusha na ni mtu wa Musoma kikabila. Sababu kubwa ni biashara maana wafanyabiashara wengi wanaamini serikali ni tatizo na hii hapa ni mifano. Tanzanite ilikuwa inasaidia Watu wa Arusha na tulikuwa tunaona vijana wanafanya biashara sasa serikali imeingilia kati na kuwapa wawekezaji je imesaidia vipi watu wa Arusha??. Serikali iko tayari kuwanyima Hotel za serikali kwenye tender Watanzania hata kama wameshinda mfano Saba Saba Mrema wa Impala alishinda tender lakini wakamnyima na kuwapa kampuni ya nje ingiwa yeye alikuwa anatoa pesa zaidi kwasababu ya rushwa za viongozi wa CCM. Arusha hawataki serikali ifanye zaidi au nini lakini wanataka serikali iwaache wafanyabishara wafanye biashara na yenyewe ijitoe kwenye biashara za hotel, mashamba, madini, utalii. Serikali kwa Arusha sio suluhisho bali ni kikwazo cha maendeleo. Serikali isingefanya hata kitu kimoja Arusha mjini mji ungeendelea zaidi!!! that's how bad the goverment is!!!!
 
Arusha wanaongoza kwa ushabiki bila kuangali maslahi na mambo ya msingi..

Arusha wanaongoza kwa kunywa pombe so rahisi kudanganyika; mara nyingi wanachagua wabunge maf.ala ambao hawaisaidie arusha

Makongoro alikuwa mhuni sawa na Lema; useless Mps kwa arusha..

wasipobadilika arusha itakuwa kichaka wahuni kujaribisha siasa
 
Hata Dar Mengi alinyima Kilimanjaro Hotel kwasababu gani? Sasa wananchi watapenda vipi serikali kama wanaona serikali haipendi maendeleo ya wazawa kabisa hata kama wana uwezo kwani wazawa hawatoi rushwa.
 
Utaalamu hana tamaa tu ilikuwa inamsumbua..

Unajua embaasy iko kwa wachagga tangu wapewe limekuwa magofu bado wanataka kuifanya sehemu ya kuuza mbege na nyama choma.
 
Arusha wanaongoza kwa ushabiki bila kuangali maslahi na mambo ya msingi..

Arusha wanaongoza kwa kunywa pombe so rahisi kudanganyika; mara nyingi wanachagua wabunge maf.ala ambao hawaisaidie arusha

Makongoro alikuwa mhuni sawa na Lema; useless Mps kwa arusha..

wasipobadilika arusha itakuwa kichaka wahuni kujaribisha siasa
Kama wangekuwa wanakunywa sana pombe na wanadanganyika wangekuwa basi mtaji wa magamba...arusha wameelimika na hawapelekeshwi ovyo halafu kule hakuna wabunge wahuni kama kina Lusinde,wabunge wa kule
ni watetezi wa haki za wanyonge ndo mana wanakubali.
 
ktk tukio la moto leo hapa Arusha, hakika peoples power leo kwa mara yangu ya kwanza nimeona wakikinga moto usiteketeze mtaa kwa kutenganisha nyumba iliyokuwa inawaka moto na zilizokuwa zinaambukizwa moto huo. Kweli nguvu ya umma ni nguvu kuu, wazima moto wasingeweza kuifanya
Kazi hiyo peke yao, na isingekuwepo peoples power leo hii mtaa mzima ungeteketea kwa moto, kweli nimeamini wananchi wa Arusha ni werevu, si kwenye siasa tu bali pia ktk kuisaidia jamii hata ktk majanga ya moto.
 
Mtakaotetemeka midomo kwa kusema uongo siku za mwisho mtakuwa wengi,unaingiza udini ukabila ktk chama kinachotetea maslahi ya Wtz wote!!?
mkuu ccm wana matatizo ya kufumbia macho makosa yao na kubuni matatizo yasiyo kuwepo
 
Mtakaotetemeka midomo kwa kusema uongo siku za mwisho mtakuwa wengi,unaingiza udini ukabila ktk chama kinachotetea maslahi ya Wtz wote!!?

Ni maslahi gani ya Watanzania wote yanayotetewa na Chadema? Nyie ni wale wale mnaotulazimisha kwa nguvu tuamini kuwa Chadema ikiingia madarakani shida zetu zitaisha maramoja! Utawala haujalibiwi hatuko tayari kuwajaribu wale ambao kabla tu ya kutawala washaonyesha udhaifu mkubwa,tueleze ni kipi kilimuondoa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema kutoka Chadema na kujiunga na Chama kingine? Hakuna kutetemeka midomo tunachonena kiko sahihi mjirekebishe muache ukanda udini na ubinafsi na pia muwe tayari kukosolewa siyo kukosoa wenzenu tu lawama bila msaada ni kazi bure!
 
Pamoja makamanda,karibuni mbuzi hapa decemba kilombero.alafu 2memtuma lema UN afight uhuru wa arusha.
 
Ndio maana LEMA ataanza kwenda DAR kuwapa chachu kama ya huku kwetu A town, hata watoto wetu wote wanajua peoples power nini.
 
Acha matusi Arusha ni kama sehemu nyingine yoyote katika Tanzania sema UBINAFSI UDINI NA UKANDA ndo umewajaa sana na watu wengi wa Arusha wanaona Chadema ndo mali yao kwakuwa kina Mwenyekiti ambae ametokea Hai na ni mkwe wa muasisi wa Chadema pia Katibu Mkuu ni kutoka Mbulu hivyo kutokana na ubinafsi walokuwa nao wanaona hawana Chama cha kushabikia zaidi ya Chadema na ajenda yenu ya kutaka kuwatumia Watanzania wengine kwa kuwadanganya kuwa Chadema itawaletea ukombozi watu washagutuka na hiyo ajenda ya SIRI!

Acha uongo wewe
 
kwa wakereeeeee chaliiii yangu ! Huku ni peoplessss tu lakini bendera tumeweka za c.c.m na mapicha ya kikwete .huo ndio uhalicia .leteni magari tutengeneze kwa bei za kizalendo .
 
ni kweli wakubwa kwa yeyote mwenye uwezo wa kufikilia na kuchambua maigizo ya ccm dhidi ya wananchi wake hawezi kuipa kula sisi huku mwanza bana raha tupu huku Wenje huku Kiwia hakunaga hata wakija kwa mapanga na malungu CDM daima. ni baadhi ya maeneo Tz bado wameshindwa kufikiria hatima yao na kuikumbatia CCM kama Dom na Tanga kuna nini?
 
A TOWN 2mesha iona nyota ya watoto wa mungu siku nyingiii...hiyo 2015 hawa pati hata kura hii..labda waibe tena,..and 4 the record japo chadema imeshinda arumeru kwa kishindo,..bado tunanaishutumu CCM kw3a kuiba kura...
 
Kapimwe

Ukiongelea ngome za CDM majiji yote kasoro Tanga, Yaani mbeya, Dar, Mwanza na Arusha, lakini arusha wana special case, ndio maana tathmini ya watu wanasema hata CDM ikisimamisha jiwe watashinda, hivi wanajf wenzangu mmeisha wahi tafakari sababu ni nini?

Kwa jiji la Arusha, viongozi wengi saana wa serikali na chama i.e. CCM kwa kutumia kigezo cha jiji la kitalii, wamawekeza saana huko, sasa raia wa kawaida wanaona mambo hayo kwa macho yao, hivi unafikiri wenyewe wanafikiri viongozi hao wanatoa wapi mabilioni ya kuwekeza Arusha kama sio kuiba! Ndio msingi haswa unaosababisha CCM isieleweke arusha.

Kwa sehemu nyingine za nchi hawajui source ni nini, ndio maana hata wanaCCM wanaokaa arusha only a few wanaweza ku VOTE kwa CCM, wanaona madudu hayo!

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom