Preta na Ipycalypse mkimaliza mazungumzo yenu mniambie...
umeenda kwa mtogole, sasa unafananisha kila nyumba.....njoo Yaeda uone nyumba....hub oil seal....mxuuuu....
Catherine:
pata picha uko jikon unaandaa maanjumati halafu anapita baba mkwe kisa anatAka kwenda uani au nyuma ya nyumba au anakuja mgeni anataka kupita Kwenda sebureni. Maana nyumba nyingi cku hizi main doors haitumiki