Kwanini 75% ya nyumba za wabongo, ukitaka kwenda uani au nyuma ya nyumba sharti upitie jikoni?

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Jamani nakereka sana na hiyo hari maana naona ni jinsi gani wabongo tunavyo copy na ku paste.
Au utakuta kila mjengo una kavaranda pale mbele ya nyumba halafu nyumba haina hata hewa, yaan mmh!!!.
Huwa najiuliza hii design tume I copy wapi? Yaan km sote tuko hivyo basi sishangai mambo yayoendelea dodomA na hapo ikulu.

Mbaya zaidi utakuta eti kajenga vyumba vitatu vya kulala lakin lazima kimoja hakina madirisha mawili au unakuta sebureni hapaKaliki maana joto la kufa mtu. Jamani...kweli...wabongo hatuna uwezo wa. Ku design mijengo yetu ya akina hoe hae yenye hewa na mwanga wa kutosha? Mi sitaki kuamini. Yaani tunashindwa hata ku position mjeNgo kwa kuangalia halia ya hewa na jua linazamia wapi ili kusudi muda wote nyumba inakua kivulini (poleni kwa wasio na miti ila pia pandeni miti...)

Aisee yaani kwangu mimi hili ni liu gonjwa BAYA sana na ndo maana naomba Dr utushauri....!!!
 
ni kweli ni copy na kupaste.bora tuanze kuchora kwa mguu tu
 
umeushirikisha ubongo kuandika?
maana mada yako imeparanganyika, kama ma^us! ya mswahili..
na kama ni ubongo umetumia haupo kichwani...utakua ubongo wa kwenye MASABURI...
umetumia njia gani kujua kuwa ni asilimia 75 ya nyumba za wabongo ziko namna iyo?
acha kutiririka vitu ovyo ovyo.
 
Umemkenyesha vibaya kweli haaaaah.
 
umeenda kwa mtogole, sasa unafananisha kila nyumba.....njoo Yaeda uone nyumba....hub oil seal....mxuuuu....
 
Kama unaenda njia ya mbezi kabla hujafika kituo cha baruti nyuma kidogo utaona mkono wwa kushoto utaona msikiti kunja kona hapohapo fata hiyo road mbele kidogo utaona Mugabe's Pub 770 ukifika hapo ni PM home si mbali na hapo.
 
naendesha evoque ya maroon....nielekeze njia......

Back
Top Bottom