Kwani Yeye Ameweza ana Nini?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
582033_377394232302739_100000964975142_952293_836755044_n.jpg
Who Knows...................!!!!!
 
ikwete ameufanya urais uwe ni rahisi mno kuuwaza na kufikiria kuupata...
 
Hilo ni wazo la aliyemnunulia hiyo tisheti. Hajamtendea haki kwa kutoifua hiyo t-shirt na kwa kutomtoa kamasi. Hii inaonyesha ni jinsi gani hajajiandaa kutimiza ndoto zake za kumwezesha mwanae awe rais. Sina hakika km anasimamia vizuri elimu ya huyu dogo ili aje kuukwaa urais.
 
Tena huenda ujumbe wa shina ni mgumu kuliko U-rahisi
 
Mmmmh mbona huyu tayari ni Presidaa sasa... Au macho yangu, hebu cheki Tabasmu lake. Nafikiri hapa alipokuwa mdogo... Safi sana.:bump2:
 
BOWLIBO weweumeji exclude hapa?

Back
Top Bottom