kwani wewe ni msagaji?!!!!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza anadai kuwa wamezoea kuitana majina ya dear,darlind,honey,sweety,my love na mashost zake ila mie nikawa natulia ila inaniuma lkn nikawa sipendi kulazimisha kuwa tupige zile namba,nikajitahidi kumuonesha kuwa namuamini.
Sasa leo amekuja nyumbani,ila kwa sbb ya kukatika umeme nikamuomba simu niitumie,nikatoka kdogo,ndipo nilipoangalia inbox nikakuta meseji inayosema "asante sana kwa mpenzi,leo umenifurahisha,leo ni zaidi" ambapo ilikuwa ni jana 18/03/2012 na kweli jana nilimhitaji akanipa sbb za hovyo kuwa mama yake amemtuma.
Nimerudi ghafla na kumuuliza akasema eti hao huwa ni mashost zake,eti mbona hauniamini?ndipo nilipomuuliza,kwani wewe ni msagaji mpaka umridhishe mwanamke mwenzako? akaanza kulia na ameondoka,sasa nimfanyeje huyu mchumba wangu ambaye tumedumu kwa miezi 8 na tunajulikana nyumbani kote?
nisaidieni hapa!!!!
 
Du hiyo ni kali! Kwa hatua hiyo iliyofikia chukua no ya huyo 'shosti' wake ipige kwa simu nyingine ili ujue kama ni mdada au mkaka; hapo utatatua swala la sex preference yake kwanza kabla ya mengine!
 
Kuna jamaa anakusaidia hapo chief hamna cha mashosti wala nini, toka nduki..
 
unagongewa na demu?
Utakuwa umefulia mautundu lol

kuacha mshedede na kufuata fingazi??? :(
 
  1. Una ushahidi wa message ya mapenzi, ambayo inamsifu kwa viwango vyake (apparently ni 6/6); ilofanyika on a day alikuaga kenda kwa mama yake.
  2. Ni dhahiri kua wewe ni mpole mno for kama kweli ungekua ni mkali asingethubutu kuacha message kwenye simu ambayo hua mwashare.
  3. Ni dhahiri kua mchumbako akufahamu vema.... anajua kua hivi kaondoka analia na umemwita msagaji badala ya kuendelea shikilia tatizo na kutaka maelezo utaishia kua na wasi nini ufanye... By the time anarudi you will be so glad karudi na utakua umepoa... na case kuisha; yawezekana hata mkafanya mapenzi... kuonesha all is good.

Hata hivo hayo yote niloongelea ni assumption tu! Nakushauri kua huyo dada kama mwaishi hivo sasa kabla ya kuoana then hata mkioana atakua hivo hivo. kuishi na mtu mieze nane is not a big deal hasa kama wazingatia ndoa ambayo daima ni ya kudumu. Hii miezi 8 imeshakupa jibu kua anafaa ama lah! Naamini kabisa kwa dhati kua deep down you wajua kama hafai ama Lah! Ila tu tatizo laweza kua kwenye moyo wako ambao unakukosea adabu.... kwa kulazimisha penzi hata pasipo faa......
 
hapo ni mimi idd kanisave shost asha,shost mariamu! kweli we wakuja c ujarbu iyo namba ujue saut!? hamna chakusagana wala nn? mteme fast ni changu uyo!
 
Sikuhizi kwakudanganyana, mvulana msichana ishakua poapoa tu,
Karibu chama la bachala, ukinipenda tunamalizana leoleo tu, money on the table kinachofuata ni mimi na wewe...

Source:ALLY KIBA
 
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza anadai kuwa wamezoea kuitana majina ya dear,darlind,honey,sweety,my love na mashost zake ila mie nikawa natulia ila inaniuma lkn nikawa sipendi kulazimisha kuwa tupige zile namba,nikajitahidi kumuonesha kuwa namuamini.
Sasa leo amekuja nyumbani,ila kwa sbb ya kukatika umeme nikamuomba simu niitumie,nikatoka kdogo,ndipo nilipoangalia inbox nikakuta meseji inayosema "asante sana kwa mpenzi,leo umenifurahisha,leo ni zaidi" ambapo ilikuwa ni jana 18/03/2012 na kweli jana nilimhitaji akanipa sbb za hovyo kuwa mama yake amemtuma.
Nimerudi ghafla na kumuuliza akasema eti hao huwa ni mashost zake,eti mbona hauniamini?ndipo nilipomuuliza,kwani wewe ni msagaji mpaka umridhishe mwanamke mwenzako? akaanza kulia na ameondoka,sasa nimfanyeje huyu mchumba wangu ambaye tumedumu kwa miezi 8 na tunajulikana nyumbani kote?
nisaidieni hapa!!!!
cha kumfanya unajua wewe mwenyewe .....ila kwa kukusaidia ni kuwa huyo anamtu anampa hayo mambo ya 6/6,kwahiyo amua kusuka au kunyoa........inauma ila ningepiga chini fasta .:scared:
 
jamani haya mapenzi na hizi vilonga mbali full matatizo...sepa mtu wangu
uhusiano ambao hauna trust sio uhusiano kijana.
 
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza anadai kuwa wamezoea kuitana majina ya dear,darlind,honey,sweety,my love na mashost zake ila mie nikawa natulia ila inaniuma lkn nikawa sipendi kulazimisha kuwa tupige zile namba,nikajitahidi kumuonesha kuwa namuamini.
Sasa leo amekuja nyumbani,ila kwa sbb ya kukatika umeme nikamuomba simu niitumie,nikatoka kdogo,ndipo nilipoangalia inbox nikakuta meseji inayosema "asante sana kwa mpenzi,leo umenifurahisha,leo ni zaidi" ambapo ilikuwa ni jana 18/03/2012 na kweli jana nilimhitaji akanipa sbb za hovyo kuwa mama yake amemtuma.
Nimerudi ghafla na kumuuliza akasema eti hao huwa ni mashost zake,eti mbona hauniamini?ndipo nilipomuuliza,kwani wewe ni msagaji mpaka umridhishe mwanamke mwenzako? akaanza kulia na ameondoka,sasa nimfanyeje huyu mchumba wangu ambaye tumedumu kwa miezi 8 na tunajulikana nyumbani kote?
nisaidieni hapa!!!!

Kwanini aweze kuwa mchumba wako na asiweze kuwa na wachumba wengine? kwani ni mkeo huyo? Kula uliwe.
 
Du hiyo ni kali! Kwa hatua hiyo iliyofikia chukua no ya huyo 'shosti' wake ipige kwa simu nyingine ili ujue kama ni mdada au mkaka; hapo utatatua swala la sex preference yake kwanza kabla ya mengine!

Bwagaaaaaaa! Bwagileeeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom