kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 268
Nikamwuliza niweke? akasema weka, nikaweka, nikamwuliza nilambe, akasema lamba, halafu nikalamba, mchezo ukaenda, nikalamba tena, nikalambaaa!si akageuza,nikaanza kulamba tena,akageuza tena,nikamlamba,nikamwuliza nile?akasema kula,nikamwuliza tena nile?akasema kula,nikamwambia geuza,ile anageuza kama utani vile kweli nikala.mchezo wa karata una mambo yake.
kwani we uliwazaje?
kwani we uliwazaje?