Kwani wanaume hamuez kusema 'hapana'

It depends na mtu mwenyewe anayekutega.kama analipa poa tu,kama mali ronya,no way out.
 
I can prove to have said NO to a woman, not just a woman, a beatiful woman, kabisa! inawezekana sana. Na kwaida mwanamke akikutaka honestly huwa hainogi kabisa, we angalia mwanamke ukimatafuta muda mrefu huwa ni mtamu sana toafauti na maharage mabichi ya mbeya! Napita tu jmani.
 
Kwanza unapomtega unategemea nini?Mi nadhani unapopanda mbegu unategemea iote au siyo?Sasa we unapomtega kidume si unategemea akupe dushelele?Au?Suala la uaminifu wa huyo anaekupa unachokitaka ni ishu nyingine!
 
Tunaweza Bwana, mbona unajeralize. Tunaprioritize. Sio kubeba kila kitu. Bila ya U-bwabwa wala nini. Kujitambua tu na kujiheshimu
 
dah ,nakumbuka mm nam nilishindwa kusema no,so nikicoment vinginevyo ntadanganya
 
Nijambo lisilo la kweli kusema wanaume hatuwezi sema hapana kwani si kila anaye kupenda utampenda na si kila anaye kutamani na wew utampenda.

Kuna mtu ana kutega na unaona kabisa hapa na cheza na moto kabisa, mi napenda tuongee maisha ya kweli siyo maisha ya kwenye keyboard.

Hakuna mtu hapa asiye fahamu sikuhizi kuna magonjwa mengi kwa hiyo kusema kwetu hapana kuna tuokoa kwenye mengi.

Uwanaume haupimwi kwa kubaliana na kila kitu, kwangu mimi uwanaume unapemwa kwa huwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo.

Lasivyo kama tunapima uwanaume wetu kwa kusema ndiyo kwa kila kinacho katiza mbele yetu basi tuko katika hatari.
 
lila- men turn-ons ziko karibu (I'm guessing you already know this)...so naturaly vishawishi dhidi ya wanaume viko nje nje.
Women turn-ons zipo deep kidogo so mpaka uspend a lot of time to find them and switch them on so women are a bit safe than men(Again I'm guessing you're matured to know the role of men as initiators of love making ndo maana viumbe hao wakaumbwa hivyo)

Two things I will tell you Mi Lady to show you how this is womens fault;
1) Mmepigiwa kelele sana mvae nguo za heshima, hamtaki na mnakuja na justifications kibao so nyie wenyewe ndo maadui wa ndoa zenu wenyewe kwa wenyewe. You have been tempting each others men na hamtaki kamwe kusikia so learn to own your mistakes.
(Eti unamkalia mwanaume uchi kisha unakuja kumuuliza kwa nini boxa haitulii kiunoni! sitetei ngono kamwe but don't you just find this funny?)

2) Hata wanawake if you manage to find their turn ons, duh! yani nyie ndo kabisaaa lazima mvue c***i. Yani you are realy weak its just that You are complicated and it is a process to find that turn on.

Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom