Kwani sisi diploma tumeikosea nini serikali

Wametukataza tusivae majoho mpaka dgree apoapo wanatuambia aturusiwi kwenda chuo kikuu, apo ayo majoho tutayavaa lini sasa..?

Diploma hajakatazwa kwenda chuo kikuu...kukatazwa vaa majoho haki yenu na ninaunga mkono kabisaaa...heshima iwepo..though sina uhakika kama mmekatazwa na hilo coz nimehudhuria mahafali Udom niliona diploma wamevaa majoho but hawakuwa na Scarf na Kofia zao hazikuwa na taso(uzi ule unaoning'inia
 
Diploma kiserikali wanaizarau afu wamesema diploma kuanzia mwakan kama ulifeli form 4 ukaanza cert had diploma afu degree wamekataa afu diploma kama hujafika form six na ukafaulu form six chuo kikuu utasikia tu afu diploma cert hakuna kuvaa kofia katika majoho ila Hilo ni kwel zile kofia zina madaraja yake kwa hiyo kuanzia mwakan diploma yeyote ataona digrii bada yakufanya mitihani ya form six na kufaulu naona ndalichako anataka kuondoa cert na diploma ambacho ni kitu haiwezekan ila aisee kusoma namba muhimu
 
Khaaa
 
Degree za majoho zipo tz
 
ahaaa diploma ni kwa ajili ya kazi tu nilimsikia jamaa mmja akihojiwa na itv mwez wa 7 mwaka huu du nilichoka
 
Back
Top Bottom